ujumbe

  1. Ndoa 2 Kati 3 zinazopandikiza mimba Muhimbili chanzo cha tatizo ni wanaume

    Msikilize huyu Daktari kutoka MNH anasema mkitoa mbegu wakiziweka hapo wakigeuka na kurudi zimeshakufa ========= Wakati Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikipanua huduma zake za Upandikizaji Mimba (IVF), Madaktari wanasema ubora hafifu wa Mbegu za kiume na idadi ndogo ya Mbegu miongoni mwa Wanaume...
  2. R

    Ujumbe wa leo kutoka kwa Winston Churchill

    Tafauti yetu na Mbwa ni kuwa Mbwa hawawezi kukubali kuonozwa na Mbwa mpumbavu
  3. T

    Ujumbe wa Profesa Adolph Mkenda

    Bado ninaamini Profesa kwamba unaweza kabisa kugeuza msimamo wako na kurudi kwenye ukweli, kwa sababu malezi ya kikristo yaliyokufikisha hapo, msingi wake ni kweli sio hila..kwa sasa ni km kazi pekee uliyo nayo ni kushughulika na samia scholarship tu..mambo mengine yoote ndani ya wizara yako...
  4. J

    Ile habari ya Yusufu inabeba ujumbe gani kwa Agano Jipya?

    Ile habari ya Yusufu inabeba ujumbe gani kwa Agano Jipya? Kuna habari inazungumzwa, kwamba agano la kale ni kivuli cha agano jipya. Sasa je, ile habari ya Yusufu ilikuwa ina ufunuo gani kwa agano jipya? Ni kweli kabisa kuwa agano la kale ni kivuli cha mambo yanayoendelea katika agano jipya...
  5. R

    Ujumbe wa Leo toka kwa Plato kuhusu ustawi wa dola/ Nchi

    Unaua wenye akili wote na kukukusanya wapumbavu wakufanyie kazi. Huo ndio unakuwa mwisho / kufa kwawa dola. Ndiko tinakoelekea
  6. M

    Wananchi wakizindua daraja la Milioni 12, unapata ujumbe gani hapa?

    Hawa ni wananchi, wamerekodi video wakizindua daraja lao wanalodai limegharimu milioni 12, Hapa Si uzinduzi tu bali kuna ujumbe muhimu, Je unapata ujumbe gani?
  7. Kuna ujumbe nimetumiwa naombeni mnielekeze unahusu Nini?

    Naombeni ushirikiano wenu mimi sio mtu wa Michezo kabisa wamenitumia hili liujumbe lao sijui linahusu nini
  8. N

    Happy sabbath: Vijana someni bible hapa jamiiforums

    Nime fungua biblia random ukarasa kwani huwa nakutaga na ujumbe moja kwa moja kisha na share kwa watu wengine wasome Huu ni ujumbe nilio kutana nao nilipo fungua biblia nami nilijisemea ujumbe nitakao kutana nao nita share kwa wengine nimefurahi kukutana na ujumbe mzuri wenye kueleweka. Vijana...
  9. Ujumbe maridhawa unaomuhusu kila mwanaume anayejitambua. Pitia kwa faida yako.

    Katika kuzurura kwangu huku na huko mitandaoni, nikakutana na ujumbe mzuri ambao nahisi utakuwa Ni Elimu tosha kwa wanaume (hususani wanaoitwa "simps"). Si dhambi nikashea nanyi. ====================== Kwa Kiswahili! Kwa Masada wa AI WANAUME - ACHENI KUTUMIA PESA ZENU KUTATUA MATATIZO YOTE YA...
  10. R

    Ujumbe kwa "Bikira Maria," Usinitokee mafichoni

    If you are real usitokee watu mafichoni, vyumbani ,misituni, kwenye mapango. Vinginevyo hadithi hizo za UONGO. Siku ukitaka kunitokea mimi sema tukutane wapi. In a public spectacle. Watu wakuonene na utoe ujumbe kwa ainabinadamu. Mambo hayo ya Lourdes,Medugorje, Kibeho, Fatima, ambayo Vatican...
  11. M

