viumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ramadhan brothers ni viumbe wa kutisha! Show zao ni jasho na damu ! Sioni kama tumewachukulia serious!

    Kama una moyo mwepesi huwezi kuangalia show yao mpaka mwisho, kama kuna talent za kutisha basi hii talent ya hawa vijana ni ni ya kutisha mno. Wanaenda kuweka historia Duniani, kama Dunia haitaendekeza ubaguzi Basi Hawa jamaa hawana mpinzani kote duniani, Serikali iangalie upya namna ya...
  2. D

    MEXICO UFO HEARING ( uwepo wa viumbe vingine duniani )

    they have been discussion of aliens in Mexico congress under oath and here are the details and the Anatomy of the aliens as well as the dna analysis . They are over 1000 years old Here is dr salce in Swahili sehemu yake ya anatomia ilizungumzwa kibinafsi na Dk. Jose Salce Benitez ambaye...
  3. Hawa viumbe ni ngumu sana kwao kusema hivi

    Video inajieleza
  4. B

    Wafahamu viumbe sita wanaolala jicho wazi

    Kulala huku macho yakiwa wazi huwasaidia wanyama kuwa macho dhidi ya hatari zinazoweza kutokea na kuwawezesha kujibu mapigo inapohitajika. Ni maisha ya kuvutia ambayo huwaruhusu kupata hitaji la kupumzika na hitaji la usalama katika eneo lao. Hawa ni baadhi ya wanyama ambao hulala jicho moja...
  5. Pata ushauri juu ya ufugaji viumbe hai majini ikiwemo samaki, mwani,kaa n.K kisasa (aquaculture)

    Pata ushauri jinsi yakufuga viumbe hai majini kisasa kama samaki aina ya sato, kambale n.k Elimu kidogo juu ya ufugaji samaki aina ya SATO Ufugaji Samaki Aina ya Sato Ufugaji samaki aina ya sato, au tilapia, ni shughuli nzuri na yenye faida. Hapa kuna baadhi ya ushauri muhimu kuhusu ufugaji wa...
  6. Kuna baadhi ya wavuvi wanatumia vyandarua kuvulia samaki, huu sio uhujumu wa maisha ya viumbe vya majini?

    Uvuvi kwa kutumia vyandarua vya kuzuia mbu unasababisha hata wale samaki wadogo ambao walikuwa na muda wa kukua kuvuliwa na mwisho wa siku idadi ya samaki inapungua. Serikali isimamie uvuvi huu wa holela na kuhakikisha unahitimishwa.
  7. B

    Wanaume acheni kuzaa watoto Nje ya Ndoa mnawatesa viumbe wasio na Hatia

    Hili jambo linanihuzunisha sana. Sina cha kuwasaidia lakini angalau nina mdomo na mikono ya kusema na kuandika. Kila ninapona watoto wadogo wasio na mwelekeo kwemye maisha, hawana pa kulala, kula kwa tabu, kuvaa mtihani na shule ndio kabisa wamepoteza mwelekeo. Kipindi kama hiki cha mvua...
  8. Ukiijua kweli hutoteseka kamwe

    Kuna watu hawaendi Msikitini wala kanisani, ila wako na Imani kubwa mno wako na matendo mema wanasaidia maskini wako na adabu wanamuheshimu kila mtu wenye dini zao na watu tofauti. Unajilipua... unategemea upate pepo ya Muumbaji inakuingia akilini kweli? Waliotetea waafrika hawapo kwenye vitabu...
  9. Serikali kutoa mikopo kwa wavuvi na wakuzaji viumbe maji; CAG hujatupatia ubadhilifu wa mradi huu

    Habarini ndugu? Kuna mwenye taarifa za ripoti ya CAG katika eneo hili la huu mradi? Hawa WAHUJUMU UCHUMI tangu bunge hili DHAIFU lilipopitisha bajeti ya mradi huu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 bado HAKUNA CHOCHOTE KILICHOFANYIKA HADI SASA. Wavuvi tumeendelea kupigwa "BLAH BLAH" tu tangu mwezi...
  10. Aliens, viumbe wanaoaminika kuwazidi binadamu akili

