Duniani kuna viumbe vitatu tuu.... vyenye mpangilio sawia kwenye ubongo. Navyo ni:~
A. Binadamu
B. Dolfine
C. Gorilla
Bila kusahau tembo mwenye ubongo mkubwa mno lakini uko fold ndani ya sehemu kubwa 3
( nitaweka nyungu...kwanini wanao ubongo mkubwa mno, ila tunajua tembo uwa wanatembea...