tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. 2020 growing retail store business in Tanzania

    By: Khamis Saleh •Staffs are the first Customers and our brand ambassadors •Stand front to remind people about the vision •Let them feel are comprised in that vision •Get time to Know your people, they can cause failure or success •We may have these kind of people, to know them will increase...
  2. N

    Tarehe 21/1/2020, mwanzo mpya wa Tanzania mbovu

    Zile tafiti zinasomega Tanzania ni mojawapo ya nchi ambayo wananchi wake hawana furaha ni za kweli kabisa, hata hizi sikukuu zime reflect ukweli,umaskini umeongezeka kwa kiasi kikubwa katika awamu ya tanao Watu wamekata tamaa,hela hakuna, ubabe wa wenye mamlaka hausimuliku, Rais wa nchi ana...
  3. M

    Kenya na tanzania

    Dhamira na lengo la kuanzisha uzi huu ni baada ya kuona ushindani mkubwa humu jf baina ya watanzania na wakenya wakilinganisha maendeleo( kati ya mambo mengine) katika nchi hizi mbili.. Ushindani wa kulinganisha si mbaya kwani unaweka wazi mapungufu yaliyopo katika nchi zetu lkn ushindani ambo...
  4. GE2020 Mwaka 2020 Tanzania inaweza kumwaga damu kwa hulka ya watawala

    Kwakuwa WATAWALA wetu wanapenda kutumia ubabe wa kidola na wanafanya hila nyingi kukaa madarakani na vyombo vya dola haviangalii haki na Sheria na bunge limewekwa mfukoni huku mahakama ikiwa Haina meno basi uchaguzi wa 2020 unaweza ukawa wa kumwaga damu hapa Tanzania. Ni ukweli ulio wazi CCM...
  5. Kisutu: Mhasibu wa Ubalozi wa Tanzania nje ya Nchi, kupandishwa Kizimbani

    Wakuu, TAKUKURU kwa kushirikiana na DPP mchana huu wanatarajia kumfungulia kesi mhasibu wa moja ya ubalozi wa Tanzania nje ya nchi. Bado jina la Mtuhumiwa na Ubalozi anaofanyia kazi haujawekwa wazi. Stay tuned.
  6. Pitia hapa, kama unapenda kufanya biashara mtandaoni (Drop shipping), na hatimaye tuwe na online store ya ukweli Tanzania

    Habari wadau! Hope mko poa kabisa, na kwa neema za Mungu tunatumai atatuvusha mwaka salama, kwa wale ambao ni wagonjwa na wenye shida mbalimbali, basi ni maombi yangu kwa Mungu wa Mbinguni akuponye na kukupatia wepesi kwa yale unayopitia. Teknolojia inakuwa kwa kasi sana, na kila siku mambo...
  7. U

    Tanzania wanafiki, kuendesha umelewa ni kama imeruhusiwa, Polisi wanaangalia tu

    Habari Wanajamvini, Hivi sisi Watanzania na Jeshi la Polisi ni watu wanafki sana hasa kwahili suala la kuendesha umelewa. Jana nilienda na gari yangu Police Mess nikanywa Konyagi zangu mbili nikaondoka nikawasha gari yangu huyo, huku baadhi ya polisi wakinisalimia, na wengine niliwazungushia...
  8. Kazi na Bata ndio Habari ya mjini, Mengine Mbwembwe tu

    Maisha ni tight kwa hio hapa ni mwendo wa KAZI na BATA tu mengine Mbwembe tu 2020 Twende na KAZI na BATA tuachane na mbwembwe
  9. JamiiForums is the best social media in Tanzania

    Wana JF, Hadi kufikia leo hii mimi binafsi nimeelimika sana tangu nilipojiunga na JamiiForums miaka kadhaa iliyopita. Ni jukwaa ambalo wanachama wake ni kutoka kila fani nchini Tanzania. Kwa masuala yoyote ya Siasa, Jamii, Uchumi na Michezo; vyote vipo JF. Ni media ambayo hufichua maovu...
  10. Kwanini Tanzania hakuna viongozi wenye “Vision and Charisma” tena wadogo?

    Binafsi I am not very much impressed na majority ya viongozi wetu. Tanzania sioni viongozi wenye vision and charisma tena wakiwa wadogo kama kina Obama na Sankara. Viongozi wanaoweza kufanya mapinduzi kwenye Wizara, Mikoa, Wilaya au taasisi wanazoongoza. Tatizo hasa ni nini? Chukulia mfano...
  11. Ubalozi wa Tanzania Uingereza walalamikiwa kwa kutopokea simu, huduma duni kutoka kwa wageni watarajiwa, je wahusika wanakwepa lugha ya kiingereza?

