tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    Tanzania ni “kichwa cha mwendawazimu”, kila mwenyekiti wa CCM Taifa hujifunzia hapo!

    Nikimkumbuka Lijuakali
  2. Tanzania kutokuwa na Corona katika taarifa za dunia kumewachengua wazungu

    TANZANIA KUTOKUWA NA CORONA KATIKA TAARIFA ZA JANA ZA DUNIA KUMEWACHENGUA WAZUNGU. Leo 18:30hrs 16/11/2020 Leo nilizungumza na Wachina waliokatazwa na nchi yao ya China kurudi kwao China kwa sababu huu ni msimu wa baridi China na kama mtakumbuka mwezi huu ndio kicorona kilianza uko China...
  3. Ni heri Tanzania ingeendelea kutawaliwa na Mkoloni ili tupembuke akili

    Amani iwe nanyi. Wakati Joe Biden akiwa ameshinda kiti cha Urais wa Marekani akiwa na miaka 78 Makamu wake mtarajiwa Bi Kamala Harris alitoa hotuba nzuri iliyosisimua watu wengi sana. Kamala akiwa binti aliyezaliwa na wazazi wote wahamiaji waliotoka nje ya Marekani yaani Baba mwenye asili ya...
  4. Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
  5. T

    Gazeti la Mzalendo: Prof. Mbwiliza, gwiji wa historia ya siasa amlilia Rawlings lakini ameshindwa kulilia demokraisia, haki na maendeleo ya Watanzania

    Ninajua wasifu wa Prof. Joseph Mbwiliza kwa kina. Ni Muha wa Kasulu huko Kigoma na ni mmoja wa maprofesa wa mwanzo kabisa wa kutoka maeneo ya ziwa Tanganyika. Mtoto wa mkulima aliyepata elimu yake huko Marekani. Alishika madaraka makubwa serikalini na kwenye siasa. Amewahi kuwa Mkuu wa Chuo cha...
  6. Mch. Josephat Gwajima: Maeneo mengine hatukuhitaji kupiga kura ili kushinda bali kutaja jina la John P. Magufuli tu, kura zilipatikana

    Hata hatujafika mbali sana, tayari wanaanza kusema waziwazi wenyewe mbinu haramu na za wizi wa kura walizotumia kushinda uchaguzi huu. Katika video hii inayomwonesha mbunge mpya wa CCM - Jimbo la Kawe - DSM, Mch. Josephat Gwajima kuanzia dakika ya 8:50 ukitazama na kumsikiliza bila kujua ana...
  7. Nchi za Ulaya, Marekani na Asia; heshimuni matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    WanaJF, Salaam! Nimeandika machache tu kuhusu nchi zenye rekodi ya ukosoaji na ufuatiliaji wa masuala ya uchaguzi na matokeo yake barani Africa ikiwemo Tanzania. Jumuiya za kimataifa zinapaswa kuheshimu matokeo ya uchaguzi mkuu uliowaweka wagombea wengi wa CCM madarakani kwa kuwa utashi wa...
  8. Kuelekea mabadiliko ya kweli: Naomba kulifahamu Jeshi la Polisi Tanzania

    Habari za saizi, Wanajukwaa naombeni mnijulishe mambo kadhaa juu ya @tanpoltz kwa kulinganisha na majeshi mengne ya Polisi huko katika dunia ya kwanza Tuanze na mambo yafuatayo: 1. Nini maana ya jeshi la Polisi? 2. Yapi majukum ya Polisi? 3. Upi ni wajibu wa Polisi? 4. Mgawanyo wa majukumu au...
  9. Tuijadili dhana ya 'Maslahi ya Taifa' tukitumia mifano ya Tanzania kama rejeo

    Kwa miaka mingi taifa kubwa la Marekani, linaposimama kutoa misimamo yake juu ya mijadala mbalimbali hasa ya nje ya nchi yao, wamekuwa wanaongelea jinsi mijadala hiyo inavyohusu 'maslahi ya taifa' au, 'national interest' ya taifa lao. Hii ni dhana pana ambayo wengi huwa wanashindwa kuielewa...
  10. Croatia Kolinda Grabar-Kitarović: Hakuna namna tunaweza kumualika Rais huyu mrembo akaja kutung'arishia vivutio vyetu?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwani hakuna namna tunaweza kumualika na kumshawishi Rais huyu mrembo na mchangamfu (Kolinda Grabar-Kitarović) kutoka katika nchi ndogo ya Croatia akaja kutung'arishia vivutio vya Tanzania yetu...
  11. Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

