ujenzi

  1. KERO Responded Je, TARURA Morogoro wapo likizo au hakuna bajeti ya ujenzi wa barabara? Wakazi wa Manyuki tunapata shida

    Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa Halmashauri kongwe nchini, lakini kwa miaka mingi kumekuwepo na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara, hasa zile zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA). Barabara nyingi zimegeuka kuwa kero kubwa...
  2. Jaribu ubunifu wa aina hii katika ujenzi wako wa nyumba. Simple, Unique and Healing

    Macho ya mtanzania hayawezi kuona vitu in details, ndio maana atahukumu mara moja kitu atakachokiona in terms of mazoea yake au kiasi cha tabu yake. Tofauti na kuchambua matako makubwa kwa ubunifu wa hali ya juu, mbongo hawezi kuona simplicity na uniqueness ya hii nyumba basi atakuja na...
  3. Wakati wa Ujenzi wake lilipewa jina lake, Leo Uzinduzi wake lisipopewa jina lake ujue ni hatua zakumdogosha

    Leo tarehe 19/6/2025 inafanyika uzinduzi mkubwa Wa Kihistoria,Hapo awali ilionekana kama jambo haliwezekani lakini kwa juhudi zake lilianza na hatimae leo linazinduliwa, wakati wa mchakato wa ujenzi wake lilijulikana kwa jina lake, lakini Wiki chache kabla ya uzinduzi wake Tumesikia halitajwi...
  4. Jinsi hali ya kiwanja inavyoathiri bajeti ya ujenzi

    Hi ------ Posti hii inaeleza jinsi hali ya kiwanja inavyoathiri bajeti ya ujenzi. Mambo muhimu yaliyoangaziwa ni: 1. Aina ya ardhi: - Tambarare: Gharama hupungua. - Mteremko/milima: Gharama huongezeka. 2. Aina ya udongo: - Laini: Huhitaji msingi wa kina → gharama huongezeka. -...
  5. Ukitaka kufanya project yako ya ujenzi kwa uimara nunua vifaa sisi tulipe labor charge +255624004650 call us

    We do design and build services Tunapatikana sinza call/whatsap +255624004650
  6. Kwa kauli hii Dodoma hakuna ujenzi wa kiwanja kipya cha AFCON

    Arusha, tumeona maendeleo, Benjani tumeona maboresho, Dom mbona hata ramani hatuoni?
  7. Wataalamu wa ujenzi nyumba kama hii niandae sh. Ngapi na mimi niamie kwangu?

    Wataalamu msaada wenu tafadhali nimechoka kupanga nina kaeneo kangu ka miaka nenda rudi, na mimi nataka niamie kwangu. Bei gani hii nyumba nataka niamie ndani ya siku mbili hizi.
  8. INAUZWA Nipo Dodoma, nauza mbao bei nafuu sana

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  9. PreGE2025 RC Njombe akabidhi shilingi milioni 30 kwa niaba ya Rais Samia, harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati limefanikiwa kupata zaidi ya shilingi milioni 210 katika harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu iliyofanyika leo Juni 7,2025 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu...
  10. Unapojenga gholofa unatakiwa upange mawe ili upige jamvi je Upi umuhimu wa mawe kwenye ujenzi wa ghorofa

    Unapojenga gholofa unatakiwa upange mawe ili upige jamvi je Upi umuhimu wa mawe kwenye ujenzi wa ghorofa Mawe yana umuhimu mkubwa katika ujenzi wa ghorofa, hasa wakati wa kupiga jamvi (slab). Hapa kuna faida zake: ✅ Kuimarisha Msingi – Mawe husaidia kuimarisha msingi wa jengo kwa kuzuia...
  11. PreGE2025 Bilioni 19.601 kutekeleza ujenzi kituo kikuu cha mabasi geita mjini

    BILIONI 19.601 KUTEKELEZA UJENZI KITUO KIKUU CHA MABASI GEITA MJINI Jumla ya Shilingi Bilioni 19,171, 601, 509. 00 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Geita Mjini, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Miji Tanzania kwa awamu ya...
  12. wafanyikazi wa ujenzi wa Chini Takriban wafanyikazi 1,000 tayari wametua Israel.

    Kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa Operesheni za kijeshi huko Gaza .wafanyikazi wa ujenzi wa China wanarejea Israeli. Takriban wafanyikazi 1,000 tayari wametua, kuashiria mwanzo wa wimbi kubwa la waliofika. Kwa jumla, wafanyakazi 4,000 wa China wanatarajiwa chini ya makubaliano ya nchi mbili...
  13. R

    Natafuta mhandisi mwenye sifa kuandaa michoro ya plumbing kulingana na house plan ya vyumba vitatu. Plan imeshapata kibali cha ujenzi.

    Kama una huo ujuzi tuongee. Hata kama huna degree ya engineering ili mradi una uzoefu wa kutosha
  14. PreGE2025 Naibu Waziri wa Ujenzi aahidi ujenzi wa daraja la Mitomoni kukamilika Septemba 2025

    Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema utekelezaji wa ujenzi wa daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 umefikia asilimia 21 unatekelezwa kupitia fedha za dharura zilizotolewa na bank ya dunia kupitia dirisha la Contigency Emegency response component (CEC)kwa gharama ya...
  15. PreGE2025 Ujenzi wa Shule Mpya 35 za Msingi na 148 za Sekondari Umefanyika Katika Maeneo Yasiyopimwa

    OR-TAMISEMI imekuwa ikitekeleza mradi wa BOOST ili kuimarisha upatikanaji sawa wa elimu bora katika shule za awali na msingi kote Tanzania Bara. OR- TAMISEMI inatekeleza pia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari, kuweka...
  16. PreGE2025 Ujenzi wa daraja la kipanda lawanufaisha wananchi wa vijiji vya namsinde na mfuto wilayani Momba

    Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kipanda lenye urefu wa mita 20 na upana mita 7 kumeleta ahueni kwa wakazi wa vijiji vya Namsinde na Mfuto kuzifikia kwa urahisi huduma za kijamii na kiutawala zinazopatikana Makao Makuu ya kata hiyo Myunga wilayani Momba mkoani Songwe. Akizungumza katika...
  17. Ila Ujenzi wa bongo huwa ni pure comedy! Tunaanzaga kwanza na fundi MAIKO alafu akizungua ndio tuna mtafuta fundi MICHAEL 🤣

    Ujenzi wetu upo sana katika misingi ya kufinya bajeti. Siwezi kulaumu yoyote kwa maana hali ni ngumu kiukweli. Ila hali hii isitengeneze kama jadi fulani hivi sasa maana tunaishia kugharamika hata zaidi ya pesa tungeempa fundi aliehitaji pesa ndefu. (MICHAEL)
  18. Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

    Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi. Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine. Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa...
  19. Ukikwepa sana ghalama za ujenzi utaharibu ubora wa nyumba yako

    Akilini kwako unatakiwa kujua kuwa Ujenzi ni gharama. Unapaswa kutumia gharama kwa busara ili kupata ubora bila kuingia kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Watu wengi hujarahisisha kazi wakidhani wanapunguza gharama, lakini mwisho wa siku, gharama huongezeka zaidi kwa sababu ya marekebisho na...
  20. Y

    Mapya yaibuka : Wajue majini mustwafain na ujenzi wa peramidi za giza-Misri

    Naam , Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Chanzo cha maarifa haya ni sheikh Sharifu Sultan, akiwa katika mfululizo wa vipindi vyake katika chaneli ya moja kwa moja ya Manara TV. Sifahamu kuhusu elimu yake ya kizungu kuhusiano na ujenzi huo wa kale lakini, nondo anazoshusha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…