vyama vya upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Viongonzi wa vyama vya upinzani mnafanya kazi nzuri ila kuna sehemu mnakwama kama sio kukosea.

    Happy new year . Leo napenda kutoa ushauri mdogo Kwa vyama vya siasa hasa Chadema ambao wamekuwa wakipambana na kujaribu kuingia madarakani. Katika siasa kinachohitajika zaidi sio Good plan pekee bali na good strategies . Mbinu nzuri na mipango mizuri , kila uchaguzi huwa nafatilia na...
  2. Tanzania hamna vyama vya upinzani , kijana usithubutu ! Ku-sacrifice maisha yako kisa siasa

    Nyote mmejionea kilichotokea leo kuwa siasa ni uongo . So usiandamane , usimwage damu na kutukana MTU kisa siasa.
  3. Mbowe miongoni mwa wasaliti wa Vyama vya upinzani wa kweli kuwahi kutokea

    Wanaomfuatia ni pamoja na Lipumba. Subirini mtaona mengi.
  4. U

    Uzi maalumu wa kuweka nukuu za muhimu za kukumbukwa za Viongozi wakuu wa vyama vya upinzani hapa Afrika Mashariki

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni tupeane Raila Odinga: "Young people now begin the day checking the phone battery and data bundles. Something to wear, something to eat and a place to sleep come much later. Battery, bundles and the phone are the new basic needs"...
  5. Aikaeli Mbowe kaonesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa

    Friends, ladies and gentlemen. Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu? Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa. Kitendo cha...
  6. PreGE2025 Kama sio Tundu Lissu ni Mwanasiasa yupi unadhani anaushawishi kuwakilisha Muungano wa Vyama vya Upinzani 2025?

    Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua. Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
  7. Vyama 3 vya upinzani vyaungana kupendekeza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kusimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)

    Wakuu, Hivi vyama vya upinzani vilikuwa wapi kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuanza? Yaani Uchaguzi umeisha ndo wanaanza kutoa maoni? Maoni haya yana umuhimu gani sasa hivi kama CCM wameshapora Uchaguzi na kushinda asilimia 99? Naanza kuamini hivi vyama kweli ni CCM B...
  8. LGE2024 Jaji Warioba: Wapinzani Waliniambia Wangeweza Kupata Ushindi Kwa 25% tu

    Swali. Kama hivi ndivyo,Kwa nini CCM mnakuwa wadogo wa madaraka wakati kiuhalisia Wapinzani hawana uwezo wa kushindana na kushinda? My Take Ni vyema CCM ikajifunza Namibia sio lazima ushinde Kila pointi ndio uhasabiwe umeshinda. Wapinzani wakishinda watangazwe Ili kuepusha chuki na sintofahamu...
  9. LGE2024 Je, Vyama Vya Upinzani vinataka Kuungana pamoja Kuunda Umoja Unaitwa UDF (United Democratic Fronts)?

    Mliweswee! Mianyeyeee! Nawasalimu! Kama Mtakumbuka Miaka Kadhaa Nyuma Vyama Vya Upinzani Viliwahi Kujiunga Kipindi cha Bunge La katiba na Kutumia Muungano Huo kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2015, Kwa Umoja uliokuwa Unaitwa UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi).. Na Kusimamisha Mgombea wa Urais...
  10. S

    Safari ya Vyama vya Upinzani, bado ni ndefu tena ni ndefu sana

    Matokea ya uchaguzi wa serikali za mitaa yametoa taswira ya namna vyama vya upinzani nchini vitaendelea kuwa wasindikizaji. Vyama hivyo vitaendelea kuisindikiza CCM na kukiacha kiking'ara kuendelea kushika dola. Marehemu Lowassa aliwahi kusema, " tukishindwa safari hii tutahitaji miaka 30...
  11. G

    LGE2024 Sielewi lengo la CHADEMA kushiriki uchaguzi huu

    Inajulikana wazi kuwa CCM hawawawezi CHADEMA katika sanduku la kura, hivyo imeweka nguvu kubwa kwenye figisu na dhulma. CCM tayari wameonesha taa nyekundu ktk hatua za mwanzo kwa kuwaengua wagombea wa chadema 16,0000, na baada ya rufaa wagombea 5,000 tu ndiyo wamerejeshwa. Pia viongozi wa...
  12. PreGE2025 Ningekuwa na uwezo ningevifuta kwenye uliwengu wa siasa vyama vyote vya upinzania Tanzania

