tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    Kuanguka kwa Demokrasia Tanzania: U-Magufuli na mabadiliko yasiyo na baraka za Watanzania

    Kwenye viunga vya wasomi na wanasiasa, wachambuzi na wanaharakati hili jambo linaendelea kujadiliwa sana. Katika dhamira ya kuleta mabadiliko Rais Magufuli anaonekana kuwa na dhamira lakini amekosa wapi na lipi ashike. Amekosa mipango ambayo ingeihakikishia Tanzania mabadiliko aliyokusudia...
  2. Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani NDEGE NYINGINE YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA - Waziri wa Mambo ya Nje na...
  3. Wakati muafaka Oryx Gas kupunguza bei za gesi zao, Mh. Waziri tetea Wananchi kwa maendeleo ya Tanzania

    Kuna siku niliweka mshangao wangu hapa bei ya mafuta ya Uganda ni ndogo kuliko Diesel ama petrol inayouzwa Tanzania. Nikawaza haya Malori yanayosomba mafuta wanasema wanapeleka Uganda wanabeba mafuta ama ulezi. Leo naomba nieleze bei za gesi hapa nchini Kumekuwa na mtafaruku sana hapa kati...
  4. Ndege nyingine ya Tanzania yazuiliwa Canada.

    Waziri wa mambo ya nje ameonesha kusikitishwa na zaidi ya hapo kukasirishwa na kitendo kinachofanywa na Canada kila ndege ya Tanzania inapotaka kutoka hapo. Kwa maneno yake...."siyo Canada peke yao ndiyo wanaotengeneza ndege". Natamani tufukue hili kaburi tujaribu kuona kulikoni Canada?
  5. Prof. Kabudi nachelea kukuamini kama kweli mlishinda kesi Afrika ya Kusini, tusipende kuona uongo kuwa sehemu kubwa ya siasa za Tanzania

    Kwanza naomba niombe radhi kwa balozi wa Canada nchini Tanzania kama kweli ulimuita na kumzungumzia yale uliyozungumza leo. Pili siamini kama hujui kuwa kuna tofauti kubwa kati ya Marekani na Canada kwani Canada yupo jumuiya ya madola wakati Marekani haipo. Sasa basi, tuje kwenye hoja ya...
  6. Tanzania yatangaza Hifadhi za Taifa mpya tatu na kufanya Hifadhi Taifa kufikia 22

    Sehemu ya Pori la Akiba la Selous lenye ukubwa wa Kilometa za mraba 30,893 limegeuzwa kuwa Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kama alivyoagiza Rais Magufuli Hifadhi hiyo inaanza rasmi Novemba 19 baada ya Rais Magufuli kuweka saini kwenye Tangazo la kuanzisha Hifadhi hiyo na na Bunge kupitisha azimio...
  7. F

    Naombeni details za hii PhD aliyopewa huyu na kama hii sio PhD ya aina yake hapa Tanzania?

    Jana wakati Prof.Makulilo anawahudhurisha wahitimu kuna dada amekabidhiwa PhD ya matumizi ya Vipodozi kama sikosei ,"The case of Bongo Movies" Nilisikiliza topics za PhD zilizotolewa jana na UDOM kwa kweli naona hata mimi soon na enroll PhD pale UDOM.
  8. Job Offer: Sales Executive at CarHunt Japan, Tanzania Office

    Job Description We are looking for experienced, competitive and trustworthy sales executives for the CarHunt Japan branch office in the Tanzania market to build up business activities. The line of business is selling used cars, trucks, and Machinery to customers in Tanzania. Job position...
  9. Suala la annual icrement Tanzania

    hivi hili suala la annual increment kwa Tanzania ni la kikatiba au limekaa vipi? Mbona serikali imepiga kimya na kila mtu kapotezea as if halikuwahi kuwepo hapo kabla? Nielimisheni
  10. Tanzania kuondolewa orodha ya nchi maskini

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo ya Biashara (UNCTAD), limezindua ripoti ya mwaka 2019 kuhusu nchi maskini zaidi duniani. Shirika hilo limebainisha kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo katika hali chanya kwa kufanya vizuri, kuweza kuondoka katika orodha ya nchi...
  11. Je, kwanini watumishi wa umma wa Tanzania hawagomi?

