vyuo

  1. M

    RC Chalamila kaamua kuvisema Vyuo vya elimu mbalimbali

    Hivi mbona kama ndiyo vyuo alivyosoma bosi wake, vyuo vinavyotoa elimu mbalimbali, au mnatambua ni vyuo gani hivyo wakuu.
  2. Vyuo vizalishe waajiri kuliko waajiriwa

    Ili kutatua Tatizo la ajira vyuo vina nafasi ya muhimu ya kubadilika kutoka kuzalisha waajiriwa mpaka kuzalisha waajiri. Kumwaandaa mwajiri kunaanza katika kubadilisha mentality yake, kumpa maarifa yanayotendeka (kupimika) kumpa mazoezi ya vitendo na kukamasisha na kukazia tafiti na tasnifu...
  3. S

    KERO Wanafunzi wa Diploma ya Ualimu wa Sayansi Walalamikia Kukosa Mikopo ya HESLB

    Mwongozo wa mikopo kwa mwaka 2026 uliweka kipaumbele kwa wanafunzi wa Diploma ya Ualimu wa Elimu ya Msingi (Diploma in Primary Education) wanaosomea masomo ya sayansi, yakiwemo Hisabati, Fizikia, Kemia, Baiolojia na TEHAMA (ICT). Hata hivyo, wanafunzi wengi wa fani hiyo, ambao ni wahitimu wa...
  4. A

    KERO Naomba msaada, majina yangu kwenye kanzidata ya chuo kuna herufi hazijamalizika hivyo nashindwa kukamilisha usajili

    Habari wanajamii, Naomba msaada na ushauri kuhusu changamoto ninayokutana nayo wakati wa kufanya usajili wa chuo. Vyeti vyangu vya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (nakala halisi) vinaonyesha majina yangu matatu kwa usahihi likiwemo jina CHRISTOPHER Vilevile, ninapoangalia taarifa zangu...
  5. A

    HOJA Ongezeko la Vyuo vinavyotoa kozi ya Radiography: Je, hakuna umuhimu wa kuweka mitihani ya leseni kwa Wahitimu?

    Je, Serikali kupitia Wizara ya Afya, kwa kushirikiana na vyama vya taaluma husika na mamlaka husika za kitaaluma, haioni umuhimu wa kuanzisha mfumo wa mitihani ya leseni (Licensing Examination) kwa wahitimu wa kozi za Radiography katika ngazi za Certificate na Diploma kabla ya kuruhusiwa kutoa...
  6. A

    KERO Nimeomba kusoma masomo ya jioni CBE lakini ratiba imetoka kwa kufanya masomo full time, changamoto ni nini?

    Mimi ni mfanyakazi katika sekta binafsi (Private Sector) ambaye nimepata fursa ya kujiendeleza kielimu katika ngazi ya shahada. Nilichagua kujiunga na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kupitia mfumo wa masomo ya jioni (Evening Programme) kwa kuwa unaendana na majukumu yangu ya kikazi. Hata...
  7. A

    Vyuo kama UDSM tumieni fursa ya AFCON kupata pesa

    Mbali na timu ya taifa kuandaliwa kushiriki na kushinda kombe. Taasisi kama vyuo wanapaswa kubangua bongo kunufaika na globap/continental/regional events kama hizi, hata kwa kushirikiana na sekta binafsi (PPP). Mna eneo zuri, kubwa katikati ya mji mngeweza kujenga hotel na kiwanja kikubwa cha...
  8. D

    KERO Baadhi ya Vyuo vya Afya vinachelewesha matokeo ya Special na Supplementary

    Baadhi ya vyuo vya afya nchini vilikamilisha mitihani ya special na supplementary wiki mbili zilizopita, lakini hadi sasa havijatoa matokeo hayo. Kuchelewa kwa matokeo kunasababisha ucheleweshaji wa kuyawasilisha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), hali inayoweza...
  9. TCU Simamieni Taratibu za Ubora Vyuo Vikuu. Uamuzi wa UDSM Kufuta Mitihani ni ishara Mbaya!!

    Kwa siku mbili sasa anga za elimu zinajadili uamuzi wa UDSM kufuta mitihani ya marudio kipindi cha Septemba/Oktoba. Ninachokiona ni uzembe wa TCU kushindwa kuangali taratibu za vyuo ambazo zinaathili ubora. Nilipouliza huku na huko, nilichokiona ni kwamba kumbe vyuo vya TZ pole pole vinaingiza...
  10. A

    KERO Wizara ya Afya na NACTVET zishughulikie matokeo yetu ya diploma kwa haraka ili yafikishwe Vyuoni

    Baadhi ya vyuo vimefunguliwa tangu tarehe 19, na wanafunzi wanatakiwa kuripoti chuoni ili kuanza muhula mpya wa masomo. Hata hivyo, changamoto inayotukabili ni kwamba hatujapokea matokeo yetu, huku kuripoti chuoni kukihitaji kulipa ada na kujiandaa kwa mahitaji mengine ya masomo. Tunapouliza...
  11. D

