ujenzi

  1. Ujenzi wa barabara za Mahenge, Malinyi uanze mara moja – Waziri Mkuu

    Aelekeza maeneo korofi yapewe kipaumbele Aagiza wakulima wasitozwe ushuru wanapopeleka mazao nyumbani WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Ujenzi iharakishe taratibu za kumpata mkandarasi wa kujenga kwa kiwango cha lami barabara ya Lupiro–Mahenge, yenye urefu wa takribani...
  2. Kadogosa aipongeza TBA kwa kuanza ujenzi wa makazi kaloleni, asema "ianze kufanya biashara"

    Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, ameupongeza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kwa kuanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa makazi ya watumishi wa umma katika eneo la Kaloleni, jijini Arusha, akieleza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kuongeza upatikanaji wa makazi bora na kuimarisha uwekezaji...
  3. H

    “Wakati ninyi mnajipanga kuweka kwenye bajeti, ujenzi huu uanze, mimi nitawatafutia milioni 100. Muanze, tafuteni fundi muanze - Waziri Mkuu Nchemba

    “Wakati ninyi mnajipanga kuweka kwenye bajeti, ujenzi huu uanze, mimi nitawatafutia milioni 100. Muanze, tafuteni fundi muanze kujenga. Tukiweza kupata milioni 250 hivi, basi tutakuwa na uwezo wa kujenga nusu ya kwanza.” 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚 Waziri Mkuu wa Tanzania 🗓️ Novemba 22, 2026 📍...
  4. KERO :Mkandarasi kafunga njia hakuna mawasiliano

    Habari wadau, kwa muda mrefu Tabata Kimanga kumekuwa na kero ya obovu wa barabara kipande cha Chama mpaka Savanna pale. Hivi karibuni serikali imesikia kilio cha wakazi wa eneo hilo na kuweka mkandarasi ajenge kipande hicho. Maendeleo ni mazuri kwa ujumla lakini kuna namna lazima utaratibu...
  5. Mwigulu Nchemba aagiza ujenzi wa kituo kipya cha afya Ngerengere uanze

    ▪ Aelekeza ujenzi wa daraja la Tununguo uingizwe kwenye bajeti ijayo WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza ujenzi wa kituo kipya cha afya katika Kata ya Ngerengere, mkoani Morogoro, uanze na ameahidi kutafuta Sh. milioni 100 za kugharamia hatua za awali za mradi huo. Dkt. Mwigulu alitoa...
  6. Dkt. Mwigulu aagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa barabara ya Bigwa–Kisaki

    ▪ Asema Serikali imeboresha utaratibu wa upatikanaji wa fedha za miradi ya barabara ▪ Atarejea kukagua maendeleo ya ujenzi WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemtaka mkandarasi anayejenga sehemu ya barabara ya Bigwa–Mvuha–Kisaki, yenye urefu wa jumla wa kilomita 133, mkoani Morogoro, aongeze...
  7. Wizara ya Ujenzi: Barabara ya Uvinza ~ Kanyani (Kasulu) imeshaboreshwa

    Wizara imeeleza "Hiki ndiyo kile kipande kinachooneshwa kwenye mtandao." Wizara ya Ujenzi imeeleza kuwa "Hii ni Barabara ya Uvinza ~ Kanyani [Kasulu] na hiyo picha iliyorushwa mitandaoni ni ya tarehe 3 au 4 Novemba 2026 wakati mvua kubwa imenyesha mkoani Kigoma. "Eneo hili liliharibika baada...
  8. A

    KERO Vijana tulioshiriki ujenzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma tutapata lini mrejesho wa ahadi za Waziri?

    Vijana tulioshiriki katika ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Tulipewa matumaini makubwa baada ya kuitwa na Waziri wa Ulinzi jijini Dodoma, ambaye alituahidi mambo makubwa ndani ya muda mfupi. Hata hivyo, mpaka sasa ni takribani miezi miwili imepita bila kupata mrejesho wowote kuhusu...
  9. B

    Maajabu ya wasanifu majengo na mafundi ujenzi

  10. Sekta ya Ujenzi kwa wazawa imeanza kufa? Makandarasi wazawa wanauza mitambo!

    Sekta ya Ujenzi kwa ujumla ina matatizo makubwa sasa hivi. Sekta hii ndiyo iliyo mbele kwa miradi yote ya maendeleo nchini. Serikali kwa kupitia Bodi ya Usajili wa Makandrasi (CRB) , kwa miaka mingi imepigia upatu ukuaji wa sekta hii, hasa kwa makandarasi wazawa. Sasa hivi hali ni mbaya,mbaya...
  11. B

    Miaka 8 Leo toka ujenzi uanze na bado Kodi za watanzania zinaelea tu juu ya maji

    Ilikuwa 2018 pale JPM akizindua ujenzi wake, meli mpya, kubwa na ya kisasa ambayo ilitegemewa kukamilika ndani ya miaka 3 na kuleta sura mpya katika suala Zima la usafiri katika ziwa Viktoria na nchi jirani. Kuamsha uchumi uliolala na kusaidia mzunguko wa pesa katika mikoa ya Kanda yote ya ziwa...
  12. O

