uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tutoe hapa "Uongozi Kama imani na utulete kwenye uongozi Kama dira!"

    Sikufundishi kazi ila kinachokutafuna ni kile kilichopandwa huko nyuma!, simlaumu mtu ila nitalaumu kama atashindwa kuwa muelewa!. Nafikiri utakumbuka nyanda za juu walivyokujazia wanafunzi barabarani!,sio kwamba wanafunzi sio watu ni watu ila uliwajengea madarasa ili watulie huko,hivyo muda...
  2. Jambo kuu nililojifunza kutoka kwa awamu ya tano. Vijana waliprove wrong kweye nafasi kubwa za uongozi

    Hakika vijana walitukosea sana, waliongoza taasisi ama nafasi zao kwa mihemuko bila kufuata taratibu. Hii siyo kwamba vijana hawafai kupewa madaraka la hasha Bali vijana wengi walioaminiwa na Magufuli ama walikuwa hawakuandaliwa kuwa viongozi ama Magufuli alikuwa anawapa maelekezo ya namna ya...
  3. Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

    Sikiliza mwenyewe.
  4. K

    Kwanini huwa tunawapa Uongozi watu ambao hawana uwezo wa kutuongoza?

    Kauli mbiu ya selikali ni kujikwamua hapa tulipo ili kwenda mbele zaidi yaani kupambana na Umaskini, ujinga,maradhi na mengineo. Kwa muonekano wa hawa viongozi tuliyokuwa nao toka baada ya Nyerere kweli yupo aliyewahi au atakayekuwepo mwenye uthubutu,au wengi wako kwa ajili ya Maslai ya matumbo...
  5. Uongozi wa Simba SC mmefanya Makosa makubwa sana Kukubali Mechi na Gendarmerie ichezwe Saa 4 Usiku na si Saa 1 Usiku

    Leo naomba nitoe Elimu Kiduchu ya Unujumu ( Uchawi ) ni kwamba mara nyingi Jini la Simba SC huwa linakuwa 'Active' sana kati ya Saa 10 hadi Saa 12 na Saa 1 hadi Saa 3 na hiyo ya Saa 10 hadi Saa 12 nayo huwa ni Siku za Jumapili tu na siyo Siku za Jumamosi au Jumatano. Kwa muda wa Saa 1 Usiku...
  6. Uongozi wa CCM umeelemea upande mmoja

    Wakati B W Mkapa anataka kuunda Baraza la Mawaziri alimfuata Mwl Nyerere na kumuuomba ushauri wa kumsaidia kuunda Baraza la Mawaziri. Mwl Nyerere alimkatalia Late Mkapa kuunda Baraza la Mawaziri.Mwl alimwambia Mkapa Niki kusaidia maana yake hilo baraza litakuwa langu. Mwl Nyerere alimsaidia...
  7. Serikali yaombwa kuingilia kati unyanyasaji kiwanda cha SBC Tanzania, Uongozi wagoma kufafanua

    Said Ibrahim Stawi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO), Tawi la SBC Tanzania (Kiwanda cha Pepsi), ambaye aliachishwa kazi kwa kile alichodai ni harakati zake za kupigania maslahi ya wafanyakazi kiwandani hapo amesimulia...
  8. Uongozi siyo haki ya kiongozi bali ni haki ya wale anaowaongoza

    Natumai wote wana JF mko salama kabisa. Ninapenda kuwasilisha kwako kwamba katika hii sayari ya dunia ni ngumu sana kumkuta kiongozi ambaye yuko tayari kwa ajili ya wengine. Viongozi wengi hutumia nafasi walizonazo ili kujinufaisha wao, kujilinda wao au kujiwekea kinga kwa yote wanayoyafanya...
  9. Kamati ya Bunge: Uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE), Jikite kutangaza fursa za Shahada za Umahiri

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb) ameushauri uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kujikita kutangaza fursa hasa za Shahada za Umahirii ili kuongeza mapato ya ndani ya chuo hicho. Ameyasema hayo mkoani Iringa mara...
  10. M

    Mwaka mmoja wa Uongozi wa Rais Samia; Asante kwa upendo wako kwa watumishi wa umma

    Na Mwl Udadis Ipo haja kwa vyama mbalimbali vya wafanyakazi kutoa kauli ya kumpongeza Rais Samia kwa hatua alizozichukua ndani ya muda mfupi katika sekta ya utumishi wa umma, Rais ameonyesha ishara ya kujali na kuwapa watumishi wa umma kipaumbele kinachotakiwa. Baadhi ya mambo yaliyofanywa na...
  11. SIKU YA WANAWAKE: Wapaza sauti, uongozi, ukatili kingono kwa wanawake

