viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Barabara ya Banana - Kitunda ni kero kubwa kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia

    Barabara ya Banana Kitunda (Dar es Salaam) imekuwa ni kero kubwa sana kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia. Barabara ni mbovu na kila kipindi cha mvua usafiri ni shida na magari yanaharibika sana, tunaomba hii taarifa imfikie Mbunge wetu ni Jerry Silaa.
  2. Viongozi wa HAMAS waitoroka Lebanon, Hezbollah imeshindwa kuwalinda

    Hii ni baada ya Israel kudhihirisha wana uwezo wa kupiga popote, wana nia, uwezo na nguvu....na wanapiga. ========== Most of Hamas's military leaders based in Beirut escaped the Lebanese capital due to fears of being targets of assassinations, KAN News reported Sunday night, citing a source...
  3. Viongozi fisadi kununua nyumba Dubai, Cape Town watajwe- Kingwangala

    Kigwangalla ahoji viongozi wa umma walionunua nyumba hivi karibuni maeneo ya Masaki na Oyesterbay zenye thamani ya mpaka dola milioni 6, huku akitaja wengine wana mali za namna hiyo sehemu kama Dubai. Kigwangalla anahoji kiongozi wa umma asiyefanya biashara anatolea wapi utajiri wa namna hiyo...
  4. Kwa mshahara gani viongozi wa sasa wananunua nyumba za bilioni 25 uko Dubai?

    Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni...
  5. B

    Haioneshi picha nzuri kwa viongozi kunawiri/kunenepeana ilhali raia wakikondeana kwa sababu ya ugumu wa maisha

    Leo wakati namsikiliza Mh. Aikael Freeman Mbowe, amegusia jambo ambalo kwa kweli kwa maoni yangu naona yuko sahihi kwa 100%. Hii Serikali ukiangalia maisha wanayoishi Viongozi na Raia, utafikiri wanaishi katika nchi 2 tofauti! Viongozi wengi wa sasa wanazidi kunenepeana huku raia walio wengi...
  6. Viongozi wa kampuni ya Prezzdar washtakiwa kwa ubadhilifu na uchepushaji

    Shauri la Uhujumu Uchumi namba 1638/2024 limefunguliwa Januari 10, 2024 Jamhuri dhidi ya Bw. Edward Jonas mashenene, Anurphus Mpanju, Ronald Semtanda, Resperius Ishengoma, Desidery Falician Ndibalema na Elgidius Eldelfonce Kamugisha ambao ni Wakurugenzi na Watendaji wa kampuni ya Prezzdar...
  7. Katiba iruhusu viongozi kukata makofi wafanyakazi wazembe

    Kuna wafanyakazi wa serikali wanakera sana. Akilini mwao wanawazaga sijui vitu gani. Katiba ingeruhusu viongozi wakuu wawakate makofi pale inapobidi.
  8. PreGE2025 TEC yashauri Viongozi wa Serikali wasiwe wasimamizi wa Uchaguzi

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu wa TEC Padri Kitima, leo 8/01/2024 Ametoa maoni ya Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki ndani ya Bunge la Tanzania, kama Mchango wa Kanisa hilo kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi. TEC imesema kwamba Viongozi wa Serikali hawapaswi na iwe mwiko kwao...
  9. Waziri Mhagama awaomba Viongozi wa Dini kuweka mkazo katika kusimamia maadili

    Viongozi wa dini wameombwa kuendelea kusimamia imara na kukemea matendo maovu yanayopelekea mmomonyoko wa maadili hususan kwa vijana hasa katika mazingira ya yanayoendeshwa zaidi na ulimwengu wa kidijitali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe...
  10. S

    Kada wa CCM awavaa viongozi wala rushwa atoa msimamo mzito 2024

    VIONGOZI WALA RUSHWA BAADHI KWA NJAA ZAO WANAJITOA UFAHAMU NA KUSIMAMA HADHARANI KUPOTOSHA KAULI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA TUWAONYE WAACHE UJINGA . Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni kukemea Ujinga wa kupenda Rushwa Kisha watu kujitoa ufahamu kutetea maovu...
  11. Y

