Ndugu wanabodi, nipo town posts Dar es Salaam kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji.
Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya Mtongani .
Jambo la ajabu kituo cha polisi kipo karibu kama mita Mia tu na hakuna...