    Wakati wanawake wakiadhimisha siku yao leo, wadau wamesema rushwa ya ngono ni tatizo linalotafuna ndani kwa ndani, huku wakitaka wanawake zaidi kuongoza katika sekta mbalimbali nchini. Baadhi ya wadau hao ni Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini...
  12. Uongozi wa Simba SC tafadhali semeni tu Ukweli kuhusu Mchezaji Jonas Mkude kwani haumwi kama ambavyo mnatudanganya

    Binafsi nimeshatonya nini kinaendelea dhidi yake na alifanya nini huko ( kule ) Niger ila nyie mnaficha na Kufanya Siri ili tu kutozua Taharuki kwa Mashabiki na Kuwagawa Wachezaji. Kwa Kujiamini kabisa tena 100% GENTAMYCINE nasema Kiungo wa Simba SC Jonas Gerald Mkude haumwi kama ambavyo...
  13. Victoria Charles Mwanziva Leo Tarehe 3 Machi 2022 ameshiriki utoaji wa Elimu kwenye Kambi maalumu ya Mabinti

    KATIBU WA UHAMASISHAJI NA CHIPUKIZI UVCCM TAIFA ASHIRIKI UTAOAJI WA ELIMU YA UONGOZI KUELEKEA KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Kuelekea kilele cha siku ya wanawake Duniani Tarehe 8 machi 2022, Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Ndugu. Victoria Charles Mwanziva Leo Tarehe 3...
  14. Uongozi wa Simba SC nawaombeni sana Mechi zetu Mbili za Berkane na Gendamarie zote tuchezee Uhuru na siyo kwa Mkapa tena Saa 9 Alasiri

    Kwanini......? 1. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mdogo hivyo utawapa Changamoto akina Gendamarie na Berkane wanaopenda na waliozoea Viwanja vyao Vikubwa huko Kwao Niger na Morocco hivyo Kuwafunga kiurahisi. 2. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mzuri kwakuwa Mashabiki 35,000 ambao wataruhusiwa wa Simba...
  15. S

    Uongozi wa Rais Mwinyi na Rais Samia unazingua tu, hawana jipya...

    Hawa viongozi au Marais wawili Rais Samia (Chifu Hangaya) na Rais Hussein, kwa kweli sijaona jipya ambalo litamtufaisha raia, nikimaanisha vijana na wazee kuajiriwa. Kama kuna mtu analijua aliweke hapa, unakodisha kunajengwa mahoteli, mahoteli ambayo mengine ni marufuku kwa raia wa Kitanzania...
  16. Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

    Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe...
  17. PICHA: Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichojengwa Kibaha, Pwani

    Chuo cha uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani kilianzishwa kuhudumu kwenye nchi za kusini mwa Afrika na kupewa jina la Mwalimu Nyerere kama heshima ya kuongoza mapambano ya kutafuta uhuru kusini mwa Afrika. Chuo cha Mwalimu Nyerere ni juhudi ya pamoja kwa vyama sita vya...
  18. Rais Samia kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Chuo cha Uongozi Mwalimu Julius Nyerere

    Wakuu Mama Amesema Hakuna Kupoa Wala Kutulia Chini. . Rais Samia Kesho Jumatano atafungua ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani. . Viongozi mbalimbali wa chama tawala na Serikali wameshiriki Ufunguzi huo, wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama vya ANC (Afrika...
  19. D

    Shule ya Mafunzo ya Uongozi isitumie jina la Mwalimu Nyerere, bali itambulike kama Shule ya Uongozi (SUT)

    Sikatai kumuenzi Mwalimu nyerere, Lakini hii kasumba ya kumuenzi Mwalimu kwa kuita Majengo jina lake Naona sasa Imepitwa na wakati! Ifahamike Mwalimu hakuwa malaika! Hivyo tunaweza kufanya bora zaidi kutoka pale alipoishia yeye! Kuita Shule ya Mwalimu nyerere, ni kuweka speed gavana kwenye...
  20. Tathmini: Uongozi wa Rais Samia Suluhu ndani ya mwaka mmoja

    Anaandika, Robert Heriel Taikon wa Fasihi. Hii ni tathmini ya uongozi wa Mama Samia Suluhu tangu alipoingia madarakani mwaka Jana 2021 mwezi machi, zikiwa zimebaki siku chache kukamilika mwaka mmoja. Tathmini hii ni kulingana na mtazamo wangu, Uelewa wangu, na vile mambo niyaonavyo. Dondoo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…