wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Hivi kwa nini waamuzi wetu wana vihere here vya kunyoosha offside wakati shambulizi halijaisha?

    Nimekuwa nikiangalia mechi nyingi za ligi nyingine na hata za kimataifa lakini huwezi kuona mwamuzi ana kihere here cha kuua shambulizi kisa tu ameona mchezaji kazidi. Huwq wanaacha hadi shambulizi likamilike ndipo wanapuliza kipenga kuashiria kulikuwa na mchezaji ama wachezaji wameotea. Hawa...
  2. Rubby: Wakati naombewa Mchungaji alininong'oneza anguka nikaanguka

    Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini, Hellen Majeshi maarufu Ruby, amefunguka kituko alichowahi kukutana nacho wakati anaombewa. "Wakati naombewa mchungaji alininong'oneza sikioni, Anguka, anguka. Nikaona isiwe tabu acha nijiangushe mambo yasiwe mengi" Amesimulia Ruby.
  3. Wakati unawekeza katika Elimu, Nyumba, Mashamba, Usisahau kuwekeza katika mambo ya Rohoni.

    Habari ndugu zangu. Duniani hapa ni Mahali pa kupita, duniani hapa tutaishi na tutakufa, issue inakuja je! umebakisha muda gani hapa duniani jina lako libadilike uitwe marehemu? Kumbuka kila mmoja atakufa kama alivyo zaliwa! Itakuwa ni surprise! Haya maisha yapo, unaweza ukajilisha upepo...
  4. O

    Vurugu Zazuka Bunge la Kaunti ya Kisumu Wakati MCAs Wakijaribu Kumng’oa Spika Elisha Oraro

    Hali ya sintofahamu ilitawala katika Bunge la Kaunti ya Kisumu baada ya baadhi ya Wawakilishi Wadi (MCAs) kujaribu kumng’oa Spika wa Bunge hilo, Elisha Oraro, katika tukio lililoshuhudia vurugu na makabiliano ya kimwili. Tukio hilo lilizua mtafaruku ndani ya ukumbi wa bunge, huku baadhi ya MCAs...
  5. Kwanini Walokole wanaomba kwa kelele wakati Yesu alisema waombe kimyakimya?

    Huu ni ubishi au mapokeo ya kiroho? Yesu wakati anafundisha mlimani alipiga marufuku maombi ya kelele. Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi"mathayo 6:6 Sasa hii ya...
  6. Abdul Nondo: Wakati wa kujadili hatma ya taifa si wakati wa kushindana kwa vyama!

    Nimemsikiliza Abdul Nondo, na kwa kweli nadhani amekosea kutambua kipaumbele cha kisiasa cha wakati huu. Wakati wananchi na umma kwa ujumla wameelekeza nguvu zao katika kudai HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKAJI kuhusu yaliyotokea nchini, yeye ameamua kurudisha mjadala kwenye ushindani wa vyama vya siasa...
  7. Hivi kwa nini Mkoa wa Shinyanga unahesabika kuwa uko kanda ya ziwa na wakati hakuna sehemu ya mkoa iliyopakana na ziwa Victoria?

    Shalom Najiuluza,huu mkoa wa shinyanga kwa nini huwa wanauweka miongoni mwa mikoa ya kanda ya ziwa? Nikiangalia ramani sion kama kuna sehemu ya huu mkoa iliyopakana na ziwa victoria. Kwa maoni yangu shinyanga ilitakiwa iwe kanda ya kati au magharibi huko ikaungane na wakina Kigoma na tabora.
  8. Wakati nahenyeka mlikuwa wapi? Leo nimesimama mnaanza kuhesabu hatua zangu

    Wakuu, leo nimeamua kuweka kila kitu wazi bila chenga wala uoga. Najivuna, nimeamka, na sina muda wa kujishusha mbele ya watu waliokuwa wananihesabia nuksi. Kipindi nikiwa sina kitu, napita mtaani mfuko mtupu, unaweza kumsalimia mtu akakutazama kama umemletea deni, Anapita zake kama hajaona...
  9. Kwanini K zinabana na kuna wakati kama zinakuvutia ndani na kukufinya?

    Hakuna raha kama kufanya mapenzi na mwanamke. Napenda vile wanavyotoa sauti za raha, vile wanavyosisimka hadi unahisi kila kitu kinakuwa kwenye msisimko wa hali ya juu. Halafu unapofika kileleni, kuna namna misuli ya uke inavyokaza na kulegea, jambo linaloongeza hisia za raha. Kwangu mimi...
  10. O

    Tongoyo Adai Kulikuwa na Mpango wa Kumpiga Risasi Wakati wa Tamasha la Maa

    Mbunge wa Narok Magharibi, Gabriel Tongoyo, amedai kuwa kulikuwa na njama ya kumuua kwa kumpiga risasi wakati wa Tamasha la Utamaduni na Utalii la Maa lililofanyika katika Kaunti ya Narok na kuhudhuriwa na Rais William Ruto. Kauli hiyo inajiri siku chache baada ya vurugu kuzuka katika tamasha...
  11. KERO UDOM: Chuo kikuu kinashindwaje kutatua tatizo la maji wakati maeneo yanayokizunguka yana visima?