    Tangu kuanzishwa kwa huduma ya kufanya maombi ya viza mtandaoni kwa wageni wanaotarajiwa kutembelea Tanzania, huduma hiyo imezorota katika siku za karibuni. Muombaji viza anaetaka kutembelea Tanzania kwa kusudio lolote inanmbidi ajaze fomu ya maombi mtandaoni ambapo idara ya uhamiaji makao...
  12. Mdau wa Diaspora ajibu maswali kuhusu daraja litakalojengwa kutoka Dar hadi Zanzibar

    MDAU WA DIASPORA AJIBU MASWALI KUHUSU DARAJA LITALOJENGWA KUTOKA DAR HADI ZANZIBAR. Leo 19:15pm,28/12/2019 Kutokana na Mgongangano wa mawazo ili Watanzania tufikie lengo kuu lenye kuleta tija,Mdau wa Diaspora amejibu maswali kiufasaha kuhusu ujenzi wa daraja kutoka Dar hadi Zanzibar ili wadau...
  13. Kila mtu Tanzania anataka kuwa msanii, hii ina maana gani ?

    Katika miaka ya hivi karibuni watanzania walio wengi wanaonekana kuelemea upande wa sanaa katika kila kitu.Sanaa ipendwayo zaidi siyo ile ya uchongaji vinyago na uchoraji vibonzo ,La ! bali ni kuimba na kucheza muziki na kubwatuka kwenye maigizo. Fedha nyingi za masikini na matajiri zinaishia...
  14. J

    Watalii wa Tanzania na Israel sasa kutumia ndege moja inayotumia saa 5 kutoka kutokea Kilimanjaro

    Serikali ya Tanzania na ile ya Israel zimekubaliana kubadilishana watalii ambapo sasa itatumika ndege moja tu kuwasafirisha watalii wa nchi hizi mbili. Utaratibu ni kuwa ndege itakayowaleta watalii kutoka Israel ikifika KIA itawashusha na kuwachukua mahujaji wa Tanzania wanaoelekea Israel kisha...
  15. J

    Wanasiasa wa Kenya wengi ni watoto wa wapigania uhuru lakini Tanzania ni watoto wa wakulima, wafugaji na Chadema wafanyabiashara

    Nilikuwa nasoma historia za wanasiasa wa Kenya akina Mudavadi, Ruto, Kalonzo Musyoka, Raila na wengine wengi nimeona 95% ni watoto wa wapigania Uhuru. Yaani wana ile spirit ya siasa. Nikarudi hapa nyumbani kwa wakina Mwigulu, Mbowe, Tundu Lissu, Zitto, Nape, January na wengine wengi nimegundua...
  16. Tanzania inahitaji political reform

    Tangu mwaka tisini na mbili wakati nyerere akiwa hai aliona siasa ya ujamaa imefeli na aliona sisi sio kisiwa tusalimike akaamuru mfumo wa vyama vingi urusiwe kwa mara ya kwanza baada ya ule wa wakati wa kupigania uhuru kufutwa rasmi baada ya kuwa huru. Namuona rais wetu john magufuli...
  17. Pongezi Rais Magufuli na Awamu Yake ya Tano, Wafanya Maajabu Vita Dhidi ya Umasikini, Tanzania Yaongoza Dunia Kupunguza Umasikini Uliotopea-WB.

    Wanabodi, Hili ni bandiko la pongezi kwa Rais Magufuli na awamu yake ya tano. Naomba kuanza na angalizo, Kuna watu wana allergy na pongezi zozote kwa rais Magufuli na awamu yake ya 5, hivyo akifanya jema lolote au akipongezwa kwa zuri lolote, wao wanakasirika. Kwa vile bado tuko kwenye...
  18. Diamond platnumz atawala chart za Kenya na Tanzania Boomplay kwa wanamuziki wa TZ.

    Rf
  19. Watalii 450 wa Israel watembelea Tanzania

    WATALII zaidi ya 450 kutoka Israel, wamewasili nchini mwezi huu kwa ajili ya kutembelea vivutio vya kitalii vilivyoko Kaskazini mwa Tanzania. Watalii hao wamekuja nchini kwa kutumia ndege binafsi na za kawaida. Kundi la kwanza la watalii 150 liliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  20. Sikanyagi Tanzania hadi 2026 Desemba

    We have an alert concerning with abduction, You won't Get me that easily Mbona wapo wengi tu wa kuwakamata? Why me , Nimeshatangaza Kuacha Siasa hivyo niko Busy na Mambo yangu Pole C.A.G Pole Magoti Pole Azory Mimi ni CCM asilia we don't get scared kwa masanamu tumeyapeleka Karakana wenyewe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…