tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. People from USA & Europe are a big hope to many families in Tanzania when you visit, so welcome in Tanzania and to our families

    Sometimes when I see different race I feel happy especially people from USA and Europe because they are so peace people I know, I say this following saw one Either a European or USA woman carry an African baby on mean bus with her own hands while her mother of that daughter sitting beside them...
  2. Ili Kupambana na 'Umasikini' Serikali ya Tanzania haiwezi 'Kutulazimisha' Watanzania wote tuutumie 'Ubini' wa 'Laizer' ambao una 'Nyota' ya Utajiri?

    Mshindi wa Jackpot ya SportPesa, Lilian Ngitoria Laizer, amekabidhiwa kitita chake kiasi cha Sh. 267,800,060 na Kampuni ya Michezo na Burudani ya SportPesa Tanzania, huku akieleza mipango yake ni kufungua biashara kubwa. Nipashe Kuna Mtu aliwahi kuniambia huko zamani kuwa Pesa, Elimu na...
  3. Botswana yapanga mipango ya kuanza kutumia lugha ya Kiswahili Shuleni

    Botswana aims to introduce Swahili language in the southern African country's local schools, a senior official said Tuesday. At a language teaching workshop in Francistown, Botswana's second-largest city, Fidelis Molao, Botswana's Minister of Basic Education, said that Swahili language will be...
  4. GE2020 Hizi si dalili njema kuelekea Oktoba 28

    Wasalaam, Kitendo cha tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoka haraka kukemea makusudio ya vyama vya upinzani kushirikiana katika uchaguzi huu ni cha kibaguzi hakikubaliki. Sababu iliotolewa na NEC ni dhaifu na ni dhahiri ni kuitetea CCM, eti wananchi watachanganyikiwa siku ya uchaguzi na eti...
  5. GE2020 Kampeni za Tanzania: Badala ya Mgombea kuulizwa maswali, yeye ndiye anawauliza maswali Wananchi

    Ni bahati mbaya mikutano ya CHADEMA na ACT wanaoulizwa maswali ni Wananchi waliokuja kuwasikiliza badala ya wananchi kuwauliza wao maswali. Kwa kuwa siku bado ningefurahi kama kuna atakayewauliza wagombea wakuu wa CHADEMA na ACT haya maswali yangu. Au tufanye mdahalo nao? Maswali yangu ni haya...
  6. J

    GE2020 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

    Naibu wa msajili wa vyama vya siasa Dkt. Nyahoza amesema vyama vya siasa vinavyojipanga kushirikiana vimeshachelewa. Nyahoza amesema muda uliowekwa kisheria kwa vyama vyenye nia ya kushirikiana kuingia mkataba wa kisheria umeshapita hivyo hakuna ushirikiano utakaoruhusiwa kwa sasa. ======...
  7. Je, wajua gharama za upimaji wa vinasaba (DNA) nchini Tanzania?

    Gharama za upimaji wa vinasaba kwa Tanzania ni shilingi laki 1 kwa sampuli ya mtu mmoja. Hii inamaanisha kuwa kwa sampuli za watu 3, yaani baba, mama na mtoto gharama itakuwa jumla ya shilingi laki 3.
  8. Vodacom, huu wema umeanza lini?

    Vodacom, huu wema umeanza lini? Leo nimeona push menu za USSD, zikiniuliza na hatimaye kuniwezesha kujitoa kwenye matumizi ya salio kulipia huduma za mtandao wa intaneti kutoka kwenye salio la kawaida. Kwa hiyo kuanzia leo, hata bando la GB likikata, salio la kawaida lililopo halitaguswa...
  9. Human Rights Watch: Freedoms in Tanzania threatened ahead of elections as authorities crack down on Opposition Parties, Rights Groups, Media

    Human Rights Watch, shirikika la kimataifa la kutetea haki za kibinadamu, limeiangazia Tz kuhusu ukiukwaji wa haki za kibinadamu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba. HRW inadai kwamba kwa muda wa miezi mitatu iliyopita wanachama wa upinzani 17 na watanzania wengine waliokashifu serikali...
  10. Kukua kwa Teknolojia ya Mawasiliano kunavyochangia maendeleo ya kijamii na kiuchumi Tanzania

    Na Bindu Hassan, UDBS Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Zainab Chaula wiki hii ameeleza namna sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) inavyoweza kuchangia zaidi katika ukuaji wa sekta za kijamii na kiuchumi nchini Tanzania. Dkt. Chaula ameeleza kuwa...
  11. Baada ya uchaguzi kuna dhambi gani kuunda Serikali ya Umoja Tanzania?

