viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Hivi viongozi huwa wanakisoma vema hiki kiapo cha maadili?

    Siku zote mara baada ya uteuzi, viongozi huwa wanaapisha. Na wakishaapishwa mmoja mmoja kuna kiapo kingine, wenyewe huita ahadi ya maadili huwa wanakiimba wote. Lakini ukiisoma ahadi hiyo kifungu kwa kifungu utagundua kuwa huenda viongozi wengi huwa hawafuata wala kuzingatia yaliyomo. Serikali...
  2. RC Dodoma tembelea Stendi ya Daladala Sabasaba ujionee jinsi Wamachinga wako hatarini

    Jana nilipita pate stendi ya Daladala ya saba saba Dodoma hali niliyoiona pale ni ya kutisha, nilijiuliza sana akiwa watu wanaakili sawa sawa. Wamachinga kama wote wamepanga biashara ndani ya stendi chini, sehemu Daladala zinapita wao wamepanga biashara zao, Daladala inabidi wapige hone ili...
  3. Ninavyowafahamu wateule wapya wa Rais Samia kwa historia yao ya nyuma na uhusiano wao na viongozi wa leo

    Wote walioteuliwa wanafahamika kwa sura na kwa tabia. Sababu za kuteuliwa kwao ndo vigumu kuzitambua. Hapa nitajaribu kuzitaja kadri ninavyowafahamu. Tuanze na Stergomena Tax Huyu ni mtu mwenye elimu nzuri, mwanamke ambaye ktk wengi walioko baraza, hatuna wanawake wenye uwezo. Ana matatizo yake...
  4. TAMWA: Vitendo vya ukeketaji vikemewe hadharani

    TAMWA inatoa wito kwa viongozi mbalimbali wa serikali kuanzia ngazi ya kata hadi wizara kukemea hadharani vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike, huku tukiwashirikisha wanaume katika mchakato mzima wa kupinga ukeketaji dhidi ya watoto. Ukeketaji licha ya kuvunja haki za binadamu pia unaleta...
  5. B

    Viongozi waandamizi wa Polisi, Uhamiaji, Magereza wanavyoweweseka nadhani wamenusa Kuna uteuzi unakuja

    Malisa amewahi Kuandika uwepo wa ombwe la uongozi Polisi, alisema wazi kwamba kwa miaka mitano viongozi wa Polisi awajapandishwa vyeo hasa wale ambao mamlaka ya upandishaji vyeo ni Rais. Alipotoa makala hiyo Ni Kama aliwasogeza Polisi waandamizi kwenye vyombo vya habari maana tunaona clip za RPC...
  6. Y

    SoC01 Nendeni mkajiajiri vijana ni kichaka kitumikacho kuficha udhaifu wa uwajibikaji wa viongozi wetu

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani. Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezimungu muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo. Naam nimeamua kuandika hili andiko ili tuweze kupeana maarifa mbali mbali katika jamii yetu tunayoishi. Ajira, Ajira, Ajira hili ni neno lenye...
  7. Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

    Leo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) , ili kumjulia hali kiongozi wao wa Kitaifa Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe ...
  8. Speaker akerwa na mwendo wa kurudisha makao makuu dar kwa viongozi kurejea dar kila mara

    Mwendo wa kurudisha shughuli za makao makuu dar umeonekana mara baada ya kuaga dunia magufuli na mama samia kua rais. Swala la kuhamia dodoma limekua gumu kwa miaka zaidi ya arobaini hadi alipoingia magufuli. Kitendo cha rais samia kuonekana kwa kupenda au kushauriwa kufanya shughuli za...
  9. Muda aliodhania angebadili mtazamo wa viongozi na wa kuongoza nao umeisha bila kufanya hivo je kashindwa?

    Kikao cha watu saba baada ya Magufuli kutoweka duniani kilikuwa na maazimio yafuatayo 1. Bashiru pamoja ná wenzake wasichukuliwe hatua haraka maana wangezalisha bomu la wanaojua serikali in and out bali wafanyiwe demotion na wawe chini ya uangalizi Kwa miezi 4 2. Baraza la mawaziri alibadili...
  10. K

    Viongozi wa Yanga wawe wakweli kuhusu mchezo wa Jumapili

    Nimesoma kupitia Saleh Jembe kuwa wachezaji wapya waliosajiliwa hivi karibuni na ambao ni tegemeo kwa timu hawatacheza kwenye michuano ya Klabu Bingwa siku ya tarehe 12.9.2021. Sasa kwa nini mlitamba na kutuaminisha kuwa watacheza siku ya Jumapili. Hii ni aibu kubwa kwa timu na inawezekana...
  11. M

    Yaani kabisa Viongozi wa Yanga SC ( hasa hasa GSM ) mmefikia kuwa na huu Usanii ili mteke Akili za wana Yanga wawaamini?

