tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Ushauri: Serikali ya Tanzania ichimbe mafuta yake kabla teknolojia ya kutumia maji, solar na gesi kweye magari hazijafika

    Nina hofu kuwa mafuta yatashuka thamani siku si nyingi hivyo tungechangamka kuchimba mafuta yanayosemekana yamegunduliwa katika bahari ya Hindi. Mfano baadhi ya nchi jirani wameanza kutumia gesi katika magari yao hivyo ni hatari kwa solo la mafuta. Uganda wanaanza kuchimba siku si nyingi japo...
  2. GE2020 Lissu atua Ujerumani katika maandalizi ya mwisho kutua Tanzania

    Akutana na kuteta na Christian Kattner ambaye ni Katibu Mkuu wa IDU
  3. Kikwete alikuwa genius wa uchumi, Magufuli itabidi akajifunze kwake kama kweli ana nia ya kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye reli

    Huu ni muendelezo wa nyuzi zangu za kiuchumi ambazo ni matokeo ya kutafiti taarifa mbalimbali za serikali kwenye masuala ya fedha na uchumi. Msukumo wa kuamua kufanya hizi tafiti, unatokana haswa na kuchukizwa na yale majigambo ya wanasiasa na watu wasioelewa mambo, ya eti uchumi kwenye awamu...
  4. Airtel Tanzania slashes data prices by 85%

    ''Airtel Tanzania has announced an 85 percent drop in its mobile data price from TZS 40 per megabyte. MD George Mathen, said customers' daily data patterns have increased recently and it is introducing the new data rate in response to this demand.'' ..... ..... .... ..... Mambo ya kulialia oh...
  5. Unaionaje Tanzania baada ya Uchaguzi wa mwaka 2020?

    Hivi baada ya Uchaguzi wa mwaka huu unadhani Tanzania nchi tunayoishi na kuitakia mema itakuwaje? 1. Uhuru wa kuabudu utakuwaje? 2. Uhuru wa Mahakama utakuwaje 3. Uhuru wa kutoa mawazo utakuwaje 4. Uhuru wa vyama vingine vya siasa zaidi ya CCM kufanya siasa utakuwaje 5. Uhuru wa kupata...
  6. Tanzania ‘to register fastest economic growth in East Africa

    Credit: Tanzania ‘to register fastest economic growth in East Africa ''Dar es Salaam. Tanzania’s economy is forecast to grow at 5.2 percent this year, while six Eastern African countries’ economies are projected to plunge into recession, blaming the trend on the Covid-19 pandemic, a new report...
  7. Kukua na kusambaratishwa kwa Chama Cha Black panthers na FBI, Pia wafahamu baadhi yao waliokimbilia Tanzania

    ACHANA NA BLACK PANTHER WALE PAKA Au movie ya Wakanda Leo nakupa historia/ machache kuhusu chama cha Black Panthers.... walioishi kwa falsafa za Malcom X na kusambaratishwa kwa Hila za FBI Kama unaikumbuka historia ya tupac na Mama yake Afeni Shakur Afeni alikua mwanajumuia wa Black Panther...
  8. Why is Tanzania still a borrowing country under IDA?

    Salaam, Recently, there has been a discussion re the World Bank's new country classifications by income level. The classification indicated that Tanzania's economy has changed from being low to lower middle income level. The change has sparked discussions, which have largely based on crediting...
  9. Comments za mitandaoni: Comment gani ilikufurahisha zaidi?

    Habari wanna JF. Mtu anapopost video, picha au andiko lolote mitandaoni lazima apokee comments tofauti tofauti, Kuna zingine nzuri, zingine mbaya na zingine za kufurahisha. Ni comment gani ilikufurahisha zaidi?
  10. On the eve of covid19 travel restrictions, 2 tour companies in Germany filed an injuction to lift unfounded travel warnings against Tanzania

    German Travel Warnings for Tanzania, Seychelles, Mauritius, and Namibia challenged Juergen T Steinmetz July 11, 2020 06:45 In Germany, two tour operators specialists in travel to Africa have filed a legal action at the Berlin Administrative Court for a temporary injunction to have the German...
  11. Maendeleo ya teknolojia ya kidijitali na umuhimu wake kwenye kukuza uchumi Tanzania

