tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Ina maana kumsikia tena yule aliye kuwa Msemaji Mkubwa wa Gavoo sasa hivi

    Ndiyo mpaka connection zivuje na wanafunze wanaomaliza form four washangilie na kucheza wakiwatishia mama zao wafiche nanilii zao ndani? Ila bado ataendelea kuwa karibu sana na wasanii kwa kuwa connection nyingi hutokea pande zile
  2. C

    Msaada: Jamani nimekwama, sikopesheki tena kwenye ESS yangu Mimi ni mtumishi naomba mtu aniazime 270000(laki mbili na sabini elfu)

    Jamani Nina changamoto na ninahitaji msaada wa tsh 270k Kila Kona ninayoitazama nina deni , ess yangu haitamaniki siwezi elezea Kwa urefu kwanini nimefika hapa ila naomba anayeweza kuniazima hicho kiasi nitakilipa Kwa awamu mbili December na January , msaada Jamani
  3. S

    Unafikiri kwa nini TAKUKURU, TISS na Polisi hawaoni tena haja ya kutoa taarifa kwa mamlaka ya juu kuhusu watu wanaofanya ufisadi na wizi nchini?

    Hili limethibitishwa, kwamba TAKUKURU, TISS na hata Polisi hawatilii maanani tena kufuatilia au kutoa taarifa kwa mamlaka ya juu nchini kuhusu wizi na ufisadi mkubwa unaofanyika nchini, iwe na watu wa ndani au wa nje. Kuna mtu nilipogusia kwake jambo hili kupata maoni yake aliniangalia usoni...
  4. M

    Karibu tena Dkt Slaa JF

    Nakumbuka miaka 2010,2011,2012 ,2013 Dkt Slaa alivyokuwa akichangia na akijibu maswali mbali mbali kupitia jf. Namkumbuka zaidi pale Post zangu zilikuwa hazimpiti, lazima akizichangia Dkt Slaa tunajuana zamani, Karibu tena Swali dogo tu. Kwanini ulihame chadema na kuhamia ccm na kurudi tena...
  5. Nauza Powerbank itakayochaji iPhone yako mara 8 na zaidi hata umeme ukate wiki nzima

    PowerBank hii inaweza kuchaji iPhone yako mara 9 ndio uichaji. Inafaa kwa mainjinia, project managers nk na wale ambao wanakaa maeneo ambayo yana changamoto ya umeme. Sifa zake kwa ufupi; 1. Inachaji simu mara zaidi 9 (inategemea na ukubwa mAh za battery) 2. Inawaka taa (tochi) 3. Ni rahisi...
  6. F

    Kwa nini waislam wamekaa kimya tu hawalalamiki huku waganga wa kienyeji wanatumia QURAN kwenye ushirikina tena live mitandaoni? Why hawaitetei Quran

    Habari wadau. Nimeona waganga wa kienyeji kadhaa mtandaoni wakiwa na kitabu cha QURAN kwenye ungo na kuweka pia ka mzimu ka kitapeli kanachozunguka kujifanya kana nguvu za kichawi. Wanatafuta wateja mitandaoni na kuwasomea nyota ili kuwatapeli. Kitu kinachonishangaza sioni waislam...
  7. baada ya kupetezana kwa mda mlefu hatima wemekutana tena

    baada ya kupetezana kwa mda mlefu hatima wemekutana tena
  8. H

    Halooo Pwani, tumerudi tena, Ziara ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Ziara ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, mkoa wa Pwani katika Halmashauri ya Chalinze
  9. Jaji Masaju: Tusiruhusu Taifa letu kutawaliwa tena na Wakoloni

    ''Wakati ambapo taifa tunataka libaki kuwa huru, libaki huru lakini likiwa na umoja, hii ndio utambulisho wetu katika jumuiya ya mataifa. Taifa huru lakini lenye umoja. Kwa hiyo tuchukue kila zinazowezekana hatua halali kuimarisha uhuru wetu na umoja wetu. Tusiruhusu tuje tutawaliwe tena na...
  10. Sitapoteza mda wangu na kumaliza data tena kufuatilia podacat ya Salma dakota na Omary wamepoteza weledi. Wamekuwa kijiwe cha wahuni.

    Aisee hawa watu naona wameshaingia mfukoni mwa wahuni. walianza Vizuri ila ghafla wamekuwa machawa tawi TBC. Mi nadhani media za bongo.nyingi kwa sasa ni kama toilet papers sitapoteza mda wangu kuwafuatila tena hawana weledi wowote. Hakuna la maana watajadili kwa sasa and I bet they are...
  11. Leo ni siku ya Wanafunzi Duniani, Kama ungerudishwa shuleni leo, ni kosa gani usingelirudia tena?

