wahamiaji haramu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Luhaga Mpina: Kuna watendaji wa Serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania

    Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa. ========================================================= Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi...
  2. A

    Ushauri: Serikali ipitishe operesheni mpya ya kuwatambua na kuwarudisha kwao wahamiaji haramu wote kutoka nchi jirani

    Baada ya ile operesheni ya Mhe. Jakaya Kikwete katika hawamu ya nne na kwa kuzingatia ule ushauri uliotolewa na mkuu wa majeshi CDF ,serikali inahitaji kuchukua hatua za haraka sana iwezekanavyo. Kwa sasa nchi nyingi duniani zinakumbwa na machafuko na ghasia kutokana na wahamiaji haramu. Mara...
  3. Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

    Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kuonesha msimamo mkali kuhusu suala la wahamiaji. Katika sera zake, amesisitiza kuimarisha usalama wa mipaka, ikiwemo ujenzi wa ukuta mpakani na Mexico, pamoja na kuimarisha sheria za uhamiaji ili kupunguza wahamiaji wasio na vibali halali. Trump...
  4. Trump atishia vikwazo, Colombia yasalimu amri kuhusu wahamiaji haramu

    Wapambe wa Trump wanasema he is not there for playing games, you Around with him and Find out. Leo ndege 2 za kijeshi zenye rais 160 wa Columbia ambao walikua wahamiaji haramu nchini Marekani zilikataliwa kutua nchini Columbia na kulazimika kurudi Marekani. Baada ya hapo Trump akatishia kesho...
  5. Jeshi la Uhamiaji rejesheni operation kama Kikwete za kuwafukuza wahamiaji haramu

    Uhamiaji kwanini mlisitisha operation za wahamiaji haramu muda mrefu hivi Kwa mkoa wa Kagera na Kigoma Zamani sisi watu wa Kagera na Kigoma tulizoea ikifika mwezi march ni msako nyumba Kwa nyumba kuwasaka wahamiaji haramu ila Kwa Sasa kipo kimya miaka zaidi ya 10 Uhamiaji ni jeshi mpo tu...
  6. U

    Maofisa uhamiaji Marekani sasa wapewa mamlaka kukamata wahamiaji haramu na wahalifu watakaojificha au kukimbilia makanisani, mashuleni na hospitalini

    Wadau hamjamboni nyote? Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Guardian staff and agencies Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT Share US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
  7. Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke

    Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump **** NIMEOKOLEWA NA MUNGU KUIFANYA TENA MAREKANI KUWA TAIFA KUBWA "Uhuru wetu na hatima tukufu ya taifa letu haitakataliwa tena, na tutarejesha mara moja uadilifu, umahiri na uaminifu wa serikali ya Marekani. Kwa muda wa miaka minane iliyopita, nimejaribiwa...
  8. DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

    Zamani ilikuwa ni kawaida Kwa sisi watu wa wa mkoa wa Kagera kuishi na Wanyarwanda na wamesoma hapa Tanzania na Sasa wana kazi kubwa serikalini na likizo Huwa wanaenda kwao Rwanda kusherehekea na ndugu zao huku, na likizo zikiisha hurejea Tanzania katika ajira za serikali kabisa Wanyarwanda...
  9. Kitakachompa urais Trump mwaka huu ni sakata la wahamiaji haramu

    Habari zenu wanajamvi. Mko vizuri? Kama unafuatilia jukwaa hili basi bila shaka utakuwa unafahamu mengi kuhusu mbio za uchaguzi zinazoendelea Marekani. Ni Trump Vs Kamala. Hii hata watoto wa 2000 watakuwa wanafahamu. Wengi wasichofahamu ni kuwa karibu kila opinion poll Marekani inatabiri kuwa...
  10. D

    Mipaka yetu ina shida ndio maana vitu feki vimejaa nchini

    The borders are are porous all over na ndo mana vitu fake vimejaa mtaani. Inaeleweka wazi kazi ya jeshi ni kulinda mipaka lakini tanzani mipaka iko wazi sana. Ni ama kuna rushwa au jeshi halifanyi kazi yake ipasavyo. Au kazi yao ni nini jamani?
  11. SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji. Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya...
  12. Gari la Mbunge lililohusika kusafirisha wahamiaji haramu Lataifishwa na Mahakama. Mbunge anayelimiliki yeye vipi?

