vikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mwenyekiti Mstaafu hakupaswa kuwa mjumbe wa milele wa vikao nyeti vya chama. CHADEMA tuliiga CCM na sasa tutajuta.

    MFUMO TAWALA sasa ni rasmi wana mjumbe halali ndani ya vikao vyetu! Kwa mujibu wa breaking news za BBC Idhaa ya Wanaharakati, Mwenyekiti Mstaafu ameteuliwa kwenye Tume ya Maridhiano, ambayo CHADEMA hawamo, na hawaitaki. Sasa Mzee anakwenda kwenye vikao vyao akitoka akitaka anaingia kwenye...
  2. Kama vikao vya Samia vya safari ya maridhiano ni kwa ajili ya manufaa ya taifa lote na sio wajanja wachache, virushwe live na TV zote nchini

    Kama haya maridhiano yana nia ya kuliponya taifa, kwanini hayahusishi waliijeruhiwa kwa mrisasi, waliopoteza ndugu zao, na hayawashirikishi Chadema? Kwanini hayarushwi live na radio na tv zote nchini ili nchi nzima tujue kinachoendelea? Je kama mnapanga kutupiga tena risasi? Kwa kweli hatuna...
  3. Vikao vya Msimbazi na Kitima ndio vimemaliza mwendo wa CHADEMA na Lissu.

    Mnakumbuka vikao vya msimbazi ambavyo viliongozwa na Fr Kitima kwa lengo la kuhakikisha Chadema inachukuliwa kuwa mali ya kanisa katoliki na Maria na Taasisi zake wakichukua dhamana na kuhakikisha linatokea. Vile vikao ndio vikamtumbukiza Lissu akagombee uenyekiti ili Mbowe atoke...
  4. Mwamba kwenye vikao vya wanaume hua hatokei ona sasa

    Kuna faida kubwa sana hasa zama hizi kutokea kwenye vikao vya wanaume Mwamba huyo alikuwa hatokei kwenye vikao kila akiitwa hafiki ona sasa kimemlamba 😂 😂 😂
  5. U

    1/3 ya pesa za el nini zimetafunwa Kwa vikao, na sioni el nino

    Nina wasi wasi ana upigaji unaoendelea kupitia mambo ya el nini, Kuna baadhi ya watu nawajua kupitia hii el nino wameshajenga nyumba na kuisha, El nino hatutaki itokee, lakini maandalizi na vikao vya kuikabili El nino inasemekana zimeshatafuna 1/3 ya bilioni 780, hivyo , tunasuburi Sasa itokee...
  6. Ukoo unaendaga kwenye vikao vya ukoo?

    Mimi nadhani ukoo wetu wanatutumia wapige hela kikao cha siku moja nichange 30k kilo 4 za mchele kila mtu nyumban tupo 7 tuchange 210k na kilo 28 alafu siku moja tu ety usipoenda unategwa nawaza kuachana na mambo ya ukoo.
  7. CCM wameanza vikao vya Usiku. Wamepoteana hadi muda huu

    KATIBU MKUU WA CCM DKT. ASHA-ROSE MIGIRO KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Agosti 26, 2026, saa 3:30 usiku. Mkutano huo utafanyika katika Ofisi Ndogo za CCM...
  8. Siasa za maigizo hazifuti damu, heshima hainunuliwi kwa vikao vya ikulu

    SIASA ZA MAIGIZO HAZIFUTI DAMU, HESHIMA HAINUNULIWI KWA VIKAO VYA IKULU Nianze na nukuu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere "Mtu mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu, na wewe ukijua ni la kipumbavu ukamkubalia, anakudharau." Kauli hii ya Mwalimu Nyerere siyo ya kutafakari kwa...
  9. R

    EU hawana jeshi, madikiteita hawaogopi vikao! Madikiteita wanataka vitendo!

    Sawa ni kazi nzuri wanaifanya EU, lkn maneno maneno, vikao hawa watu hawayaogopi! Wanaogopa kufa ingawa wao wanaua! madikiteita wanataka vitendo. Madulo asingelitoka bila vitendo, maana USA imemesema sana....aiwadharau maana maneno hayaunguzi nyumba.
  10. Uwezi niamini, lakini NAKWAMBIA ukweli vikao vingi vya Pole pole na Magufuli ikulu,Bashiru Ally kakuru alikuwepo. Ile Leo jamani.

