tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mkuu wa Vituo vya Udhibiti wa Magonjwa Afrika: Tunatumaini Tanzania itashirikiana nasi na kutoa takwimu mpya za COVID-19

    Mkuu wa Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika anasema "tunaendelea kubaki na matumaini" kwamba Tanzania itashirikiana kwa kutoa takwimu zake za COVID-19 hata kama Rais wa nchi hiyo alishatangaza ushindi dhidi janga hilo. John Nkengasong anasema "wanaelewa hali hatarishi na...
  2. Teknolojia ya kidijitali inavyoleta mapinduzi ya kiuchumi Tanzania

    Katika miaka ya karibuni ukuaji wa teknolojia ya kidijitali umezipa nchi nyingi faida mbalimbali za kibunifu ambazo zinazochochea maendeleo ya watu na ukuaji wa uchumi. Moja ya teknolojia hizo bunifu ni huduma za afya kidijitali (m-health). Katika nchi nyingi huduma hii imekuwa muhimu ikisaidia...
  3. Baada ya tamko lingine la Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania; Je, ni wakati muafaka kwa Serikali kutathimini upya mahusiano yake na taifa hilo?

    Tarehe 11/06/2020 Ubalozi wa Marekani umetoa tamko lingine linaloelezea ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 nchini Tanzania, na kuwashauri raia wake kukaa ndani na kuachana na mizunguko isiyo ya lazima. Taarifa hii inafuatia tahadhari mbali mbali ambazo imekuwa ikizitoa tangu ugonjwa...
  4. Serikali yazindua mwongozo wa Taifa katika kuendesha Shughuli za Utalii nchini wakati huu wa janga la Corona

    Serikali imezindua rasmi mwongozo wa uendeshaji wa Shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la Corona na kuwataka wadau sekta hiyo kuzingatia matakwa yaliyo katika mwongozo huo ili kulinda usalama wa Watanzania na watalii wanaowasili nchini kutembelea vivutio vilivyopo. Akizindua...
  5. Rais Magufuli: DC na DED wa Dodoma Muoe

    Dodoma ndio kila kitu, kwahiyo wewe Mkurugenzi (Kunambi), ni Mkurugenzi wa Jiji la Makao Makuu hata kama ni mdogo, ila utafute Mwanamke uoe, kwani hawapo Wanawake wanaotaka kuolewa na Mkugenzi jamani!?, nimekutangazia uanze kutafuta ndoa, DED unajipikia wakati Wagogo wapo wengi”-JPM “Mkuu wa...
  6. Tanzania ilishindwaje kunusa ugonjwa wa Nkurunziza na familia yake na kumsaidia? Sasa tuichunge hali ya kiusalama ya Burundi mpaka mteule aapishwe

    Burundi na Nkurunziza ni marafiki zetu na ambao tangu enzi ya JK tumehakikisha Burundi imekuwa salama. Juhudi za kuifanya Burundi kuwa salama zilimfanya PK asimpende JK, na Burundi imekuwa nasi bega kwa bega. Wakati huo huo PK akiwa na chuki kubwa kwa Nkurunzinza Ilipokuja awamu mpya, urafiki...
  7. Siasa zetu na Hatma ya Tanzania: "Tungewawahi mapema Kuwanyonga"

    Tanzania ni nchi ambayo pengine inadhani ipo salama sana au ya kipekee kuliko nchi nyingine. Katika miaka yetu yote TZ imeshindwa kujifunza toka Rwanda,Burundi,Uganda,Kenya, Somalia,Sudan,Msumbiji n.k Hakuna mtanzania anayehangaika kufahamu na kujifunza nini kilisababisha kabila moja kuuawana...
  8. Tanzania wamesamehewa deni Tena

    LDC to the core. This is now the nth time Tanzania wameshindwa kulipa deni. This is total embarrassment. ====== IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust June 10, 2020 The IMF...
  9. S

    Yagundulika kuwa Tanzania tumepiga ramli kujua kuwa hatuna tena wagonjwa wa Covid-19 nchini na kuutangazia ulimwengu hivyo

    Njia pekee ya kutoa matangazo rasmi kwamba mikoa ya Tanzania haina tena watu walioathirika na virusi vya Covid-19 ni kama tumeenda kuwauliza waganga wa kienyeji na wao ndio wakatupa huo uhakika. Haingii akilini katika karne hii ya 21 kwamba tunajua kwamba mtu anaweza kuwa na virusi vya Covid-19...
  10. IMF yaisamehe Tanzania deni la Tsh. Bilioni 33 kwa ajili ya Corona