    Amani iwe nanyi! Sasa ni rasmi, ICC imeitaarifu dunia kuhusu kupokea rasmi maombi ya uchunguzi dhidi ya Magufuli na serikali ya Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu na makosa dhidi ya binadamu! Maombi haya yametumwa na ACT Wazalendo, Chama cha siasa, Maria Sarungi, mwanaharakati huku...
  12. I

    ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    The International Criminal Court (ICC) in The Hague, has confirmed receipt of two formal letters alleging human rights violations by the Tanzania government in the wake of the October 28 election and its aftermath. The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), one of the main...
  13. Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

    Hakuna ubishi kabisa watu wengi wanaoneza uongo juu ya Taifa letu ni watumiaji wa mtandao wa Twitter. Huko kuna watu wabaya sana ambao nafikiri sababu wengi wao wanaishi nje ya nchi basi muda wote ni kueneza propaganda za uongo na kutukana viongozi. Mbona China waliifungia baada ya kuona...
  14. S

    Lini tutakuwa Nchi moja, Serikali Moja? Jamhuri ya Tanzania isiwepo kabisa ile Muungano

    Tunahangaika sana mara kero mara mauaji mara kulazimishana mtafaruku mkubwa sana ,nahisi ni bora sasa iamuliwe tu na Wabunge tunao wengi sana wakutosha na ziada,tuondoe lile utata Jamhuri ya Muungano liwepo jina zuri la Jamhuri ya Watu wa Tanzania. Tunaondoa Baraza la Wawakilishi, tunaondoa...
  15. S

    Tanzania bado japo sio mbali tena

    Kuhusu maandamano na uwajibikaji wa wananchi katika kuiwajibisha Serikali au kupinga jambo wakiwa kama waTanzania kwa ujumla wao,hizi za kina Chadema na ACT Wazalendo na wengine kama wapo ni mwanzo ulio mbali na hali halisi inavyokuwa, Tanzania hatujakumbwa na baa la njaa ya kufa mtu, Tanzania...
  16. M

    Ndairagije wewe ni genuius Tanzania haijawahi kucheza mpira Na giants yeyote yule kwa kujiamini tena ugenini

    Form is a temporal class is permanent. Mpira wanaocheza timu ya taifa kipindi hiki ni mzuri sana mapungufu ni kidogo tu tulikuwa tunalaumu washambuliaji kuto kufunga lakin jana tatizo limeonekana viungo ndio tatizo la taifa letu Back line ya timu umeijenga vizuri sana kwa kuwaweka nondo na...
  17. Changamoto kwenye mfumo wa ajira Tanzania kati ya Medical Laboratory Personel na Biotechnology and Laboratory Sciencies personel

    Naomba kuwasilisha uzi huu kwa mfumo wa maswali kwa wadau juu ya sakata hili; 1) Je, sehemu pakufanyia kazi ni tofauti? 2) Kwanini hospital nyingi zinakataa kuwapokea watu biotechnology and laboratory sciencies. 3) Je, leseni za watu wa biotechnology and laboratory sciencies zinapatikana...
  18. "Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

    According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021. Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa...
  19. Media za Tanzania zinaweza kufa kipindi hiki cha miaka mitano ya CCM

    Nazipa pole media za Tanzania hasa zile zisizopokea ruzuku ya serikali zinaweza kufa kibudu. Sababu hivi nani atanunua magazeti ya kusifu na kuabudu ayasome sasa hivi. Kama mlipigwa pini mitano iliyopita na mkaona sawa mkidhani adui yenu ni Lissu basi andikeni mmeumia maana ukosoaji kwasasa...
  20. The Shift of Political Diplomacy to Economic and Security Diplomacy

    Esteemed Great Thinkers There is fast shift of the political diplomacy to economic and security diplomacy in teh current era that Tanzania should not grant a room to be aggressively superseded and call it a junk for fear to be blamed. The country has to vigorously engage in strategic economic...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…