UWANJA WA MNAZI MMOJA 1948
Nilipata kuandika katika moja ya mitandao ya kijamii kuwa takriban kila aliyesikika katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika yumo ndani ya Nyaraka za Sykes.
Baadhi ya wasomaji walinishambulia wakinishutumu kuwa nina mkakati wangu maalum wa kuharibu historia...