    My Take Kwa Tanzania mwenye pesa na mwanasiasa Huwa hafungwi. ====== Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na Mahakama ya Wilaya ya Moshi, zimeamuru kutaifishwa magari mawili yaliyokamatwa yakiwasafirisha wahamiaji haramu 12 raia wa Ethiopia, likiwamo linalodaiwa kumilikiwa na mbunge. Mbali na...
  13. DOKEZO Uhamiaji nendeni nyumba za wageni za Mbagala Zakhem kagueni kila usiku mtakuta Wasomali na Waethiopia wamefichwa kusubiri kusafirishwa

    Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili. Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula kupandishwa ndege kusafirishwa kuelekea kwenda Joburg (Johannesburg) Afrika Kusini. Nendeni...
  14. O

    Gari la Mbunge ladaiwa kubeba wahamiaji haramu Mkoani Kilimanjaro

    Wimbi la magari ya kifahari kutumika kusafirisha wahamiaji haramu kutoka Ethiopia, linazidi kushika kasi nchini na safari hii gari linalodaiwa kuwa la Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, likikamatwa na wahamiaji haramu saba. Gari hilo aina ya Toyota Land Cruiser V8 lilikamatwa...
  15. DOKEZO Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna P. Makakala kuna wahamiaji haramu kutoka China kwenye Wilaya ya Chunya, Kata ya Matundasi, Kijiji cha Itumbi

    Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania ondoka ofisini, na fanya ziara za kiwilaya na kimikoa, nenda katembelee wilaya ya Chunya, Kata ya Matundasi, Kijiji cha Itumbi, kuna wahamiaji haramu kutokea nchini China. Ukifika hutauliza utajionea mwenyewe. Watu kutokea nchi hiyo ni wengi kupitiliza...
  16. R

    Kwa mambo yanavyoendelea kuhusu wasafirishaji haramu wa binadamu tusishangae kuona kuna viongozi watatumbuliwa

    Nimesoma kitu kinachoitwa usafirishaji haramu wa binadamu huko Duniani na mbinu zinazotumiwa. Takwimu zinaonyesha kwamba hii biashara ni kubwa labda namba tatu baada ya biashara ya silaha na madawa ya kulevya. Nimejikuta kusoma kutokana na kuona ndani ya wiki mbili zimekamatwa V8 tatu nchini...
  17. Hii Trend ya kukamatwa Wahamiaji Haramu kwenye V8 kuna jambo lichunguzwe

    Mtu hadi anapofikia kuitwa mmhamiaji haramu tena kwa wale wanavyoonekana hawana pesa ya kumlipa mtu awasafirishe kwa V8, Hii ni issue huenda ipo nyuma ya mtu fulani, either watu hawa wanapelekwa kufanya kazi mahala, kiwanda, shamba au chochote, coz hawa kujilipia huu usafiri mtu arisk gari na...
  18. Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu

    Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara ACP Lukas Mwakatundu amesema kuwa Jana tarehe 7 katika kizuizi cha Minjingu kuna gari lilitupita pale likagoma kusimama likagonga kizuizi ndipo Polisi wakapata wasiwasi kwamba kwanini amegoma kusimama, tukaanza kumfuatulia mpaka eneo la Kiongozi...
  19. Niliandika Mwaka 2022 kuhusu vigogo Kutumia Bendera ya CCM Kusafirisha Wahamiaji

    16 Novemba 2022 niliandika katika mtandao wa Twitter au X kama unavyoitwa kwa sasa kwamba vigogo wengi ndani ya CCM wanatumia bendera za CCM hasa wakati wa chaguzi kusafirisha wahamiaji haramu. Miezi 16 baadaye yani March 24, 2024 linakamatwa gari lenye bendera ya CCM likisafirisha wahamiaji...
  20. Uhamiaji: Dereva na V8 Iliyobeba wahamiaji Haramu 20 wa Ethiopia Isihusishwe na CCM

    Baada ya Dereva Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma kukamatwa akiwa amebeba Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia katika gari aina ya Land Cruiser V8 likiwa na bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM katika eneo la Minjingu mkononi Manyara, Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji Mkoani Manyara Philon...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…