    Mtoto anafikisha ujumbe kuwa maji wanayopata hayafai kwani yanafanana na chai

    Msikilize huyu mtoto kisha jitafakari, mtoto anatambua ana haki ya kupata huduma bora ya maji safi na salama na si kama hayo yenye rangi kama chai ya rangi. Anatania kuwa akiwa Rais mambomba yatatoa maziwa na chai ya rangi kama hayo hapo.
  12. Ujumbe gani wa mwisho uliambiwa naye kabla hajakata Roho - Hutakuja kuusahau ?? 😢 😭

    Ujumbe gani wa mwisho uliambiwa naye kabla hajakata Roho - Hutakuja kuusahau ?? 😢 😭
  13. U

    Rais Trump atuma ujumbe mzito kwa Domocrats kwa kuweka picha ya kofia ikiwa imeandikwa VETO

    Hamjamboni nyote? Trump bana he u tazama hiyo kofia! President Trump is already putting Democrats on notice with a bright red hat bearing just one word: “VETO.” As Democrats look to take control of Congress, Trump is signaling he plans to use one of the strongest powers of his office to block...
  14. K

    Ujumbe: Methali 10:9

    Methali 10:9 BHN Aishiye kwa unyofu huishi salama, apotoshaye maisha yake atagunduliwa. Maana yake: Unyofu na uaminifu: Mtu anayeishi kwa ukweli, uaminifu, na kufuata misingi mizuri hana hofu, naye huishi maisha ya amani na usalama. Udanganyifu utajulikana: Yeyote anayejaribu kupotosha...
  15. Lema ametuma ujumbe mzito kwa wote walio nyuma ya Mange!!

    Sisi tuliosoma Saikolojia na wenye weledi wa kufuatilia siasa za kijiografia tumeelewa sana...! Nanyi wote mnaofuatilia eleweni kwa umakini.This is not just a message but its a major Geopolitical Message to the world and all those behind the scene. N.B: Canada voted vs cuba blockade!! KWA...
  16. R

    Lema kuna ujumbe wako toka kwa Quinine. Alitegemea utoe majibu kwa maswali haya. Nanukuhu wito wa QUININE kwako. Anataka majibu

    Prelude..Quinine: Lema, kwenye press yako tunategemea utakuja na majibu ya tuhuma hizi. Thread starter; Quinine Platinum Member Today at 7:52 Unatuhumiwa kuikutanisha familia ya Lissu na viongozi wa serikali kwenye hoteli ya Sea Cliff ili familia imuombee msamaha Lissu kwa Samia, je tuhuma...
  17. R

    Ujumbe wa Twaha Mwaipaya. Tuwaombee misa takatofu wahanga wa 29.10.2026

    TUOMBE 29.10.2026
  18. tunaelekea 2027 ila hali ya vyoo vya maeneo ya umma vinakupa ujumbe gani

    Jamani, tunaishi mwaka 2026, dunia inazungumzia AI, robots na safari za kwenda Mars, lakini ukiingia kwenye baadhi ya vyoo vya maeneo ya umma unajiuliza kama bado tuko kwenye zama za mawe tena nahisi hata zama za mawe vyoo vyao vilikuwa sio vichafu kama sasa huenda walikuwa wanakwenda porini...
  19. L

    Rais Samia Ni Buheri wa Afya na Anaendelea Vizuri Kabisaaa na Anawatakia Kila La Heri Kidato cha Nne Katika Mitihani Yao .Huu Ndiyo Ujumbe Wake .

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni Buheri wa Afya , anaendelea vizuri kabisa ,Yupo Salama kabisa , ni Mzima wa Afya,Yupo vyema kiafya na kimwili na anaendelea kutoa maelekezo na kutekeleza vyema...
  20. Hatua ya John Heche kutamka kwamba Tundu Lisu ni Makamu mwenyekiti wa chadema taifa inatoa ujumbe gani mzito kwa wanachadema?

    What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking? Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili? Je, ukiwatazama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…