    Kwenu wakuu, Watumishi wa umma wa Tanzania wamepitia vipindi vigumu sana hasa tangu JPM aingie madarakani. Hakuonesha kuwathamini wala kuwajali kabisa, aliwabeza na kuwatukana. 1. Hajapandisha vyeo wala madaraja na mishahara pia ambayo ni haki yao kisheria. 2. Amepitisha sheria ya kikokotoo...
  12. Extramural Advisor Job Opportunity at RTI Tanzania

    RTI International is one of the world’s leading research institutes. We work with governments, businesses, foundations, universities, and other clients and partners to improve the human condition by turning knowledge into practice. Our staff of more than 5,000 tackles hundreds of projects to...
  13. J

    BBC waipongeza JamiiForums, wadai ndio tegemeo pekee la habari za uhakika nchini Tanzania, wampongeza Melo na watendaji wake

    BBC wameipongeza JamiiForums kwa kuwa kimbilio la wananchi kupata habari za ukweli na uhakika Sasa Maxence Melo anahojiwa mubashara kuhusu tuzo anayoipokea nchini Marekani. Chanzo: BBC Dira ya Dunia
  14. Maxence Melo Mubyazi, Tanzania: 2019 International Press Freedom Awards

    CPJ is honored to present its 2019 International Press Freedom Award to Maxence Melo Mubyazi, a champion of online freedom of expression in Tanzania. He is the co-founder and managing director of Jamii Forums, a popular East and Central African website and discussion forum that is a source of...
  15. Timu ya Wanawake ya Tanzania kuzidi kuwa tishio barani Afrika huku ya wanaume ikijikongoja

    Kwa miaka ya karibuni tumeshuhudia timu ya taifa ya wanawake kuwa tishio barani Afrika. Ikishinda makombe mfululizo katika mashindano ya CECAFA, COSAFA n.k. Kwa nini haipo hivyo kwa upande wa pili, tatizo lipo wadau?..
  16. Polepole: Muda wowote kuanzia sasa naenda kuyataja magazeti makubwa Mawili ya ‘hovyo hovyo‘ nchini Tanzania

    Akizungumza mubashara kabisa leo asubuhi ndani ya kituo cha redio cha Magic FM ambacho pia kinamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole amesema kwamba kuanzia sasa muda wowote ataenda kuyataja magazeti mawili makubwa aliyoyaita mwenyewe kuwa ni ya...
  17. Algeria yatunisha msuli kwa bidhaa za China nchini Tanzania

    Sikuwahi kufikilia nchi mojawapo ya ukanda wa kaskazini ku-export bidhaa nchini Tanzania, hususani bidhaa ya simu. Leo naona simu yenye uwezo wa kasi ya 4G inayopigiwa kelele na makampuni ya mitandao nchini ikizalishwa nchini Algeria na kuanza kupokeewa kwa mikono miwili. Bidhaa zilizoeleka...
  18. Mwaka 2011 nilipewa elfu themanini (80000) na Rostam ya kula sasa endapo ilikuwa ni kodi ya wa Tanzania naomba msamaha

    Mapema mwaka tajwa hapo juu niliambulia kiasi hicho cha pesa kutoka kwa gwiji RA kwa ajili ya soda na biscuits. Muda huu nafsi imenisuta pengine nilikula ya kagoda au ya Richmond. Kwa mantiki hiyo nakuja kwenu wa Tanzania kuwaombeni msamaha na nipo tayari kuirejesha. Ee mwenyezi Mungu nisamehe
  19. Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

    Ni dhahiri kuwa timu ya Taifa kwasasa ipo kwenye kiwango kizuri sana (kinavutia). Leo tarehe 19.11.2019 majira ya saa 22:00 timu yetu ya taifa (taifa stars) itashuka dimbani kumenyena na Libya ni katika harakati za kuwania kufuzu kucheza fainali za AFCON mwaka 2021. Taifa Stars ambayo ilimpiga...
  20. House4Sale Nyumba inauzwa ipo Buswelu Mwanza Tanzania

    Inauzwa: Nyumba kubwa ya kuishi, iko kwenye kiwanja kikubwa cha square meters 2,539 (surveyed area) Mahali ilipo: Wilaya ya Ilemela, Busweru, Mwanza (Kilomita 2 kutoka ofisi za halmashauri ya Ilemela) Vilivyomo: vyumba vinne vya kulala, (master bedroom 1 na vyumba vitatu) Sitting & Dining...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…