upinzani

  1. Swali chokozi siasa za afrika: Je upinzani hawawezi kupandikiza mwanachama wao kamati kuu au ofisi nyeti chama tawala?

    Siasa ktk nchi ya kidemokrasia ni vita ya kutwaa dola kwa njia za amani. ANGALIZO: Nazungumzia mambo ya afrika kiujumla asije mtu akaingiza mambo yake. Tujadili bila kutaja majina. Haya ni mawazo ya sinema ya kikorea 100 days of deception Hili ni swali fikirishi, je upinzani hawawezi...
  2. Kiongozi wa upinzani Mozambique Venancio Mondlane ashitakiwa Kwa ugaidi na kuchochea uasi wa Umma.Afrika hatutaki ukibaraka.

    My Take Huyu anakuwa kibaraka wa 4 kushitakiwa Kwa makosa ya uasi,ugaidi,uhani na kutakakupindua Serikali baada ya Tundu Lisu,Brian Mundubile wa Zambia. https://www.instagram.com/p/Df2eJs3DkFV/?knvt=MXRvNzF6ejY4ejJjYQ==
  3. F

    Vyama vya upinzani vipo kikatiba, hayupo wa kuifuta CHADEMA tusidanganyane

    Kuna chama cha malaghai wanajaribu kuipitisha kwenye moto CHADEMA na kuitishia kuifuta endapo watagomea maridhiano ya kitapeli. Ukweli ni huu, wa kuifuta CHADEMA hajazaliwa Bado. Endeleeni kujidanganya.
  4. Kwanini chawa wa CCM wanalihusisha Kanisa Katoliki na Upinzani?

    Nini kinapelekea baadhi ya wanachama wa CCM hasa chawa na pia BAKWATA kulihusisha kanisa Katoliki na kusapoti CHADEMA wapinzani wakati viongozi wengi wa serikali na chama tawala ni Wakatoliki ? Makamu wa Rais ni Mkatoliki, IGP ni Mkatoliki, inawezekana hata mkuu wa majeshi ni Mkatoliki, Marais...
  5. T

    Ni kwanini mawakili wengi wazuri wako CHADEMA na Upinzani?

    Ni ajabu sana inavyoonekana ni kwamba mawakili wengi walioko upinzani ni wazuri sana na wana umaarufu na majina makubwa Ila huku serikalini wapo wa kawaida sana. Nadhani ndio maana serikali yetu ikishtakiwa nje na Tanzania serikali inashindwa Mawakili wa serikali wanakuwaga jeuri tu kesi...
  6. Q

    Kikwete alijua kula na upinzani, Samia anataka kula kwa upanga

    Pamoja na mapungufu yake Kikwete alijua kuishi na upinzani aliimudu nchi, mfano bunge lilikuwa almost 40/60, katiba mpya, barabara. Kikwete alikula huku akipuliza kwa amani na kicheko, sijui kwa nini anampotosha mwenzake anayetaka kula huku ameshikilia upanga mkononi. Samia ajifunze kwa Ruto...
  7. Heche na Lisu kuweni wafanyabiashara mtajirike achaneni na siasa hakuna mwanasiasa maskini wa Upinzani amewahi kushinda Chama Tawala Africa

    Wanasiasa wengi wa upinzani waliowahi kuvitikisa vyama Tawala na kuviondoa madarakani walikuwa wafanyabiashara mabilionea na matajiri mfano Hakainde Hichilema Zambia, Ruto kenya Msituletee siasa zenu za kimasikini masikini sisi
  8. L

    Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

    Ninaposema Usalama wa Taifa, Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda...
  9. E

    Lema ajue CHADEMA haimiliki siasa za upinzani Tanzania, wanaharakati wana haki ya kumkosoa

    Mfumo wa vyama vingi ulirejeshwa Tanzania mwaka 1992 kwa shinikizo la Mwalimu Julius Nyerere, lakini Katiba haikufanyiwa mabadiliko ya kutosha kuhakikisha ushindani wa kisiasa wenye usawa. Ibara ya 3 ilitambua mfumo huo, lakini mamlaka makubwa ya Rais, usimamizi wa uchaguzi na mazingira ya...
  10. CCM imechoka, upinzani umetepeta! Hii ni turufu kwa chama nitachoasisi ili kushika dola 2035!