    Majengo Yanayoporomoka Kenya: Wananchi Wanaendelea Kulipa Gharama ya Uzembe wa Ujenzi

    Wakenya wameendelea kushuhudia visa vya majengo kuporomoka, hali inayozua maswali kuhusu usalama wa nyumba, ubora wa ujenzi na uwajibikaji wa taasisi zinazopaswa kusimamia sekta ya ujenzi nchini. Tukio la hivi punde limetokea Ijumaa, Novemba 13, 2026, ambapo jengo la ghorofa nane lililokuwa...
  13. M

    KERO Ujenzi wa barabara ya Liwale–Nangurukuru kwa kiwango cha lami unasuasua, kipande cha Liwale–Chonya kimesimama

    Ujenzi wa barabara ya Liwale kuelekea Nangurukuru yenye urefu wa takribani kilomita 230, inayojengwa kwa kiwango cha lami, unaendelea kusuasua huku ujenzi wa kipande cha tatu cha Liwale–Chonya chenye urefu wa kilomita 76 ukisimama kabisa. Katika awamu ya kwanza ya kipande hicho, inayohusisha...
  14. Mbao zimeadimika, gharama za ujenzi zimeongezeka, kuna zuio la ukataji miti!

    Nchi ni yetu sote,ile kuwa kiongozi haikufanyi uwe kiumbe tofauti na wengine! Mahitaji yetu wote ni yaleyale,( kula,kuvaa na kulala) Mbao zimeadimika na bei zipo juu kwa watu wachache walionazo! Kuna Taarifa kuwa kuna zuio la ukataji wa Misitu! Mtu mmoja anaamka asubuhi anatoa Amri inayobadili...
  15. A

    KERO Ujenzi wa barabara ya Bagamoyo (Mwenge – Tegeta DAWASA) utakamilika lini?

    Nimekuwa mtumiaji wa Barabara ya Bagamoyo nikiwa naelekea kwenye majukumu yangu ya kila siku. Leo imebidi niandike jambo ambalo nadhani wengi wanaotumia njia hiyo watakuwa wameliona au wanaweza kulifuatilia. Mkandarasi anayejenga barabara hiyo kuanzia Mwenge hadi Tegeta Dawasa ana wafanyakazi...
  16. Napendekeza mbinu wa ujenzi wa Flyover inayopunguza gharama kwa 99%, ujenzi unakamiika ndani ya miezi miwili, na ghara ya Tsh. Billion 3

    Mbinu hii ni mchanganyiko wa ‘Underpass’ + ‘Overpass’ , kupata kitu ninachokiita ‘HYBRID FLYOVER’. Kwanini mbinu hii inapunguza gharama za ujenzi na muda wa ujenzi kwa 99% 1.) Kwa sababu kifusi kinachochimbwa wakati wa kuandaa ‘Underpass’ ndio hicho hicho kinatumika hapo hapo kutengeneza tuta...
  17. Swali wizara ya ardhi na ujenzi uvamizi AU kuuza eneo la road reserve barabra ya Morogoro

    Naombeni hizi Wizara mbili zinijibu kwanini eneo la Road Reserve limevamiwa na Ujenzi wa Vituo vya mafuta na vitu vingine unaendelea?? Kama Magufuli aliwatoa hao watu kwanini sasa wanarudi kujenga ili badae mseme wa hati halali walipwe mpate dili au ni nini?? mfano kuna vituo vya mafuta...
  18. B

    Ujenzi Jangwani unaleta umasikini mikoa ya Pwani

    Watu Sasa wanashindwa kujua wafanye Nini, si mvua kama ilivyotabiriwa Bali ni jua Kali sana naw joto la tanuru. Na tunakoelekea kutakuwa na milipuko mikubwa sana ya magonjwa, hii itasumbua sana uchumi wa wakazi wa maeneo haya maana watu wazima na watoto watakuja sana kutokana na hari hii...
  19. K

    Hakuna kampuni ya ujenzi wa barabara isiyotoa asilima 10%

    Kama kuna mtu mwenye kampuni ambayo haitoi 10%. Nasikia kampuni za kichina ndiyo kabisa ndiyo maana wanashinda kila tender Kama kuna kampuni haitoi 10% na ina mradi mkubwa iseme hapa tuna data zote
  20. A

    KERO Kupata kibali cha ujenzi Dodoma ni shughuli hasa kwa sisi raia wa kawaida

    Kupata kibali cha ujenzi Dodoma imekuwa usumbufu mkubwa wanasema mpaka upate hati na hati siyo kitendo cha wiki moja, ni miezi na ukianza ujenzi wanakuja kusimamisha. Hati zinatolewa kwenye Mfumo wa E Ardhi, binafsi nina muamala ambao ni wa tangu Machi 2025 mpaka leo haijapatikana Control...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…