Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), (katikati), Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (wa pili kulia), wakikagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR, Kipande cha Nne - Tabora hadi Isaka (Km 165), ambacho hadi sasa kimefikia asilimia 10.08, wakati wa ziara yake ya...
Ujenzi wa Kituo cha Umahiri cha Nishati Jadidifu katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) umefikia asilimia 99, kikiwa na mtambo wenye uwezo wa kuzalisha megawati 1.6 za umeme. Mradi huo unatarajiwa kukamilika Desemba 2026 na kuunganishwa na Gridi ya Taifa kupitia TANESCO, hatua inayolenga kuimarisha...
Serikali imesema imeanza maandalizi ya ujenzi wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda kwa kiwango cha lami, huku kipande cha kwanza cha Likuyufusi–Mukuru chenye urefu wa kilomita 60 kikitarajiwa kuanza kujengwa baada ya kukamilika kwa taratibu za malipo ya awali kwa mkandarasi.
Hatua hiyo inafuatia...
Kwa kifupi , Meru Stadium ndio utakuwa uwanja bora kabisa na Makonda hakuna kitu ampiga na wabunge wanao hoji wapewe semina elekezi namna fedha zimetumika na zinatumika.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, ametoa ufafanuzi mzito bungeni jijini Dodoma kuhusu...
Nina masuala mawili hadi matatu kuhusu eneo la ujenzi wa majengo (Architecture), hivyo naomba ushauri na uzoefu wenu.
Kwa mafundi, wataalamu wa ujenzi na wadau wengine wenye uzoefu katika sekta hii, naomba mnisaidie kupata ufafanuzi kuhusu mambo yafuatayo:
Ukubwa wa vigae (Tiles): Kwa nyumba...
MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15
Siku chache baada ya kuandikwa habari kuhusu kukwama kwa meli ya abiria 600 kutokana na ubadhirifu mkubwa wa fedha, mapya yaibuka.
Ujenzi wa meli hiyo kama utafanyika kwa mjibu wa mkataba ulivyosainiwa kwa siri...
MAPYA YAIBUKA KUKWAMA UJENZI WA MELI KIGOMA, MZABUNI ALILIPWA ZAIDI YA ASILIMIA 15
Siku chache baada ya kuandikwa habari kuhusu kukwama kwa meli ya abiria 600 kutokana na ubadhirifu mkubwa wa fedha, mapya yaibuka.
Ujenzi wa meli hiyo kama utafanyika kwa mjibu wa mkataba ulivyosainiwa kwa siri...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya umeanza kutekeleza maelekezo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, kwa kufungua maeneo na njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi Ifisi, hatua inayolenga...
FEDHA UJENZI WA MELI ABIRIA 600 ZATAFUNWA,MRADI WAKWAMA KIGOMA
Mradi mkubwa wa Meli ya abiria 600 iliyokuwa imekusudiwa kujengwa mkoani Kigoma umekwama kutokana na fedha za awali (advance) zilizokuwa zimetolewa na serikali ili kuanza ujenzi zimetafunwa.
Mradi wa meli hiyo ambayo ujenzi wake...
Ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Tawi la Songea, umefikia asilimia 77. Chuo hicho kinatarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wanafunzi 4,500 kwa wakati mmoja, hivyo kuongeza fursa za elimu ya juu, kukuza ujuzi na kuchochea shughuli za kiuchumi katika Mkoa wa Ruvuma na maeneo jirani.
Teka, ua, hubiri amani
Teka, ua, changia ujenzi wa kanisa
Teka, ua, jichomeke kwenye mipira
Teka, ua, changia yatima
Teka, ua, hakikisha media hazireport, teka, ua tena
Jiteteeni mababu zenu hawakuipigania hii ardhi ili leo hatma ya uhai wenu uamuliwe na watu kadhaa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa utafungua fursa za kiuchumi, kuvutia uwekezaji na kurahisisha usafiri kwa wananchi, wafanyabiashara na watalii.
Ndejembi ameyasema hayo mkoani Iringa alipokagua maendeleo ya awamu...
Ninashangaa kuona kuwa hadi mwaka 2026, Serikali bado inajenga barabara zenye njia mbili tu kwa magari ya kawaida, licha ya changamoto kubwa ya foleni jijini Dar es Salaam.
Kwa mfano, eneo la barabara ya Airport lina nafasi kubwa ambayo ingeweza kutumika kujenga njia nne za magari ya kawaida na...
Anonymous
Thread
barabara
dar
dar es salaam
haziendani
kuhusu
maendeleo
mji
ndogo
ujenziujenzi wa barabara
Halmashauri ya wilaya ya Kaliua chini ya Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri wameingia katika mgogoro na Wananchi kwa kuacha maeneo mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kujenga Masoko na kutafuta eneo lingine ambalo litagharimu mabilioni ya fedha kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi.
Wananchi...
eneo
fedha
fedha za umma
kaliua
katika
mabaya
matumizi
matumizi mabaya
matumizi mabaya ya fedha
rushwa
soko
ujenziujenzi wa soko
umma
wilaya
wilaya ya kaliua
Picha yenye maandishi "Je, Wanandoa Wanapaswa Kukaguana Simu zao?"
Ndugu zangu wa Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki (MMU),
Katika zama hizi za mapinduzi ya kidijitali, kifaa cha kiganjani (smartphone) kimeacha kuwa chombo cha mawasiliano ya sauti pekee. Kimegeuka kuwa mtambo unaohifadhi...
Sekta ya Ujenzi ndio inaajiri watu wengi sana katika uchumi, kutoka waliosoma hadi kwa vibarua na kinamama Lishe.
Sekta hii kwa sasa ina thamani ya Trilioni 6 katika uchumi wa nchi, ikiwa ni 13% ya uzalishaji wote nchini(GDP).
Cha kusikitisha katika miaka ya karibuni, sekta hii haina usimamizi...
Habari wana jamvi wa JF...
Leo tumeanza maadhimisho ya jubilei ya miaka 100 (1926 - 2026) ya Shule ya Sekondari ya Tosamaganga. Maadhimisho haya yameanza leo tarehe 08/10/2026 na kilele chake ni keshokutwa tarehe 10/10/2026. Aidha mgeni rasmi katika sherehe hizo ni Mh. Prof. Palamagamba Kabudi...
Naona viongozi wa serikali wamejikita katika kuchangia na kusaidia ujenzi wa makanisa na misikiti na kuimarisha miradi ya hizi dini mbili tu huku wakisahau dini nyingine.
Ni vyema viongozi wakumbuke Tanzania kuna dini zaidi ya mbili, ndugu zetu Wahindu tumewatenga sana linapokuja suala la...