    Tanzania hakuna vyama vya upinzania vyote ni ma agent wa CCM Sema ndani ya upinzani Kuna baadhi ya watu makini ambao ningekuwa na uwezo ningevifuta vyama vyote vya upinzani na kuanzisha chama kimoja Cha kupambana na CCM. Sio chadema sio act wazalendo sio cuf vyote vimejaaa majasusi wanaofanya...
  13. LGE2024 UVCCM Iwawa, Njombe: Tuchagueni CCM tuwaletee maendeleo, Upinzani ni wapiga kelele tu!

    Wakuu, Tunaendelea kula popcorn wakati tunaendelea kuangalia movie. ==== Katibu wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kata ya Iwawa Benjamin Mahenge amewasihi wanaccm kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura za ndio wagombea wao na kuachana na wa vyama vya upinzani ambao kazi yao ni...
  14. LGE2024 Nape: Migogoro ya CHADEMA ni dalili za kuvunjika kama CUF na NCCR Mageuzi

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema migogoro inayoendelea kwenye chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni dalili za kuvunjika kwa chama hicho. Vyama vyote vya Siasa vikikaribia kufa au kufutika kwenye ramani wananza kupigana wenyewe kwa wenyewe. Nape ameyasema hayo Mkoa Rukwa...
  15. LGE2024 Kubenea: Hakuna uchaguzi, kuna uchafuzi. Vyama kuendelea kushiriki ni kuhalalisha uhuni, madhara yake yataonekana 2025

    Kupitia andiko hilo la leo, Jumanne Novemba 12.2024 Kubenea ambaye ni mwanahabari nguli nchini na Mkurugenzi wa kampuni ya habari ya Mwanahalisi amedai kuwa kitendo cha vyama vya upinzani nchini kuendelea kushiriki uchaguzi huo ni sawa na kuhalalisha 'uhuni' unaoendelea, na hivyo kutahadharisha...
  16. LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa: Mamia ya wagombea wa upinzani waenguliwa, waapa 'kutosusia shamba'

    Mamia ya wagombea wa vyama vya upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa ujao wameenguliwa kushiriki uchaguzi huo. Chama cha ACT Wazalendo kimeripoti takribani asilimia 60 ya wagombea wake wameenguliwa kushiriki uchaguzi kwa sababu walizozitaja kukosa msingi wa kisheria na kanuni. Kwa...
  17. Bado Chadema na vyama vya upinzani hamjachelewa tangazeni kujiondoa kushiriki uchaguzi wa Tamisemi. Hakuna uchaguzi hapo

    Kwanza Mimi siwezi kuuita uchaguzi wa serikali za mitaa kama hauna mandatory ya kisheria juu ya wasimamizi. Ni mpumbavu pekee atatetea Tamisemi kusimamia uchaguzi ingawa hakuna uwazi na mkuu wake akiwa mwanachama wa CCM. Waziri wa TAMISEMI ni mwanachama wa CCM na kwa Sheria za ushindani na uwazi...
  18. Tufanye referendum ya mfumo wa vyama vingi

    Kwa upendeleo unaona onekana Sasa kwa chama Cha CCM na ubaguzi dhidi ya vyama vya upinzani, hasa kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa nashauri ya kwamba ni muda Sasa watanzania waulizwe Kama tuendelee na mfumo wa vyama vingi. Tunadanganyana kwamba tupo kwenye mfumo wa vyama vingi ilihali...
  19. LGE2024 Makalla: CCM hatuhitaji upendeleo wala kubebwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, TAMISEMI itende haki

    Amos Makalla, ametoa msisitizo kwa TAMISEMI kutenda haki kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Amesema katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu, wapo wagombea wa CCM ambao wamewekewa pingamizi, hivyo madai ya...
  20. LGE2024 Kinondoni: Mtaa wa Mwinyimkuu wagombea wa vyama vya upinzani Uchaguzi Serikali za Mitaa waenguliwa

    Wakuu, Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT Mtaa wa Mwinyimkuu, Kata ya Mzimuni, Jimbo la Kinondoni wagombea wa vyama vya upinzani wote wameenguliwa. CCM hawako tayari kwa uchaguzi wa huru na haki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…