    Duniani kote suala la matumizi ya teknolojia ya kidijitali linakua kwa kasi kubwa sana na kwa kiasi fulani kunachagizwa na matumizi ya intaneti/data kupitia simu za mkononi. Kwa mujibu wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Biashara na Maendeleo, matumizi ya data duniani kote yanatarajiwa...
  12. J

    Politics is a game of dynamics, Urais, Ubunge, Udiwani turufu ni CCM na TLP Tu, Siasa za Itikadi Tanzania hazipo tena! kikubwa mkono uende kinywani tu

    Wanasiasa hasa Wa Upinzani naomba mpitie huu Uzi kwa makini sana, MADA :"Politics is a game of dynamics,Urais,Ubunge,Udiwani turufu ni CCM na TLP Tu,Siasa za Itikadi Tanzania hazipo tena! kikubwa mkono uende kinywani tu" Jana nimefuatalia kwa kina Mkutano Mkuu Maalum Wa CCM uliofabyika Jijini...
  13. Usalama wa Tundu Lissu ataporejea Tanzania

    Habari za wakati huu wanajukwaa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni takriban zaidi ya mwaka moja tangu ndugu yetu mtanzania mwenzetu kusema anataka kurejea nyumbani. Lakini mhusika Mara nyingi kasema anahitaji ahakikishiwe ulinzi pindi atakapokanyaga ardhi yetu hi ambayo Kuna wahalifu...
  14. GE2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

    UPDATES 13:15hrs: Matokeo ya Kura za ya wanachama watatu waliokuwa wakiomba ridhaa ya kuwania urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM. 1. Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi -kura 129 (78.65%) 2. Dkt Khalid Salim Mohamed -kura 19 (11.58%) 3. Shamsi Vuai Nahodha -kura 16 (9.75%). Zanzibar 2020 - Wasifu...
  15. Tanzania to register fastest economic growth in East Africa

    source: Tanzania ‘to register fastest economic growth in East Africa
  16. Kasi ya ukuaji uchumi wa Tanzania kufunika nchi zote Mashariki mwa Afrika

    Uchumi wa Tanzania unategemea kukua kwa asilimia 5.2 mwaka huu wakati ambapo nchi nyingine sita za Mashariki mwa Bara la Afrika zikitarajia kuporomoka kiuchumi kwa sababu ya athari za janga la corona. Kiwango hicho cha ukuaji wa uchumi wa Tanzania ni zaidi ya nchi zote za Mashariki mwa Bara la...
  17. Receptionist II at Tanzania Forest Services (TFS)

    Post: Receptionist II – 1 post Post Category(s): HR & Administration Employer: Tanzania Forest Services (TFS) Agency Application Timeline: 2020-07-09 - 2020-07-22 Job Summary: N/A Duties and responsibilities He/she will be responsible for providing support services with the agency To operate...
  18. Natafuta tovuti ya bei ya vyakula Tanzania na Afrika Mashariki

    Habari za leo wanajamvi, Mimi mwenzenu natafuta tovuti inayotoa taarifa ya bei ya vyakula nchini Tanzania (hasa nafaka) na pia Afrika ya Mashariki na Kati. Msaada tafadhali. Nawatakia siku njema.
  19. GE2020 TLP kuwa chama kikuu cha Upinzani maana yake nini? Je, ni mifumo ya nchi haitaki Upinzani wa kukosoa na kuamua kutengeneza upinzani wa kuchonga?

    WanaJF salaam, Nimekuwa kimya kidogo kuwapatia ABC za 2020; hii ni kutokana na majukumu mengi ya Kitaifa. Najua mnajua kinachoendelea nchini hasa kwa upande wa Upinzani serious ambao ni Chadema na ACT-Wazalendo. Ukweli ni kwamba dola halifurahishwi na namna Upinzani Tanzania unavyoendeshwa...
  20. Kenya vs Tanzania vs Ethiopia statistics

    This video compares some of the countries in Eastern Africa using their GDP Nominal, GDP Per Capita and their total Population. This video is based on data gotten from World bank, Imf and Wikipedia from 1960 to 2020.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…