    UDOM: CHUO KIKUU KINASHINDWAJE KUTATUA TATIZO LA MAJI WAKATI MAENEO YANAYOKIZUNGUKA YANA VISIMA? Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kukabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na ya uhakika. Kinachoshangaza ni kwamba tatizo hili limekuwepo kwa miaka kadhaa bila kuonekana kwa...
  12. Likizo si wakati wa kulegeza ulinzi wa watoto: Wazazi tuwajibike kuhakikisha usalama wa watoto wetu dhidi ya ukatili

    Kipindi hiki cha likizo ya kimasomo kwa miezi miwili kwa watoto wetu, wazazi na walezi tuongeze umakini katika usalama wa watoto wa kike na wa kiume. Tusidhani kila ndugu, mjomba, shangazi, dada au kaka wa kazi ana nia njema kwa watoto wetu. Baadhi ya vitendo vya ukatili wa kingono dhidi ya...
  13. Wakatoliki huwa mnaamini kweli kabisa Ekaristi ni mwili halisi wa Yesu wakati mnaila?

    Wakatoliki hivi wakati mnakula ule mkate unaoitwa Ekaristi mnaopewa na padri au askofu katika misa huwa kweli mnaamini ni mwili halisi wa Yesu Kristo mnaoukula kama ambavyo inafundishwa na kanisa lenu ? Yani ni kweli kabisa huwa mnaamini na kuhisi mkate wa ngano umebadilika kimiujiza na kuwa...
  14. J

    David Kafulila: Wakati Ujao ni wa Kila Mtu lakini hatuwezi kuufikia tukiwa tumegawanyika, 88.6% ya wanawake ni House Keeper wakati wanaume ni 52.5%

    HAPPY INTERNATIONAL MEN’S DAY 2026 – THE FUTURE IS EVERYONE - KAFULILA Katika kuadhimisha Siku ya Wanaume Duniani, Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Zacharia Kafulila, kupitia akaunti yake ya X (zamani Twitter), ametoa ujumbe unaosisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya wanaume na wanawake...
  15. Wakristo kwanini maiti mnazifanyia makeup, mnazipaka kucha rangi, mnaziset nywele nk wakati ni chakula cha wadudu?

    Inafikirisha sana kwa kweli.
  16. Kuna wakati mungu wa Biblia anakuwa na hasira kali sana

    Ezekieli 20:24–26 • 24 Kwa sababu walikataa amri zangu, wakachafua sabato, na kufuata vinyago vya baba zao. • 25 Naliwapa amri zisizo njema na hukumu ambazo hawakuweza kuishi kwazo. • 26 Nikiwatia unajisi kwa matoleo yao ya kupitisha watoto motoni, ili kuwafanya kuwa ukiwa wapate kumtambua Bwana.
  17. Wakuu msaada: Serikali inawezaje kulipa watu faida kwenye Tresury Bills & Bond [ Hati fungani ] wakati hali yetu kiuchumi ni mbaya kama taifa?

    Nawasikiliza watoa elimu za kifedha [Certified financial educators] wanashauri watu wanunue hati fungani za serikali. Jamaa mmoja wa BOT kwenye semina aliwahi kuhakikishia ukumbi mzima haijawahi kutokea serikali ikashindwa kumlipa mtu aliyewekeza huko. Na inaonekana sio bongo tu ni karibu...
  18. Kuna wakati mipango yako yote inaweza kufeli, ukafanya kila kitu ikashindikana, ghafla Mungu anaingilia kati mambo yanafunguka bila kutegemea

    ktk mambo niliyojifunza kwa vitendo ni Never give up (usikate tamaa). Una biashara haina wateja umepiga promo, marketing strategy zote ukapiga mpaka ndumba lakini wapi! Ngoma bila bila, unataka kufanya jambo fulani umepambana wee lakini wapii kila ukijaribu inashindikana, unatafuta mchumba...
  19. A

    KERO Umeme Wilaya ya Nzega unakatika sana kila wakati. Wanatuharibia vyakula, biashara zinaathirika

    Umeme Wilaya ya Nzega unakatika sana kila wakati, kuna muda unaweza kukatika asubuhi mpaka kesho yake mchana, changamoto hiyo ipo kwa wiki tatu sasa. Changamoto hii ni kero na inajirudia, kuna vitu vyetu vingi tu vinakwama, biashara zinaharibika, vitu nyumbani vinaharibika pia na kupata Hasara.
  20. Wakati mwingine, ukimya ni hekima: tafuta pesa, ishi maisha yako!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…