    Mwaka mmoja na nusu umepita baada ya kuandika uzi wangu huu-- ' Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM,' kwenye jukwaa hili adhimu! Mwenendo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) haujaboreka, bali umeendelea kuzorota na kufifia! Hii inafanya ile 'narrative' ya 'CCM haijabakisha maisha marefu...
  11. M

    Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  12. M

    Mbeya ni injini ya siasa za upinzani Tanzania. Walichokosa ni chama chenye mizizi Mbeya na kiongozi CHADEMA, lakini harakati na hamasa, hawana mfano

    Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
  13. Wa kagema aliliwa kichwa Uganda, wa Museveni yupo gerezani kwa uhaini,wa Samia nae yupo gereji kwa uhaini mnao bakia upinzani spoko za moto zinawausu

    Kiiza Besigye awala wa mke wa Museveni yupo gerezani,kisa uhaini Lissu mpinzani mkuu wa Samia yupo gerezani uhaini Kagame yeye,hataki shida wake amemla kichwa mapema na amezikwa paspo kichwa. Mnao bakia upinzani Tanzania mwafaka nini? Nina hakika ile tume itatoa mstakabali wa upinzani...
  14. K

    Upinzani wa Samia kautengeneza kwa kiburi chake mwenyewe

    Samia tumejua ana vitu 5 vikubwa 1. Ni mtu wa visasi angalieni tu alivyomfanyia Nchimbi na Ndugai pamoja na kustaafu! 2. Hajawahi kuomba msamaha kwa lolote 3. Anapenda kusifiwa hata kwa unafiki aka machawa. Hizo PHD mchara 4. Mwoga sana wa kila mtu ushahidi kwa Lissu, Nchimbi, Ndugai na wengine...
  15. Kuna namna yoyote JPM anaweza kusamehewa na historia kwa kufuta upinzani wa kweli Tanzania?

    Nimepanda SGR kutoka Dar kwenda Morogoro nimefurahia usafiri wa starehe wa bei nafuu ila kila nikikumbuka Jiwe ndiye aliua upinzani bungeni akatuachia matutusa tu bungeni na kuligeuza bunge kuwa jumuiya mojawapo tu ya chama tawala au tawi la serikali kuu nashindwa kumsamehe kabisa. Hivi...
  16. Upinzani pembeni: Itakuwa ni kumkosea heshima Messi bila ku-appreciate uwezo wake kwenye soka. Thank you for everything Messi the 2nd greatest ever.

    Hatimaye, dunia inashuhudia mwisho wa enzi kule Amerika Kusini. Lionel Messi ameamua kutundika daruga zake rasmi kwenye ngazi ya timu ya taifa ya Argentina. Kama wapenzi wa soka wa kweli na wale ambao tunajua vizuri maana ya misuli, mazoezi magumu, na kufanya kazi kiume hatuna budi kusimama na...
  17. K

    Tafakari ya Kina: Je, Harakati za Mange Kimambi Zinalijenga Taifa au Ni Mkakati wa "Gawa Utawale" Kudhoofisha Upinzani?

    Ndugu wana-JamiiForums, Katika ulimwengu wa sasa wa siasa za kidijitali, mipaka kati ya uanaharakati wa kweli na propaganda za kimkakati imekuwa nyembamba mno. Mojawapo ya sauti kubwa mtandaoni nchini Tanzania imekuwa ya Mange Kimambi. Kwa muda mrefu, wengi wamemchukulia kama sauti inayosaidia...
  18. Itachukua miaka mingi sana ijayo Tanzania kua na kambi rasmi ya upinzani bungeni tena.

    Kwasababu, vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania havikubaliki na wananchi kwasababu havina agenda zenye ushawishi, mashiko au maslahi mapana ya wananchi. Lakini baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kua vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kumedumaza pakubwa kuaminika kwa...
  19. Ado Shaibu: Bungeni hakuna kambi rasmi ya upinzani, tuko 11 tu

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema bunge la sasa halina kambi rasmi ya upinzani kwa sababu wabunge wa upande wa wachache ni 11 tu, sawa na asilimia tatu. Alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa hadhara wilayani Tandahimba, kata ya Kitama, mkoani Mtwara. Ado alisema mwaka 2015...
  20. S

    Vyama vya upinzani hapa Tanzania vinazirotesha upatikanaji wa demokrasia

    Vyama vya upinzani hapa Tanzania vinazirotesha upatikanaji wa demokrasia hapa Tanzania kwa kukosa utaalamu na uzoefu wa siasa Kughaili kushiriki uchaguzi sio njia ya kirafiki ya kupigania demokrasia. Inataka muda kwa mtu yeyote kuachia usukani. Inataka mkakati wa kiiufundi. Ni safari ndefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…