vijana

  1. Vijana ambao bado hamjaoa oeni mabinti wa kazi

    Kwanza niwatakie mwaka mpya wenye baraka tele. Ninajua kuna vijana wengi ambao wamejiwekea malengo ya kupata jiko mwaka huu, ninawashauri mimi niliye pata jiko kwa mdada wa kazi kama miaka mitano hivi kuwa hawa wadada wanafaa kuolewa yaani ni mawife material kabisa. Wana heshima, busara na...
  2. Ni aibu gani uliipata kwenye Interview yako ya Kwanza? Mimi yangu hii

    AIBU NILIYOIPATA KWENYE INTERVIEW YANGU YA KWANZA. Anaandika Robert Heriel. Simulizi hii ni ya kweli, nimekumbuka tukio hili nikabaki nacheka Sana, naomba nishiriki pamoja nanyi huenda kuna atakayepata somo. Baada ya kumaliza elimu ya Chuo kikuu nikaamua kuwa fundi cherehani, nikiwa nashona...
  3. DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limepokea taarifa za vijana watano wanaodaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwisho wa mwaka 2021. Kamanda Jumanne Muliro amesema wamezipokea na wanazifanyia kazi kuweza kufahamu usahihi wake. ==== Dar es Salaam. Fears have...
  4. Watoto wetu wa Siku hizi 'wamerogwa' au 'wamelaaniwa' na nani hasa kimalezi, kiuwajibikaji na kimaadili?

    Yaani kabisa (Mtoto) Mvulana au Msichana wa Darasa la Tano hadi la Saba anafuliwa Nguo zake, anaamshwa kwenda Shule, akila anaacha Vyombo mezani House Girl avitoe na anaamshwa Asubuhi kujiandaa kwenda Shule? Na kinachonishangaza na Kunisikitisha zaidi unakuta Wazazi Wao kipindi cha Utoto...
  5. Natafuta kazi au internship nipo Mwanza

    Habari za wakati huu wakubwa zangu mawapa heshima yenu na vijana wenzangu natumai pia muwazima ahsante. Naomba muniwie radhi lakini mficha dhara kifo humuumbua.Naitwa Mhina nipo naishi Mwanza ni mhitimu wa stashahada ya uhasibu(Diplomoa in Accountancy). Dhumuni la kuandika thread hii ni kuomba...
  6. Mkuu Kiranga, nimekutana na hii mitandaoni huko

    Mkuu ,Kiranga nmekutana na hii mitandaoni huko Nikaona nikupenyezee hapaa Hawa vijana wana matani sana na nyie😅
  7. John Marwa: DarMpya Media hatutaomba radhi habari ya Patrobas Katambi

    Kama msimamizi wa DAR MPYA MEDIA LIMITED (Darmpya Blog&Tv Online) nasisitiza habari iliyoandikwa kumhusu N/W Katambi kuhusu kauli yake kwa vijana wa Tanzania ni maneno yake na hatuwezi kuomba radhi kwa sababu hatujakosea Ushauri: asipoteze muda kutishia Media. John Marwa CEO ========...
  8. Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

    Wakuu Ndoa ni tamu, ndiyo ndoa ni tamu kwani kuna mtu anabisha kwenye hilo Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi. Dah baada ya hapo anakuaga...
  9. S

    Patrobas Katambi: Vijana waache kulalamika na kuchagua sana kazi

    Ama kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa. Naibu waziri Patrobas Katambi anatoa maneno ya nyodo kiasi hiki kwa vijana!!!?
  10. Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

    Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri). Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa...
  11. Vijana wengi wanakosa ajira kwa sababu ni 'incompetent'

    Wanatakiwa waelewe, kampuni binafsi inahitaji mtu smati na aliyeiva kweli kweli, ili kuendelea kubaki kwenye nafasi yako; kwa sababu lengo la makampuni ni kutengeneza faida na si hasara. Sasa utakuta vijana:- Wengi hawajimudu kwa kile walichokisomea au wanachokielezea wanaweza kukifanya...
  12. Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

    Naombeni mtujibu Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila...
  13. D

    Tuelekezane jinsi ya kupata mikopo ya serikali hususan kwa vijana

    Habari wakuu. Mtaani hali si hali mtaji umekua changamoto kubwa sana kwa vijana wengi. Wengi huishia tu madayworker na inshu za kuunga unga tu. Sasa huwa nasikia kuhusu mikopo inayotolewa na serikali kwa ajili ya vijana, walemavu na wanawake. Kwa waliowahi kuomba hii mikopo ama kuipata hii...
  14. Usafiri unakwamisha vijana wengi kujinasua kiuchumi.

    Nikiuliza bei ya kiroba cha mihogo sokoni niliambiwa ni 70,000-80,000. Inamaana ukiwa na heka tano za mihogo Kisarawe, na una van ndogo inayoweza kubeba viroba vinne kwa siku. Una uwezo wa kuingiza laki tatu kila siku ukipelela mihogo soko la ndizi asubuhi. Jioni unawapa vijana viroba...
  15. Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri. Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
  16. Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

    Kwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress. Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea...
  17. B

    Vijana kachukueni Pasipoti zenu Uhamiaji mtawanyike Duniani; kusubiri ajira na uteuzi ni utumwa wa fikra

    Mhe. RAIS ameifungua nchi, SI Kwa wazee Bali Kwa vijana. Wakenya wamejaa Tanzania Kwa ajili ya matembezi ,biashara, ajira nk. Sisi Watanzania tumejazana Dar na tunajipongeza Kwamba tumeiona Dunia. Hapana vijana badilisheni fikra, mtizamo na mikakati, wazeni kuvuka mpaka, wazeni kufanya biashara...
  18. B

    Lukuvi, Chenge, Kabudi kubalini mmezeeka acheni kujipigia kampeni za uspika, vijana kama Steven Masele kachukueni fomu wakikata jina freshi tu

    Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani? Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi...
  19. P

    Maoni yangu kuhusu kauli ya Rais kwa Vijana Na Mustakabali wa Ajira na Kujiajiri ujumbe huu uende pia kwa watunga sera.

    Salaam! Kwa Wote. Awali ya yote tuzidi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufika 2022 salama, tukiwa tunauanza mwaka tunaendelea kutafakari na kuweka malengo ya kupiga hatua kiuchumi. Vijana wa kitanzania bado wameendelea kukumbwa na changamoto kubwa kwenye sekta ya ajira takwimu...
  20. Rais Samia; Vijana mnageuzwa ngazi na kuwabeba watu wanaotaka uongozi kwa tamaa za fedha na ahadi ya uongozi

    "Uzoefu unaonesha kuwa vijana mnageuzwa ngazi na kuwabeba na kuwa ngazi ya watu wanaotaka uongozi kwa tamaa za fedha na ahadi za nafasi za uongozi, mjiulize kama hao mliowabeba wangeonesha utendaji mzuri leo hii msingekuwa mna changamoto mnazozisema" Rais Samia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…