Waandamanaji kulipwa ili waandamane haliwi kosa la jinai wala hukumu yao sio kifo, kuandamana sio kosa Tanzania.
Niki kulipa ili uandamane sio kosa kwasababu maandamano ni halali kisheria,
Huu uzushi waliokuja nao kuwa waandamanaji wamelipwa ni sawa na kusema watu wamelipwa ili kuoga, kuoga na...