Kiongozi wa Chama cha People's Liberation Party (PLP), Martha Karua, ametangaza rasmi nia yake ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.
Karua amesema analenga kurejesha uongozi wenye uwajibikaji nchini Kenya, huku akitoa wito wa kuwepo kwa uongozi unaowajibika kwa wananchi na...
Katibu wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA Mkoa wa Iringa, Leonard Kurwijila, amesimamishwa kutekeleza majukumu yake kuanzia Novemba 26, 2026, kufuatia hatua ya uongozi wa chama hicho mkoani humo kumtaka kujibu tuhuma za ukiukwaji wa Katiba ya chama.
Hatua hiyo imetangazwa katika taarifa ya chama...
Kwamba aidha kiongozi mwanasiasa anakuwa ni mjinga sana au sisi Watanzania wote ni wajinga sana. Lazima mojawapo kati ya hayo mawili liwe kweli. Sio rahisi yote mawili yawe kweli au kutokuwa kweli kwa wakati mmoja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kuunda Tume ya Maridhiano ya Kitaifa, inayotarajiwa kutangazwa hivi karibuni.
Lengo la Tume hiyo ni kuimarisha umoja wa Taifa na kuweka msingi wa mchakato wa mabadiliko ya Katiba...
Kuna kero nimekutana nayo hapa Hospitali ya Mawenzi, kuna wizi wa dawa sana, unaandikiwa ukanunue dawa ukiweka kwenye kabati ya mgonjwa ukirudi mchana unakuta hazipo.
Mfano unanunua mabomba ya dawa dozi ya siku lakini mgonjwa atachomwa mara moja kisha wanakwambia zimeisha, hii ni mbaya sana...
Anonymous
Thread
dawa
hospitali
hospitali ya mawenzi
mawenzi
tabia
udhibiti
uongozi
wa dawa
wagonjwa
Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Huwa naona nchi yetu tunachekesha sana na hatuko serious kabisa katika uongozi.
Hivi inakuaje kwamba wabunge wa majimbo karibia nusu ya nchi nzima huwa wanaishi Dar es Salaam halafu wanaenda kutembelea kwenye majimbo yao wanayoyawakilisha bungeni ?!
Mfano kuna mbunge wa Kigoma huwa naona...
DC SHAKA ATOA WITO KWA JAMII YA WAFUGAJI KUWEKEZA KWENYE ELIMU, ATOA MFANO WA KIJANA ALIYEVUKA CHANGAMOTO
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka, ameeleza kuguswa na mfano wa kijana kutoka katika jamii ya wafugaji ambaye, licha ya kukabiliwa na changamoto za kifamilia zilizomfanya ashindwe...
Sio uongo kuwa jamii ya walio wengi hapa Tanzania inaamini kuwa Waumini wa dhehebu la Wasabato ni watu wenyetabia ya kusimamia Haki na Ukweli. Kitendo cha George Masaju kuteuliwa kuwa Jaji Mkuu kilileta matumaini kuwa sasa mahakama zetu zitakuwa TUKUFU kama zinavyo itwa lakini kume ndio...
๐๐๐จ๐๐จ๐ ๐ก๐๐ ๐๐ ๐ฌ๐๐ก๐๐จ ๐ก๐๐ง๐๐๐จ๐ฃ๐๐๐๐
Uongozi unaowajibika kwa Wananchi wake.
Picha ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akimpatia namba ya simu mwananchi wake kwa ajili ya kuwasiliana naye.
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
picha
unaowajibika
uongozi
wake
wananchi
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
๐ง๐ฒ๐ต๐ฎ๐บ๐ฎ ๐๐ต๐ถ๐ป๐ฎ
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
hassan
hongera
jamhuri
jamhuri ya muungano
kipindi
kipindi cha pili
kutimiza
mmoja
muungano
muungano wa tanzania
mwaka
mwaka mmoja
pili
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
sana
suluhu
tanzania
uongozi
wako
Nafahamu,
Yapo mambo mengi ambayo wenzetu huungana kuyakemea na au kuyatetea kwa nguvu zao zote ambayo mengine mengi ni kwa manufaa ya umma wote wa Watanzania bila kujali itikado zao
Suala hili la ushoga kuenea kwa Kasi na kujitangaza kwa waziwazi mitandaoni limeanza kwenye utawala huu wa...
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
hassan
hongera
jamhuri
jamhuri ya muungano
kipindi
kipindi cha pili
kutimiza
mmoja
muungano
muungano wa tanzania
mwaka
mwaka mmoja
pili
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
sana
suluhu
tanzania
uongozi
wako
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
hassan
hongera
jamhuri
jamhuri ya muungano
kipindi
kipindi cha pili
kutimiza
mmoja
muungano
muungano wa tanzania
mwaka
mwaka mmoja
pili
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
sana
suluhu
tanzania
uongozi
wako
Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu.
Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa...
Nakumbuka baada ya kulipa 650,000 Tsh as administration fee, wazazi tulilipa tena 100,000 Tsh kama fedha ya usafiri. This I guess was OK!
Now juzi watoto wamelipishwa tena 48,000Tsh kama fedha ya usafiri! Kulikoni? Tunaomba maelezo au ni upigaji as usual bila uongzi wa chuo kujua...
FALSAFA YA 4R NI JIBU LA SIASA ZA TANZANIA YA LEO NA KESHO
Ameandika: Cde Shaka Hamdu Shaka
SIASA BILA FALSAFA NI KELELE
Kila kiongozi mkubwa duniani anakumbukwa kwa falsafa yake. Kwa Tanzania mfano ulio hai ni Mwalimu Julius K. Nyerere, leo anakumbukwa na amekuwa urithi wetu kutokana na...
John Magufuli baada tu ya kupata urais, alimtupa mbali rafiki yake Charles Kitwanga aliyekuwa amempa uwaziri baada ya kusemekana kuongea bungeni akiwa bwiii. George W. Bush alivyopata tu Urais, alijitenga na rafiki yake wa karibu (jina nimelisahau) aliyekuwa amempa nafasi ya uongozi. Barack...
Chawa ni mtu anayejipendekeza Kwa kiongozi, mwanasiasa mfanyabiashara au kundi fulani Kwa lengo la kunufaika au kupata chochote.
Kwa maana rahisi chawa ni kama mwanamke malaya ambaye yupo tayari kufanya chchote ilimradi apate pesa.
Shida ni pale anayekutumia anapotimiza malengo yake harafu...
Ndugu zangu wa JamiiForums, salaam,
Kuna usemi mzito na usiochuja unaosema: "Ni lazima usimamie kile unachokiamini, na wakati mwingine inakulazimu kusimama pekee yako." Katika ulimwengu wa sasaโiwe ni kwenye siasa, maeneo ya kazi, au hata kwenye jamii zetu za kila sikuโshinikizo la kufuata...