    Nasema kweli maamuzi mengi ya Hayati magufuli yalijadiliwa vyema na Hawa watu watatu hapa ikulu 1. Magufuli mwenyewe 2. Bashiru Ally Kakuru 3. Pole pole. Nashindwa kuelewa Leo magufuli ni hayati,Bashiru ni Waziri, na polepole Katekwa na Bashiru yupo kimnya kabisa anavuta mpunga wa uwaziri...
  11. S

    Vikao vya Online hasa vya Serikali, Je usiri au Confidentiality, (information Protectionism ipo)

    Nimewaza sana matumizi ya Google Team, Zoom na Apps nyingine nisizo zifahamu zinazo tumika kuendesha vikao mbalimbali, na hata hutumika katika matumizi Serikalini. Je? Tuna uhakika na usalama wa taarifa zetu!? Maana Apps hizi ziko controlled na wao!!. Tumeweza ku develope emails na mengine...
  12. Mpasuko wa Ndani: Jinsi Kitchen Party Gala na Vikao vya Wanaume Vinavyotumika Kama Mpango wa Siri wa Kusambaratisha Mshikamano wa Familia

    Taifa linaelekea wapi? Hivi hatuna watu wenye akili, hekima, busara, tafakuri na maono ya kukemea haya mambo? Tunataka tuwarithishe nini watoto wetu? Mshikamano au utengano? Hivi tunajua madhara yake kiroho na kijamii? Hivi mpaka viongozi wa kidini hawaoni kwamba nyuma ya pazia la sherehe za...
  13. Kihongosi: Maamuzi ya vikao yaheshimiwe

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi amesema msingi wa uhai na uimara wa chama ni kuheshimu vikao na maamuzi yake. Akizungumza Tarime, Kihongosi amesisitiza kuwa viongozi na wanachama walioiva kiitikadi hutambua kuwa maamuzi ya mwisho ya vikao ndiyo maamuzi...
  14. CHADEMA wakisusia maridhiano watasusia na vikao vya kuandika Katiba Mpya?

    Nilimsikia Rais Samia akisema ataunda tume ya maridhiano nchini ya kuwaleta watanzania pamoja kabla ya kuanza mchakato wa kuandika Katiba mpya. Nimewasikia chadema wakisema hawatahusika wala kushiriki kwenye maridhiano. Kwa maoni yangu sioni namna chadema itakavyoshirikishwa kwenye kuandika...
  15. Je, Kikatiba ni sawa kwa waziri wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kumuwakilisha waziri wa serikali ya Jamhuri katika vikao...?

    Wiki iliyopita kulikuwa na mkutano wa kukutanisha washika dau wa Benki ya dunia na mfuko wa kimataifa wa fedha. Lakini kupitia hapo Serikali ya Tanzania ilipata wasaa wa kukutana na wawakilishi wa Standard chartered Bank ili kuweza kuangalia vyanzo vya kifedha vya kufadhili mradi wa SGR...
  16. Dkt. Mwigulu: Kila siku tunakaa vikao vya kisekta kuhakikisha mafuta yanakuwepo ili shughuli zisiathirike

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  17. A

    DOKEZO Tenda za Zabuni za Taka, Kata ya Miburani hazijafunguliwa toka Mwezi Oktoba 2025. Mkandarasi apewa mkataba kinyume na taratibu za vikao

    Mkandarasi mwenyewe wa TAKA Kata ya Miburani ameshindwa kufanya kazi na kuna Hatari ya Magonjwa ya Mlipuko. Mchakato wa tenda umeingiliwa na wanasiasa
  18. Mwigulu: Wanaokaa vikao kwamba huyu tumfanyeje, niwaambie hamnifanyi kitu. Utotoni nishahangaika na simba na chui na hawakunifanya kitu

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa onyo kali kwa baadhi ya watendaji wanaodaiwa kukaa vikao kupanga njama dhidi yake, akisisitiza kuwa hatishwi na vitisho vya aina yoyote. Akiongea Leo Machi 04, 2026 na wafanyabiashara wa Soko la Machinga, Jijini Dodoma, amesema kuwa maisha yake yamejengwa...
  19. Vipi unahudhuriaga vikao au watakalopanga kwako ni sawa tu

    Kusema ukweli mm sipendi kuhudhuria vikao ila watakalopanga kwangu ni Hilo naruka nalo tu.
  20. Nawaza kwa sauti kubwa juu ya huyo aliotoa wazo huko kwenye vikao vyao la kuteka na kuua watanganyika

    -Kuna kisa nimesikia titok vijana watatu walikamatwa mchana kweupe tarehe 4 December huko Tarime na wote kukutwa wameuawa baada ya kupotea kwa siku kadhaa wakiwa wamevunjwa shingo. What is this all about? Yote haya kwa ajili ya kulinda CCM isitoke madarakani kweli? Imagine mmoja wa hao vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…