    Yaani GSM umefikia hatua ya Kulazimisha Yanga SC icheze Mechi za Kirafiki kisha mnazungumza na Mabeki wa hizo Timu wamuachie Mayele afunge Magoli ili asionekane Mzigo na kama mmesajili Garasa tu? Haya GSM hebu Wahongeni basi na Mabeki wa River United FC mnaocheza nao CAF CL Siku ya Jumapili...
  12. Iko siku machinga watawashika viongozi pabaya

    Siku 4 baada ya kijana Hamza kusababisha mauaji ya wapendwa wetu pale Selander Bridge nilikwenda Airport kuwapokea jamaa zangu kutoka Ulaya. Tukiwa kwenye gari langu kuelekea Mikocheni, njiani kwenye barabara ya Nyerere tukaona vibanda vingi vichafuvichafu njia nzima kutoka Airport hadi...
  13. Mrema atoa wito kwa viongozi wa dini kuhamasisha waumini kuhusu chanjo

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi mstaafu, Dkt. Augustino Mrema, ameyataka madhehebu na viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaelimisha waumini wao umuhimu wa kupata chanjo ya COVID-19 na kuchukua tahadhari za ugonjwa huo kama ambavyo wataalam wa afya wanashauri. Akizungumza jana wakati wa misa...
  14. Kumbe viongozi wa dini wameamriwa kuwaombea wafalme na wenye mamlaka

    1 TIMOTHEO 2 Mafundisho kuhusu sala 1Kwanza kabisa, nawasihi muombe dua, msali na kumshukuru Mungu kwa ajili ya watu wote, 2kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani pamoja na uchaji wa Mungu na mwenendo mwema. 3Jambo hili ni jema na lampendeza...
  15. M

    Kwa hali hii naamini maneno ya Askofu Gwajima kuwa viongozi wamehongwa ili chanjo ije

    Huu ni mkusanyiko wa watu ktk Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam mbele ya Rais 02/09/2021. Halafu bila soni akasisitiza chanjo. Hivi Rais Samia yuko serious na gonjwa hili ama anaongea kuwafurahisha na kuwapumbaza walotoa hela? Wenye akili wameamua kumchana mheshimiwa rais bila woga.
  16. SoC01 Maamuzi ya Viongozi wetu na madhara yake kwa Taifa

    Leo naegemea katika vipengele vya kushusha kodi katika vileo na kupandisha bei katika mafuta na kuongeza makatato katika miamala ya fedha inayofanyika kwa simu. Jambo hili nimekua nikilitafakari sana hata sija waelewa viongozi wa taifa hili kwanini wanalinakabidhi taifa letu kwa ibilisi wazi...
  17. Temeke: DC Jokate Mwegelo aagiza kuwekwa chini ya ulinzi, Viongozi wa Chuo cha Lubondo Training College

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. JOKATE MWEGELO Aagiza Kuwekwa Chini ya Ulinzi Mkali Viongozi wa Chuo cha LUBANDO TRAINING COLLEGE Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameagiza kuwekwa chini ya ulinzi kwa Viongozi wa Chuo cha Lubando Training College kilichopo Mtaa wa Butiama, Kata ya Mtoni...
  18. M

    Watanzania wengi wanapenda sana mabadiliko lakini viongozi wa upinzani hawapendi mabadiliko ila pesa

    Katika wakati huu ambao dunia ipo kama kijiji kidogosana na watu wamekuwa na ufahamu mkubwa wa mambo ni mgumu sana kuwadanganya kirahisi, matumizi makubwa ya teknolojia, storeji ya kumbukumbu za matukio ni kubwa, mitandao ya kijamii ni mingi. Ukweli nikuwa kuanzia 1992 inaonyesha wazi kuwa...
  19. T

    Viongozi wa kisiasa mnaua vipaji na viongozi vijana vijana kwa matumbo yenu na ulafi wa madaraka

    Naandika kwa uchungu na kwa hisia thread hii nikiwanyooshea kidole viongozi wa kisiasa kuuwa ndoto na vipaji vya vijana wanao taka kuibuka ktk siasa. Hii sio sawa na haikubaliki moja ya sifa ya kiongozi bora ni yule anajuwa anatakiwa kuandaa kundi vijana kwa ajili yalushika nafasi nyeti za...
  20. Msajili wa vyama ingilia kati CHADEMA tupate viongozi

    Inaenda miezi miwili sasa kiuhalisia Chama chetu hakina viongozi. Na hatujui hatima ya mali ya chama chetu ambacho ni mali ya watanzania. Mwenyekiti yupo ndani kwa makosa ya ugaidi na uhujumu uchumi. Makamu mwenyekiti yupo ulaya anadhurula hovyo hovyo. Tumia mamlaka yako ya kisheria itisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…