Tangu jana baada ya kuwekwa picha kwenye akaunti rasmi za klabu ya Simba zikionesha picha ya Mchezaji Benard Morrison akiwa amevaa jezi zinazovaliwa na Timu hiyo, kumezuka Sintofahamu kwa wapenzi wa Mpira Tanzania.
Picha moja inaonesha kama anaandika (saini?) Na nyingine kama mtu anayeweka dole...