Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amekifungia kiwanda kinachozalisha pombe aina ya simba kampuni ya Turn Bus Investment, kutokana na kuzalisha pombe zenye kiwango kikubwa cha asidi na kwamba hakifai kwa matumizi ya binanadamu.
Mbali na kufungia kiwanda hicho ameliagiza Shirika la...
Siku hizi unaweza kukutana na kusanyiko la vijana wa kiume wakisherehekea birthday, kumbe ni kusanyiko la mashoga.
Kuna birthday zinazo wakutanisha mashoga, vijana wadogo ingawa wengine watu wazima. Hili janga tusione aibu kulizungumzia kwa kudhani halipo nawahakikishieni lipo tena kubwa sana...
Nakumbuka zamani nikiwa mdogo miaka ya 90 mwishoni na 2000s miaka ya mwanzoni nlikuwa naskia sana binti wa fulani katoroshwa na kijana flani, House girl wa nyumba flani katoroshwa, dada yake flani katoroshwa, n.k. hapo ni kwamba wanaenda kuanza maisha kama mme na mke, hadi mje kuwaona tena basi...
Akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa Jijini Arusha, amesema takwimu zinaonesha zaidi ya 90% Ajali za Barabarani husababishwa na makosa ya kibinadamu ikiwemo mwendokasi, kutovaa mikanda na kupita gari lingine bila tahadhari.
Amesema, "Uendeshaji wa Vyombo...
MAMBO YANAYOFANYA VIJANA WA KARNE YA 21 WASIENDE KANISANI.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Anayeandika hapa ni kijana msomi mbobevu wa Biblia, na vitabu mbalimbali.
Mbali na hivyo ni msomi wa ngazi ya shahada. Hivyo anaandika akiwa na Uelewa wa kiwango cha juu wa kile akisemacho.
Vijana hawaendi...
Pombe hii ina kiwango cha kilevi asilimia kumi(10%)tu lakini wanywaji wa pombe hii ukiwaona hata kwa macho utajua tu huyu ni wa banana.
Pombe hii imekuwa ikiuzwa kwa bei rahisi tu ya sh 500 ndo mana vijana wengi wanaweza kumudu kuinunua,lakini ulevi wake sio wa kawaida kwani vijana wengi...
Wabunge wa majimbo ya uchaguzi 2020 - 2025 wengi wao hawatarejea bungeni kwa sababu wamechagua kupata pesa kuliko kuwatetea wananchi.
Hivi leo hii kwa nyakati hizi za bila umeme na maji enzi za wabunge wa kweli kina Mnyika,Lema,yule dalali Zitto,Slaa na wengineo wenye kariba ya hao mijadala...
Kamanda wa Polisi wilaya ya Kisarawe Eva Steshen, amesema vijana wanashindwa kuoa mapema kwa sababu huduma ambayo walipaswa kupatiwa na wake zao baada ya kuoa wamekuwa wakiipata kwa bei nafuu kutoka kwa wadada poa wanaofanya biasahra ya ngono wilayani humo.
Kauli hiyo imetolewa wakati wa ziara...
"Use force to reach the end " hii ndio slogan iliyonitoa kuwa tegemezi mpaka kujitegemea, ukichanganya na "sacrifice the betterment of few days for the long time joyfulness". Ukichanganya hizo slogan mbili 10M bila kukopeshwa , kupewa, kubebwa, na maendeleo mengine yakaja,.
Ninapoomba huu...
Leo nimefanikiwa kupiga story na mfanyabiashara wa duka la madawa lililopo karibu na chuo kimoja kikubwa tu hapa nchini.
Katika stroy zake nimegundua dawa inayonunuliwa kwa wingi hapo dukani Ni P2, na wateja wake ni wanachuo.
Story yake imenirudisha nyuma kidogo wakati nikiwa chuo, kulikuwa na...
Wana Jf,
Serikali kama kawaida ya kupendelea mafundi kama haijui, wale walio kijijini ndio wapiga kura aswa kuliko hawa wachuuzi wa mjini. Serikali ipo radhi kuona nchi inakabiliwa na ukame mkubwa na wakulima vijana hawapati fidia ya vitu walivyovipoteza wakati wanapambania maisha yao na ya...
Crdb bank wanampongeza makamu mwenyekiti wa bodi yao kuteuliwa kua mwenyekiti wa bodi ya ATCL.
Maana yake huyu ni mjumbe wa bodi 2 na nyingine nyingi, hapo posho za vikao sio za kitoto. Wakati huo huo ni mwalimu wa chuo kikuu.
Juzi mliona wajumbe wa Jakaya Kikwete Foundation, wengine DCB Bank...
Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo?
mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa
mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi,
tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo
kwa hali hii mimi...
Data ya Kimataifa zinaonesha Wanawake na Vijana wenye Ulemavu wako katika hatari kubwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia, Vitisho, Kutendewa vibaya, au kutelekezwa
Nchini Tanzania, Watu wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino), wako katika hatari kubwa ya kufanyiwa Ukatili kutokana na Mila na Desturi zenye...
INFORMATION IS POWER
Miaka yote mkoloni ametumia udhaifu wa information kuwatawala waafrika na viongozi wa kiafrika bila kujua wameingia kwenye mtego wa mabeberu kwa kuwaminya wananchi wao taarifa.
Tangu Uhuru africa tumebaki nyuma kwa kukosa vitabu vyenye ubora kulinganisha na wenzetu wazungu...
Tanzania ni nchi yenye vijana wengi na wengi wa hawa madogo wanakaa na kusubiri serikali kuwaletea ajira. Mimi kama diaspora nawashauri mchangamke hasa kwa wale vijana wenye elimu kama wenzetu wa Kenya kwa mifano hii hapa
1. Kwanza kwa sasa unaweza kufanya kazi nchi nyingine ukiwa Tanzania...
Kuna mabadiliko makubwa sana ya kasi katika tasnia ya mavazi hasa kwa mabrazameni na wadada wa kisasa.
Mavazi yanafanana kwa ukaribu sana kiasi kwamba inanipa tabu kujua jinsia hadi niangalie kifua kama anamaziwa au hana.
Vijana mjitahidi kupunguza kuigana wadada na wakaka. Mnasababisha...
CCM ni moja ya chama kikubwa barani Afrika na pia ni moja kati ya vyama vichache vya ukombozi ambavyo vilipigania uhuru na bado vipo madarakani mpaka leo
Umahiri huu wa chama cha CCM haujaja hivi bali ni kuwa na structure nzuri ya uongozi kuanzia ngazi ya taifa mpaka ngazi ya kata lakini pia...