    Vitabu vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana, inaaminika kuwa vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana. Viumbe hao wa ajabu waishio angani wanaitwa Aliens. Inaaminika wana muonekano kama binadamu isipokuwa hawafanani moja kwa moja na...
  11. Wanawake ni viumbe wanaoeleweka sana sema Sisi ndio hatutaki kuwaelewa

    WANAWAKE NI VIUMBE WANAOELEWEKA SANA SEMA SISI NDIO HATUTAKI KUWAELEWA! Anaandika Robert Heriel Kuhani. "Mwanamke hajui nini anataka" "Wanawake hawaeleweki" "Huwezi kuwaelewa Wanawake" na kauli zingine kama hizo ni kauli za kizamani zilizolenga kuwahukumu Wanawake na kuwafanya wakosaji...
  12. Viumbe vingine vinaona binadamu ni kituko

    Katika wazawaza yangu hakika najua viumbe kama pepo na malaika wanaona binadamu ni kituko sana. Sababu kila kitu kapewa ila anafanya ujinga mtupu mara kakimbizwa na mbwa akilewa aseme ujinga, aige na kufanya michezo hatarishi. Halafu sielewii wale malaika ambao wali tamani wana za binadamu...
  13. Inakuwaje mwanadamu ni mtawala asiye na nguvu juu ya hata viumbe viishivyo ndani ya utawala wake?

    Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani, kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a huma siyo kiakili wala nguvu tu za...
  14. Watangazaji wa kizazi hiki wanakera mpaka basi. Hivi wanaokotwa wapi hawa viumbe?

    Habari wanaJF? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Kwa mujibu wa utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni, usikilizaji wa redio na utazamaji wa TV umepungua sana miongoni mwa wafuatiliaji wa habari. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa sababu ya...
  15. Niwafanye nini viumbe hawa wameharibu suti yangu

    Hawa viumbe wanaifanya wikend nione chungu wameharibu suti nilitaka kuivaa kesho kwa mzee wa upako, niwape adhabu gani maana bado wapo hai!
  16. Nawahurumia sana viumbe hai ninapowakuta kwenye matatizo

    Habari wanajamvi, Nina hali ambayo sijui niiterm kama tatizo au ya kufurahisha. Ninajikuta navionea huruma sana viumbe hivi visivyokuwa na hatia wanyama, ndege na wadudu wa aina zote (kufugwa na wasiofugwa), ninapokutana navyo vikiwa kwenye hali yoyote itakayohatarisha uhai wao. Nikupe...
  17. Jamii ya viumbe toka Nibiru waliokuja duniani

    Anak, viumbe kutoka nibiru waliokuja duniani na kukutana na dunia iliyokuwa imejaa sokwe weupe na weusi, na jitihada zao katika kuunganishi genie zao na za viumbe ilivyovikuta duniani ili kuoata kiumbe bora kitakacho endana na vizuri na mazingira ya dunia, hadithi NZURI zaidi inapatikana...
  18. SoC02 Almasi katikati ya miiba

    Vipi nikikuambia kuwa leo hii inawezekana kutumia viumbe hai vidogo visivoonekana kwa macho kama Bakteria au Kuvu kutengeneza kinga ya mwili, dawa kwa ajili ya kutibu magonjwa yanayaothiri afya zetu, au kusafisha mazingira, au kutengeneza bidhaa mbalimbali kama pombe, maziwa, sabuni, dawa za...
  19. K

    SoC02 Wanaume: Viumbe walio hatarini kutoweka

    Nimesoma shule ya sekondari kata katika kijiji kimoja huko mkoani Dodoma. Wakati huo, tulipokuwa tukijadili hatima zetu kimasomo na kimaisha kwa ujumla tulikuwa tukiwaweka kando wasichana kwa kuwa hawakuonekana kama wanaelewa chochote kuhusu hatima zao na hata mazingira hayawakuwaunga mkono...
  20. Kumbuka; Viumbe hatari hupenda kujificha

    KUMBUKA; VIUMBE HATARI HUPENDA KUJIFICHA. Anaandika, Robert Heriel. Moja ya sifa kuu ya kiumbe hatari ni kupendelea kujificha, kukaa mafichoni, kukaa chobingo. Hawapendi kujianika Anika hovyo, kujidhihirisha hovyo. Kwanza weka akilini kuwa Kiumbe hatari hujijua kuwa yeye ni hatari, tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…