    KERO Chuo cha Makumira kinapaswa kuacha tabia ya kuthibitisha nafasi za udahili wa wanafunzi bila ridhaa yao

    Chuo cha Makumira kinapaswa kuacha tabia ya kuthibitisha nafasi za udahili wa wanafunzi bila ridhaa yao, hasa wakati wanafunzi hao bado wanaendelea na mchakato wa kufanya uchaguzi wa vyuo mbalimbali kupitia mfumo wa TCU. Kitendo hiki kinawanyima wanafunzi uhuru wa kuchagua vyuo...
  12. L

    Bila Rais Samia Kuingia Madarakani Vijana wengi sana wangeacha kwenda vyuo Vikuu na wengine Wangekuwa wanaishia kidato cha 4 Tu. Tunamshukuru Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
  13. Vyuo vikuu vyote jirekebisheni kuna namna mmepotoka kidogo.

    I salute you kinsmen. Kuna kasumba imekuwa kubwa taratibu sana, nahisi hali hii TCU ndio wameleta Sikuhizi wanafunzi wamekuwa wengi na ufaulu nao umeongezeka sana Maelfu wanamaliza form six kila mwaka na wote wanataka kwenda chuo. Sasa TCU kama baba wa vyuo vyote na mlezi Anaruhusu vipi...
  14. K

    DOKEZO Vyuo vya Afya vya binafsi vinatakiwa kuweka mkazo kwenye ubora wa elimu kuliko mapato

    Vyuo vya kati vya afya vinavyosimamiwa na NACTVET, hususan baadhi ya vyuo binafsi, vinapaswa kuweka mkazo zaidi katika ubora wa elimu na mafunzo ya wataalamu wa afya kuliko maslahi ya kibiashara. Nguvu na rasilimali zinazotumika kuboresha miundombinu na kutangaza vyuo ili kuvutia wanafunzi...
  15. A

    HOJA Kuna uhusiano gani kati ya uanachama wa chama cha siasa na kugombea uongozi wa Serikali ya Wanafunzi?

    Ninaomba suala hili lifanyiwe uchunguzi na mjadala mpana, kwa sababu linagusa haki za wanafunzi na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Wanafunzi katika vyuo vya Tanzania. Kuna hali inayodaiwa kuwepo katika baadhi ya vyuo nchini ambapo mwanafunzi anapotaka kugombea nafasi za juu katika...
  16. JWTZ kuimarisha ushirikiano na Vyuo vya Sayansi

    👉 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, alisema kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) litaendelea kushirikiana na Vyuo Vikuu vya Tanzania ili kuongeza tija na ufanisi, hasa katika nyanja za sayansi na teknolojia. 👉 Jenerali Mkunda alisema hayo...
  17. M

    Vyuo Vikuu vya Kenya vina jisimamia kwa uhuru sana sio kama vya Tanzania hasa pale Jalalani

    Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta cha Sayansi na Teknolojia kime kataa kuwa Mbunge anaitwa Barasa sio mhitimu wa pale. Hii Autonomy yao vyuo vikuu vya Kenya nimeipenda. Je ingekuwa hapa kwetu mbunge au kiongozi amefoji elimu yake kwenye CV vingeweza kuweka wazi ?
  18. Mwenye kujua kuhusu Bachelor of Arts in diplomatic and defence studies

    Kuna mdogo wangu amechaguliwa kwa programme ya Arts in diplomatic and defence studies, ameona aende hiyo (kwakuwa kapata UDSM), kozi zoote alizoomba Ud kapata hiyo tuu na ye humwambii kitu kuhusu UDSM. Kaacha sehemu nyingine alizopata procurement and logistics, BBA, insurance and risk...
  19. Bora Veta au Vyuo vya kati kwa form 4?

    Wanafunzi wanaokosa kwenda kidato cha tano na sita huwa wanapangiwa vyuo. Picha: Daily News Ila nilichogundua mkakati huu unalundika wanafunzi wengi kusoma koz nyingi ambazo hazina athari ya moja kwa moja kwenye maisha yao zaidi baada ya kuhitimu wanakuja kuwa na mawazo ya ajira. Mfano...
  20. S

    Hakuna vyuo vikuu vya hovyo km vinavyomilikiwa na KKKT.

    Kanisa KKKT lina vyuo vikuu kadhaa hapa nchini, hili kanisa limejengwa ktk msingi wa ubinafsi uliopitiliza. Walianza na Tumaini University iliyokuwa Iringa, sasa hivi wameiita Iringa University, huwezi kuta neno Tumaini kwasababu askofu wa Iringa anaona km taasisi yake na ya wahehe. Tumaini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…