tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. COVID-19: Nani mkweli kati ya Serikali yetu na Ubalozi wa Marekani? Je, Tanzania tunawaogopa sana Wamarekani? Kwanini waseme uongo huu waachwe?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala fikirishi, elimishi na hamasishi uzalendo za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hutolewa kwa mfumo wa maswali, makala ya leo ni kuhusu utoaji wa taarifa za Corona, COVID-19: Nani Mkweli Kati ya Serikali Yetu na Ubalozi wa Marekani...
  2. T

    Kwanini kila kitu Tanzania lazima ununue kwa pesa tasilimu?

    Kwanini kila kitu huku kwetu Tanzania lazima mtu anunue kwa pesa tasilimu(cash money)? Tanzania ukitaka simu lazima uwe na cash, ukitaka gari lazima uwe na cash, ukitaka samani za ndani lazima uwe na cash money, yaani kila kitu ni cash. Vitu kama simu mitandao ya simu hua na offa ya mtu...
  3. Haki ya kuandamana na tamko la Tanzania kuhusu maandamano Marekani!

    Kufuatia kifo cha kikatili cha Mmarekani mweusi George Floyd, kumetokea maandamano Marekani na sehemu mbalimbali duniani kote tangu wiki iliyopita. Hapa kwetu Tanzania haki ya maandamano imetamkwa kikatiba katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Matukio mengi sana ya kuogofya yemetokea...
  4. Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

    Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena. Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
  5. Uganda - Tanzania pipeline is not Economically viable

    Cnooc questions investment in oil pipeline Cnooc workers in the field Cnooc Uganda Limited has up to the end of May to decide whether it will buy half of the stake from Tullow Oil Uganda, nearly three months after the Chinese company wrote to Uganda’s energy officials casting doubt about the...
  6. M

    Uchumi wa ajira na ukweli kuhusu Tanzania ya viwanda

    Anaandika John Sm Mgejwa Kuna kipindi nchini Kenya hasa mwaka 2009/10 kwenye mapato yaliyokuwa yanakusanywa kwa mwaka, 47.3% ya Fedha zilizokusanywa zilikuwa zinatumika kulipa mishahara ya watumishi, kiwango hiki lilikuwa juu ya kile Cha kimataifa ambacho ni 35% ya makusanyo yote. Hii ina...
  7. Radio Maria Tanzania na Radio Mbiu ya Bukoba imekaaje?

    Wakuu, hivi karibuni imeanza kuzoeleka kusikia mtangazaji wa Radio Maria akiitangaza Radio Mbiu ya Bukoba kama mshirika wake. Nachotatizwa hapa ni namna ya UHUSIANO kati ya radio hizi mbili kwani inajulikana Radio Maria Tanzania inaendeshwa kwa nguvu ya wasikilizaji kwa kutoa michango. Je...
  8. Umuhimu wa kuenzi diplomasia: Mabalozi wa Nordic countries waahidi kuendelea kuimarisha mahusiano na Tanzania

    Ni jambo jema kuona bado kuna tumaini toka kwa wadau muhimu wa maendeleo na rafiki kwa Tanzania kutaka kuendelea kushirikiana na taifa letu la Tanzania kipindi ambacho kumekuwa na ukosoaji mkubwa wa mataifa ya magharibi na mashirika yake, na ingalipo changamoto na janga la corona ambalo...
  9. S

    Sekta ya Habari Tanzania Vs Usalama wa Taifa

    Kiukweli kabisa kama sekta ya Habari nchini ingetumika kiufasaa kama mataifa mengine yaliyoendelea katika sekta ya habari ingelisaidia taifa katika maswala mazima ya Usalama wa Taifa, mwandishi wa habari aliyekwiva ni zaidi ya Usalama wa Taifa, tuachane na hawa waandishi wa kupokea bahasha kuna...
  10. Waziri Ummy: CoronaVirus bado ipo, tuendelee kuchukua tahadhari

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa Corona nchini waliobaki kwenye vituo vya matibabu imepungua mno. Akizungumza Leo mkoani Tanga wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mkoani humo amesema: “Tanga hatuna mgonjwa wa Corona, Amana wamebaki 3, Mloganzila 1, Kibaha 0...
  11. Kwanini Tanzania tunapata watalii wachache kulinganisha na vivutio tulivyonavyo?

