tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  2. GE2020 Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anasisitiza amani Tanzania

    Umoja wa Mataifa watoa wito kwa viongozi wa kisiasa na wafuasi wao kujiepusha na visa vya vurugu nchini Tanzania Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Tanzania kuhakikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 unafanyika kwa njia ya amani. Katika taarifa siku ya Jumatatu iliyotolewa kwa niaba ya Bw. Antonio...
  3. GE2020 Umoja wa Afrika watoa wito wa Uchaguzi wa Amani, wenye kujumuisha kila mmoja na wa haki nchini Tanzania

    MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika (AU), Moussa Faki Mahamat, ametoa wito wa uchaguzi wa amani, wenye kujumuisha kila mmoja na wa haki nchini Tanzania. Ametoa wito kwa washikadau wengine, Vyama vya Kisiasa na wafuasi wake kushiriki uchaguzi kwa amani na kujizuia kufanya vitendo vyovyote vya ghasia...
  4. S

    Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

    Ahead of tomorrow's election in #Tanzania, we're seeing some blocking and throttling of Twitter. #TanzaniaDecides2020 Internet shutdowns are hugely harmful, and violate basic human rights and the principles of the #OpenInternet #KeepItOn
  5. M

    GE2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata. Kuna yeyote anapata tatizo kama langu? Natumia Mtandao wa Tigo PIA SOMA = >...
  6. GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
  7. M

    Uchaguzi wa Tanzania kwa Jicho la Rohoni ni Uchaguzi wa Msimu dhidi ya Msimu

    Awali ya yote naomba kuweka interest zangu mbele, Mimi ni muumini wa mambo ya Kiroho. Ninaamini juu ya uwepo wa ulimwengu wa Kiroho. Nina amini kuwa, kabla ya mambo kuwa vile yanavyoonekana kuwa katika ulimwengu wa Kimwili, mchakato wake huwa unakuwa ulianzia Rohoni na baadaye kujidhihirisha...
  8. K

    Salary scale ya Tanzania Railways Corporation (TRC)

    Nawasalimu wanajamvi. Naomba kujuzwa anaefahamu kiwango cha salary scale hii TRCS 5 ni shilingi ngapi
  9. GE2020 Balozi wa Marekani nchini ashitushwa na kusikitishwa na matukio ya uonevu wa Vyombo vya Dola dhidi ya wananchi Zanzibar na kwingineko Tanzania

    Nchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani
  10. GE2020 Ni sawa Tanzania kuwa na idadi ya wapiga kura milioni 29 mwaka huu?

    Kuna baadhi ya watu humu JF wamekuwa wakihoji idadi ya wapiga kura kuwa milioni 29 mwaka huu na kueneza dhana potofu ya kuwepo kwa wapiga kura hewa. Si kweli hata kidogo. Idadi ya wapiga kura walioandishwa mwaka 2015 ilikuwa ni 23,161,440 (22,658247 kwa Tanzania bara na 503193 kwa Zanzibar)...
  11. GE2020 Tundu Lissu unayeota kuwa Rais wa Tanzania yetu hii, umeusikia na kuuelewa huu ujumbe?

    Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho siku ya kupiga kura hivyo kila mmoja akubali matokeo atakayoyapata kuepusha ghasia baada ya...
  12. Civil society to Tanzania: Go easy on curbs on freedom

    Civil society to Tanzania: Go easy on curbs on freedom Police monitor people celebrating an opposition candidate’s election win in Dar es Salaam. PHOTO | NMG Summary In a letter to President John Magufuli, the activists expressed concern about the decline of fundamental rights in the country...
  13. Kuelekea 28 October 2020: Marekani na China zaendelea kutunishiana misuli kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Leo ni zamu ya Wizara ya Mambo ya nje ya China na Ubalozi wa China nchini Tanzania Wamesema kuwa Marekani sio kwamba anataka uchaguzi nchi Tanzania bali anataka kuikomoa Tanzania kwa kuvunja mkataba wa uzalishaji umeme wa kampuni ya symbion. Aidha, balozi wa China nchini Tanzania amesema...
  14. TFF na Bodi ya Ligi Tanzania msitake Kutusababishia 'Kilazima' kurudia tabia zetu za Kuwapiga 'Waaumuzi' Mpirani kwani inakeraEndel

    Endeleeni tu 'Kuwanyamazia' hawa 'Waamuzi' wenu na 'Maupuuzi' yao Uwanjani kama huyu wa Leo kati ya Yanga SC na KMC ili Siku akina GENTAMYCINE wenye 'Historia' za 'Kuwakung'uta' hawa 'Waamuzi' Mipirani turejee hizi 'tabia' labda mtalizingatia. Sina tatizo na Yanga SC 'Kushinda' leo ila 'Hasira'...
  15. Ni uhuru upi wa kujieleza wanaoutaka CHADEMA?

    Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa ikiwashangaza hata waandishi wa habari wenyewe kwani hawajaona kuminywa huko kwani wamekuwa wakifanya kazi...
  16. GE2020 Chagua Dkt. Magufuli kazi ziendelee

    MAMBO YA JPM .... CHAGUA MAENDELEO, KAZI IENDELEE Na Emmanuel J. Shilatu Ni miaka 5 sasa tangu Dk. John Pombe Joseph Magufuli ale kiapo mnamo Novemba 5, 2015 cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeyaona haya yakitokea na kufanyika;- 1. Mapambano ya wazi wazi ya Serikali ya Rais...
  17. Sekta ya mawasiliano ya simu ilivyo nguzo muhimu kuleta mabadiliko ya kiuchumi Tanzania

    Dunia inaendelea kushuhudia maabadiliko makubwa ya kiteknolojia sehemu mbali mbali kwa kasi ya ajabu. Sehemu kubwa ya matunda ya teknolojia mfano matumizi ya simu mkononi ambayo yapo sasa, yasingeweza hata kufikirika mwanzoni mwa karne ya 21. Ukweli usiopingika ni kwamba, kadiri maendeleo ya...
  18. IGP Sirro: Ikicheza Simba/Yanga na Polisi Tanzania, shabikia Polisi Tanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema, amejisikia vibaya Yanga Sc walivyoifunga timu ya Usalama kwenye mchezo wa hivi karibuni Amesema Jeshi la Polisi ndio wanaolinda usalama wa nchi sio Yanga Sc, hivyo ikitokea Usalama wamecheza na timu yoyote raia inapaswa washabikie Polisi...
  19. J

    GE2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

    Askofu Gamanywa amesema kuna watu wanamzushia kuwa yeye ni usalama wa taifa ila kiukweli yeye ni " usalama wa mbinguni" Anasema yeye huwa habwabwaji kwa sababu yuko well informed na ndio sababu anawataka wampigie kura Rais Magufuli kwa sababu ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Askofu Gamanywa...
  20. M

    GE2020 As October 28, 2020 approaches let us not forget, Fellow countrymen when you see wrong or inequality or injustice, speak out, because Tanzania is your

    Fellow countrymen when you see wrong or inequality or injustice, speak out, because Tanzania is your country. This is your democracy and so make it, protect it and pass it on. Democracy is not a spectator sport, it's a participatory event. If we don't participate in it, it ceases to be a...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…