    Kama inavyojieleza hapo ======= IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust The IMF Executive Board approved debt relief under the Catastrophe Containment and Relief Trust to provide US$14.3...
  11. Aidan Eyakuze: Tanzania kuna lockdown ya takwimu katika vita dhidi ya Corona

    Sweden imekuwa ikisemwa vibaya kwa kujaribu kufuata kinga ya kundi "Herd Immunity" katika mapamabano dhidi ya COVID-19 na kulipa gharama ya vifo vingi zaidi. Uingereza ilijaribu kufuata mlengo huu kwa kipindi kifupi na kuuacha baada ya ongezeko kubwa la idadi za vifo vilivyotegemewa pamoja na...
  12. Naomba watalaam wa pande zote Kenya na Tanzania musaidie. GDP inapatikanaje?

    Salamu wa JF. Naomba matusi yasiwepo. GDP (gross domestic product) inapatikanaje? Mpaka mashirika ya kimataifa wanatoa ripoti. Kwa upande wangu nikichukulia neno domestic product inakuwa na maana ya mazao yatokanao na uzalishaji wa ndani. Ninaomba kujua hao wataalamu wa mashirika ya kimataifa...
  13. GE2020 Tanzania inaenda kuwa nchi tofauti sana kama hii mipango itafanikiwa

    1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais 2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT. 3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais. 4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili...
  14. Kusema hakuna mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya Dkt. Magufuli ni kukosa akili

    Kuna watu wataleta nyuzi za kishamba sana eti haoni mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya miaka 5 au 10 ya Dr Magufuli. Sisemei Dr Magufuli hajafanya kazi , la hasha, Kajitahidi na kachapa kazi ila Tanzania ina watu mil 58 , naamini kuna watu Zaidi ya mil 1 wanaoweza kufanya vizuri kwenye kiti...
  15. Ligi ya Mabingwa Afrika isipokamilika, Tanzania kuwakilishwa na na timu 4?

    Kuna uwezekano mkubwa, wa Ligi ya mabingwa ya Afrika pamoja na Confederation Cup kutokamilika mwaka huu kutokana na gonjwa la COVID 19, hivyo mashindano hayo ya 2019/2020 kufutwa. Wadau naomba mnifahimishe ikitokea mashindano hayo kufutwa. Je, Tanzania itawakilishwa na timu 4 msimu wa...
  16. Umoja wa Ulaya (EU) walaani tukio la kushambuliwa Mbowe jijini Dodoma

    EU WALAANI KUSHAMBULIWA KWA FREEMAN MBOWE Viongozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Tanzania watoa kauli ya Pamoja juu ya shambulio dhidi ya Freeman Mbowe "Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa upinzani katika Bunge la Tanzania Freeman Aikaeli Mbowe, ======= Joint Statement by the European Union...
  17. Zifahamu aina 4 za ubaguzi duniani

    Aina za ubaguzi duniani Ubaguzi ni hali ya mtu au kikundi cha watu kujiona ni bora zaidi na kuwachukulia wengine kama daraja la chini au kutokustahili haki fulani fulani. Kuna aina 4 za ubaguzi duniani kama zinavyofafanuliwa hapa chini: Ubaguzi wa rangi. Mfano ni ule uliopo USA dhidi ya...
  18. Driver at Tanzania Social Action Fund (TASAF) - 2 Posts

    Tanzania Social Action Fund (TASAF) is currently implementing Productive Social Safety Net Program which aims at protecting the vulnerable poor households from severest consequences of poverty by implementing interventions that will lead to increased household incomes and opportunities while...
  19. Halotel Tanzania jaribuni kuwa na aibu walau. Mnaibia wateja waziwazi kabisa!

    Masikitiko yangu kwa hawa Halotel kwa wanalowafanyia wateja wao sio jambo jema hata kidogo. Nashindwa kuamini mtandao unashindwa kudownload hata app ya 12mb inabaki kuload tu ila cha kushangaza zaidi nashuhudia data zikikimbia bila kuelewa wapi zinaenda na wakati task ndogo kama ya kudownload...
  20. Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

    Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu. ''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…