    Mimi nisingekuwa na presha ya maisha Ningetumia muda kucheza, kujifunza vitu vingine na ujuzi wa mtaani. Wakati nasoma i thought masomo ndo the only thing that matters, Ningejifunza mambo na mambo mengine pia
  12. R

    Askofu Bagonza: CHALAMILA na “MKE WANGU NIKIFA USIOLEWE TENA”😅😅

    na “MKE WANGU NIKIFA USIOLEWE TENA”😅😅 Na Askofu Bagonza Huyu Ndugu Albert Chalamila, Mteule mwenye bahati ya kumegewa kipande cha nchi kilicho DSM, anaweza kufilisika vyote lakini si maneno ya kuzua taharuki. Safari hii kayatimba kivingine. Eti akifa azikwe kwa mila za wanaosali Ijumaa. Hii...
  13. K

    Wayahudi walitaka kumpandisha tena Trump kwenye kabati la chakula

    Wayahudi wameendelea kuweweseka kwa kukosa msaada kutoka kwa trump, sasa wameamua kuwadanya na kupika upupu wowote ili wamshawishi bwana wao trump kuwasaidia kwa kuogopa kipigo kingine kutoka kwa Iran Hivi sasa wamekuja na upupu kuwa Iran inataka kumuua trump na ndege zizsizo na rubani. Hii ni...
  14. Mgeni toka Dubai kakutwa na pembe ya Faru, kalipa tu Faini

    Hii ndio Tanzania ambayo MH TUNDU LISSU anapigania. Watanganyikana sababu zaidi ya Bilioni ya kwann ni lazima muungane na LISSU . Watanganyika wangapi wapo Jela?? Kwa makosa ya Gram 2 za bangi, mara Nyama ya Sungura kilo Moja, sijui Ngozi ya fisi , watu wefungwa miaka 30. Leo Mgeni...
  15. Kimantiki takwa la kuachiwa huru kwa Tundu Lissu kabla maridhiano hayajafanyika halina maana tena!

    Moja ya matakwa ambayo CHADEMA wamekuwa wanayasema kama moja ya vigezo vya kuingia katika meza ya maridhiano ni kuachiwa huru kwa Tundu Lissu bila masharti yoyote. Ukiangalia hapa ambapo tumefikia, takwa hilo halina maana tena maana kama mahabusu amekaa siku 577, kama kuhukumiwa amehukumiwa...
  16. Ushauri wenu wakuu, tayari kamesha vuruga mambo tena

    Baada ya kumaliza ugomvi, nikaamua kukarufisha kimya kimya watu wasione wasije wakanicheka. Sasa jana nimekaleta geto saa sita usiku ili watu wasikaone.... leo kameamka saa kumi na mbili alfajiri kakaanza kufagia uwanja aiseee..... Yaani hapa nawaona majirani wananong'onezana tu huku...
  17. Tundu Lissu Kupandishwa Mahakamani Kisutu 19/11/2026 kwa kosa la Uchapishaji wa taarifa za Uongo

    Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anatarajiwa kurejea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Novemba 19, 2026, kwa ajili ya kutajwa kwa kesi nyingine ya jinai inayomkabili ya kuchapisha taarifa zinazodaiwa kuwa za uongo kupitia...
  18. wakuu nauza kiwanja Mwanza

    Nimeamua kuuza tena Maana nili ahirisha kiwanja changu kipo mwanza Buswelu kahama ukubwa 18 kwa 28....wahituwahi....0756038510...Bei....Milion 3.2M..Piga simu tuwahi Nikuunganishe na ssiter angu hapo Mwanza tumalize mi npo DSM
  19. Uthibitisho wa maisha baada ya kifo. Hawa watu walikufa, wakazaliwa tena, kisha wakayakumbuka maisha yao yaliyopita

    Hali ya watu kukumbuka maisha yao ya nyuma yanayodhaniwa kuwa walishi kabla ya kuzaliwa mara ya pili inajulikana kitaalamu kama "Past-Life Memories" au "Reincarnation Cases". Ingawa jambo hili linasalia kuwa mjadala mkubwa wa kiimani na kifalsafa, watafiti kadhaa—wakiwemo wale wa Chuo Kikuu cha...
  20. Kama wewe Ni mtoto wa kiume Tena mpambanaji huwezi kufurahia kifungo cha Lissu....

    Wapambanaji tunapitia Mambo mengi Sana Hasa katika utafutaji, kumbuka gereza Halina mwenyewe.muda wowote unaweza ule unaweza kuwa mahabusu au mfungwa, ngoja niwape kisa kimoja kilichotokea mwaka 2017. Kuna Jamaa yangu alikuwa Ni Askari Polisi huko Kanda ya ziwa, huyu jamaa alipata ajira akiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…