    Mpaka sasa CCM na CHADEMA vina wafuasi wengi sana kwenye mikutano yao ya kampeni. Kama wingi wa watu ni mojawapo ya viashiria vya kuungwa mkono na watu wengi basi ccm na chadema vinaungwa mkono wa watu wengi. Nionavyo mimi hamasa ni kubwa sana kwa vyama vyote, hivyo mtu atajidanganya mwenyewe...
  12. GE2020 Ni kwanini 'Ajira' za kuwa Mshauri Mkuu wa Rais/Kampeni Meneja wa Mgombea Urais nchini Tanzania huwa hazitangazwi wengine tuziombe?

    "Ni mara chache sana kukuta watu wamefurika hivi tena asubuhi saa 2, wenzetu kule wanajua kuchakata, wanatumia picha za miaka ya zamani waonekane wamejaza watu kwenye kampeni zao, waje wajionee kwenye kampeni za CCM watu walivyofurika, hongereni sana." - Dkt. Magufuli, Igalula. Kwa haya...
  13. At TCAA courtesy, KQ resumes flight to Tanzania

    National carrier Kenya Airways (KQ) has resumed flights to Tanzania following the lifting of a ban on local aviation operators. The carrier says it will operate two daily flights to Tanzania’s capital Dar es Salaam and three weekly flights to Zanzibar...
  14. Hivi kwa Tanzania ni lazima ukiwa Mwanasiasa pia uwe na uwezo mkubwa wa kuwa Mnafiki na Muongo?

    Kauli ya mwaka 2018 "Natoa Wito kwa Wakuu wote wa Mikoa hadi wale wa Wilaya kuhakikisha kuwa kila Mfanyabiashara mdogo mdogo wa Kitanzania (Wamachinga) awe na Kitambulisho ndipo aweze Kufanya Biashara yake. Ole wake kwa Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ambaye nitakuta Mkoa wake haujalitimiza hili...
  15. GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
  16. Ni 'Mpuuzi' gani 'alimdanganya' Mzee Stephen Wassira kuwa Tundu Lissu anataka kuwa Rais wa Tanzania kwakuwa tu alipigwa Risasi Dodoma?

    "Kuna watu wanagombea urais nimewasikia mwingine anasema ameonewa sana 'nimepigwa risasi', hiyo kupigwa risasi ni jambo baya lakini sio kila anayepigwa risasi anafaa kuwa rais, vinginevyo watu wote wangetamani kupigwa risasi ili wawe marais." - Stephen Wasira. globalpublishers Nyie Watoto wa...
  17. GE2020 Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

    Wanabodi, Kati ya vyombo vyote vya habari duniani, chombo kikuu kabisa cha kuaminika, kwa sisi Anglophone Africa ni our colonial master, The British na shirika lao la habari la kibeberu la BBC London, na kwa Francophone Africa ni France na RFI na F24 TV. Sasa inapotokea chombo kama BBC London...
  18. GE2020 Going into the 2020 Tanzania polls: What are the stakes?

    Tanzanian citizens will go to the polls on October 28, 2020, to elect the President, Members of Parliament (MPs) and local Councilors. For close to five years now, Tanzania has been preparing herself for the constitutionally mandatory general elections. Hopes by Tanzania’s ruling political...
  19. GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  20. Tanzania kuna sheria kandamizi sana

    Kuna clip moja inasambaa instagram ikimwonyesha kijana mmoja mwanafunzi wa CBE akisindikizwa na askari kanzu kupanda kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la kuwa na blog bila leseni kutoka TCRA. Hizi sheria za kijinga zinapatikana Tanzania tu. Hivi CCM mbona inatulazimisha tuishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…