    Katika makuzi yangu nilikua nikiaminishwa kuwa viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu

    Katika makuzi yangu nlikua nkiaminishwa kua viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu, Pindi nasoma advance bahati nzuri uchaguzi wa rais, wabunge pamoja na madiwani nlikua kidato cha sita pale shinyanga high school maarufu kama SHY BUSH , nlishiriki kupiga kura lakin majibu yaliyobandikwa ktk...
  12. PreGE2025 Pascal Mayalla: Vyama vya siasa visipewe ruzuku, viongozi wake wajitolee

    Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema; “Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku...
  13. PreGE2025 Kama Rais Samia na Spika Tulia ndio kioo kwa wanawake viongozi samahani kusema hili ila Wanawake hawafai kuwa Viongozi

    Makundi mbali mbali hasa feminists wamekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wanawake na usawa hasa katika masuala ya uongozi na wengi wao wamewatolea mfano Rais wa nchi na Spika wa bunge kwamba ni mfano wa wanawake viongozi. Basi niko hapa kuwakosoa na kuwaambia kama lengo ni kutaka usawa wa...
  14. Iran yaweka orodha ya viongozi wake ambao Israel inasaka kuwaua kama ambavyo imeua wengine kimya kimya

    Yaani Israel ni balaa....... After an Israeli airstrike killed senior IRGC commander Sayyed Razi Mousavi, Iran International published names of who could be Israel's next targets. Following Prime Minister Benjamin Netanyahu's speech on Saturday night, in which he warned Iran and stated he would...
  15. S

    Simba dirisha dogo limegoma kufunguka. Viongozi walisajili kwa mihemko.

    Naomba nitoe angalizo mapema" mimi siyo mtu wa mpira" hili ninaloandika nimepewa taarifa na chanzo changu cha taarifa. Kwa mujibu wa chanzo changu cha taarifa ni kwamba ukimya wa Simba ktk dirisha hili dogo siyo kwamba kuna cha maana wanachofanya. Hakuna. Kanuni za usajili zinasema ktk dirisha...
  16. N

    Mtazamo wangu; Viongozi wenye ushawishi zaidi kwa mwaka 2023

    1. Samia Suluhu Hassan Huyu ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,pia mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,chama kikongwe na cheye heshima kubwa sana barani Afrika,taarifa zisizo rasmi zinasema chama hiki kina wafuasi zaidi ya millioni 35 ndani na nje ya mipaka ya Tanzania,kwa mtazamo...
  17. U

    TAHLISO yageuka genge la mtaji wa fedha kwa viongozi wa TAHLISO

    UTANGULIZI TAHLISO ni Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu (Vyuo na Vyuo Vikuu) Tanzania. Ilisajiliwa mwaka 2004 ili kuwa sehemu ya kuziunganisha serikali hizi/wanafunzi hawa kwa ajili ya kuwasilisha changamoto, maoni na mapendekezo yanayogusa maslahi ya wanafunzi wote wa Elimu ya Tanzania...
  18. Israel yaua viongozi 11 wa jeshi la Iran, nchini Syria

    Israel bana, wana nguvu, wana uwezo, wanayo nia. Na wanatekeleza. ======= Eleven leaders of the Iranian Revolutionary Guard Corps (IRGC) were killed in an airstrike targeting Damascus International Airport on Thursday evening, Saudi media reported the following morning. The commander of the...
  19. M

    Makonda ziara kwa viongozi wa dini zimezidi, huenda anaandaliwa kugombea Urais

  20. Tanzania halisi ambayo viongozi hawataki tuijue

    Kuna hii Tanzania ambayo utaikuta kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu. Na kuna Tanzania halisi ambayo viongozi hawataki ifundishwe mashuleni. Tafakari haya matukio machache huenda utaiona hiyo Tanzania halisi. 1. Mama mmoja alifungwa miaka 22 kwa kosa la kukutwa na kg 1 ya nyama ya swala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…