    Tanzania ni moja ya nchi chache Duniani zenye vivutia vingi sana vya utalii. Kwa Afrika ni nchi chache sana tunashindana nazo kwenye vivutio vya utalii. Kwa mfano mbuga za wanyama maarufu Duniani ya Kwanza ni serengeti ikifuatiwa kwa karibu sana na Kruger National Park ya Afrika Kusini...
  12. TANZIA Bibi Susana Benjamin Mmary, binadamu aliyeishi miaka mingi zaidi Duniani kutokea Tanzania

    Sherehe ya mwisho ya bibi Susana Benjamin Mmary imefanyika nyumbani kwake huko Old Moshi Kidia, baada ya BWANA kumuita akiwa na umri wa miaka 131. Ni bahati mbaya kwamba taasisi zinazotunza rekodi za dunia haziangalii sana Afrika, lakini kabla hajafariki alipaswa kuwa ndiye mwanadamu mwenye umri...
  13. Q

    Polisi wa Jimbo la Florida US wawapigia magoti waandamanaji, Polisi Tanzania ina la kujifunza

    Police wa Jimbo la Florida nchini US wameweka silaha zao chini na wakapiga magoti mbele ya waandamanaji kuwaomba msamaha, wamekubali kubeba lawama kwa kifo cha Floyd. Humanity restored.
  14. Kisa cha George Floyd vs Siasa za upinzani Tanzania awamu ya tano

    Habari wakuu, Huku Marekani na ulimwengu ukiwa na taharuki kufuatia kifo cha mmarekani mweusi aliyeuawa na polisi, binafsi nimejaribu kulinganisha/kuhusishanisha hili tukio na namna serikali yetu inavyokabiliana na siasa za upinzani kama ifuatavyo: 1. Katazo la kufanya siasa/goti shingoni...
  15. M

    Top Ten makabila yenye wazungumzaji wengi Tanzania

    Huu ni utafiti(usiokua rasmi) juu ya uwingi wa wazungumzaji wa makabila yaani wale ambao kiasili ni wenyeji wa kabila husika pamoja na wale ambao wamejifunza makabila husika kutokana na mwingiliano wa shughuli mbalimbali za kimaisha. 1. WASUKUMA -Idadi yao inakadiriwa kuwa zaidi ya milioni 10...
  16. Je, ni kweli Jeshi la Marekani lina tafiti zinazoendelea Tanzania?

    Nimepewa taarifa na insider/friend in the US Army kwamba Jeshi la Marekani lina utafiti unaoendelea Tanzania chini ya mwavuli wa HIV na Malaria. Nimepewa mpaka na link, I have read it,ni kweli Jeshi la Marekani lina utafiti unao endelea Tanzania.Read the following.Nime-copy na ku-paste...
  17. E

    Kosa kubwa lililofanywa na Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania 'CHADEMA' na hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kukirudisha Chama

    Wapendwa wana JF, Nadiriki kuandika uzi huu hapa nikiamini wataalam wa mambo ya SIASA wapo katika jukwaa pendwa la JF. Mada yangu ni kuangazia makosa yaliyofanyika mpaka chama cha demokrasia na maendereo chadema kikafikia hatua hii mbaya kilipo kwa sasa. Hili halina ubishi kuwa CHADEMA kina...
  18. Matajiri wa asili ya Tanzania

    JF najuwa kuna watu mnauwezo wa kufikiria sana. Poleni na majukumu yote. Poleni kwa wote mnao pitia kipindi kigumu cha maisha na changamoto za kiafya mungu awepe wepesi. MADA KUU. Hivi kwa nini matajiri wengi asilia yao sio watanzania , Top 10 ya matajiri Tanzania wapo wawili tu,wengine hao...
  19. Tanzania humiliated by Bill Clinton

    The visits to Africa by the then US President Bill Clinton in 1998 and 2000, and the bad taste in the mouths of many left here in East Africa by Bill Clinton's visit to Tanzania of the year 2000: Bill Clinton made two high profile visits to Africa as US President i.e. in 1998 and 2000. Kenya...
  20. P

    Historia kuandikwa leo Tanzania: Yanga na Laliga kusaini mkataba wa mchakato wa mabadiliko wa mfumo wa klabu

    WanaJF, Leo kuanzia saa moja usiku nchi itazizima kwa kufanyika tukio kubwa la kihistoria hapa nchini wakati mabingwa kwa kihistoria nchini, Yanga na kampuni ya Laliga ya Spain watakapokuwa wanaingia mkataba wa kuanza kwa mchakato wa mabadiliko ya mfum wa uendeshaji wa timu ya Yanga Mchakato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…