tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. TANGAZA UTALII TANZANIA: ATCL na TANAPA wana nini cha kuwapa wanafunzi 10 (bora) waliofanya vizuri Darasa la Saba 2020?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Wiki moja baada ya kutangazwa matokeo, shirika la ndege la ATCL pamoja na mamlaka ya hifadhi ya TANAPA ina nini cha kuwapa wanafunzi 10 bora (waliofanya vizuri) katika mitihani ya darasa la saba kwa mwaka...
  2. Msimamo wa Tanzania kuhusu COVID - 19 washabihiana na misimamo ya sasa ya wanasayansi wengi duniani

    Rais wetu aliyajua haya mapema. Hebu msikilize Prof. Sucharit Bhakdi anachokisema. He is a distinguished professor of Microbiology and Infectious Diseases.
  3. M

    Madudu yanayofanywa na uongozi wa riadha Tanzania

    Kwanza niwape pole kwa mnayoyapitia tangu mwaka 2016 baada ya kuingia uongozi mpya kwenye Shirikisho la Riadha. Ninafahamu walio wengi hawatafahamu nini kinachoendelea ndani ya Riadha Tanzania kwani wengi wamejikita kwenye michezo mingine. Ni hivi, tangu aingie madarakani Rais wa Riadha...
  4. Tanzania ifanye nini kuvuna faida za Huduma ya Afya kwa njia ya mtandao?

    Katika miaka ya hivi karibuni, mapinduzi ya teknolojia za kidijitali yamekuwa mengi. Hii imezipa nchi nyingi faida bunifu za kupambana na changamoto mbalimbali.Mfano wa faida hizo ni huduma za afya kwa njia ya mtandao (m-health). Kwa watoa huduma za afya wengi, m-health imeleta njia mpya za...
  5. T

    Mungu likumbuke Taifa la Tanzania wakumbuke Watanzania wanyonge kwa matajiri

    Mungu tunatubu kama kuna mahali tumekukosea sisi watanzania au tumewakosea wazee wetu waliokwisha tangulia mbele ya haki. Mungu usiposhuka nakuliongoza Taifa hili miaka mitano tena hatujuwi Nani atatuongoza. Mungu unajuwa yalio sirini na yalio sio yasirini. Funua ya sirini uliponye Taifa funua...
  6. Bahati nasibu ya kuhamia Marekani, Tanzania tulishafunguliwa na Marekani?

    Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S. Naomba kujua. kuna gharama zinazotumika unapokuwa unaaply Je valid passport inahitajika? Na...
  7. Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

    Wakuu mnamkumbuka bwana mdogo Rashid Charles Mberesero, Mpare, aliyekuwa moja wa masterminder wa shambulio la Garisa University na kuua 148, amejinyonga Gerezani leo Mapambano mema na kaburi na Je, Sheria inasemaje? Atarudishwa Upareni na Seriakli ya Kenya? --- One of the three people who...
  8. Car4Sale Nunua gari ambayo hujawahi kuona Tanzania

    Toyota Landcruiser (Unique car) Make TOYOTA Model FJ Cruiser Engine size (cc) 4000 Fuel Petrol Color Silver 70,000,000
  9. Tanzania kuipita Kenya kiuchumi

    Professor of wa chuo maarufu nchini Kenya katika mahojiano na kituo cha television cha Citizen amesema baada ya miradi ya Standard Gauge Train na Mwalimu Nyerere Hydro Power Project vikikamilika uchumi wa Tanzania utapanda na kuzidi uchumi wa Kenya.
  10. Q

    Dkt. Bashiru Ally awakaribisha ndani ya CCM Halima Mdee na wenzake

    Dkt. Bashiru ametoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano wa Kamati za Jumuiya za Chama hicho uliofanyika leo jijini Dodoma ambapo amesema kuwa, vyama vya upinzani vilikuwa na wagombea wengi wanawake majimboni na walikuwa na ushawishi mkubwa. ''Upinzani walikuwa na wakinamama wenye ushawishi sana...
  11. Kwanini tanzania hatuna apps store yetu?

    Ingependeza tuwe na sehemu ambako unazikuta app za kitanzania kwa wingi. Maana sehemu kama playstore ni vurugu tupu. App za kila aina. Pia tukiwa na apps store yetu ni rahisi kuweka vitu kama malipo kwa mazingira yetu. Kwanini hatuna apps store yetu?
  12. Tozo ya kodi posta Tanzania unapoagiza bidhaa kutoka Aliexpress China

    Nimekuwa nikiagiza bidhaa nyingi kutoka Aliexpress, na mara zote nimekuwa nikitozwa kodi kubwa na posta ninapoenda kuchukua mzigo zaidi ya bidhaa bei ninazoagiza. Nataka kujua kwa wenzangu ambao mnaagiza kama nyie mnatozwa hivyo au mimi nakosea sehemu! Mnielekeze nifanyaje ili kupunguza kodi.
  13. Makala Niliyosoma: Tanzania inavyotaka kuingia kwenye chumba kinachokimbiwa na Wakenya

    Katika agenda tisa zilizosababisha kuundwa kwa tume ya kusaka maoni ya maridhiano, mradi ukipewa jina la Mpango wa Kujenga Daraja, yaani Building Bridge Initiative (BBI) Kenya, nyingi zinaihusu na Tanzania, lakini ipo kubwa zaidi. Moja ya agenda ambazo zilibebwa ili kuzitafutia ufumbuzi ni...
  14. Chama tawala na Wapinzani Tanzania siasa zenu zinayumbisha Wananchi

    Wakuu, Haya ni maoni binafsi kuhusiana na mienendo ya siasa za Tanzania. 1. Chama tawala-mmepewa dhamana ya kuongoza watu wa imani, itikadi, rangi, kabila zote bila kujali nafasi ya kiuchumi, kiuongozi, kiusalama, kiafya na kijinsia ili wajikwamue kutokana na lindi la umasikini ambaye ni adui...
  15. T

    Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo

    NIMERUDIA kuisikiliza Hotuba ya Mheshimiwa Freeman Mbowe, Mara kadhaa. Hii ni hotuba inaweza kudumu kwa muda mrefu sana kama rejea sahihi ya maamuzi sahihi yaliyowahi kufanywa na CHADEMA, tangu mfumo huu wa vyama vingi uanze. Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo katika siasa...
  16. Tanzania katika huduma za Afya za kibingwa, haina mpinzani ukanda huu

    MY TAKE: Wakati Kenya wanafurahia kufanya operations bila mgonjwa kulala usingizi, Tanzania tupo miaka 50 mbele ya Kenya. Jambo moja muhimu na tofauti kubwa ni kwamba, Tanzania Hospital bora zenye kufanya haya maajabu ni Hospitali za serikali wakati Kenya ni Private Hospitals, sio zaidi ya 5%...
  17. Jimbo la Tigray Ethiopia limeonesha ubaya wa utawala wa majimbo Tanzania

    Jimbo la Tigray Ethiopia kuna vita wanasiasa wakora wanataka kujitenga, jimbo la Kaduna kule Nigeria wakora wanataka kujitenga, kule Kabregado Msumbiji wanataka kujitenga, Katalunha Hispania wahuni wanataka kujitenga. Kumbe hata Tanzania tukianzisha utawala wa majimbo huenda kutakuwa na majimbo...
  18. M

    Shairi: Aikael Mbowe, Freeman Mwamba wa Tanzania

    Ameunguruma Simba, Nchi imetetemeka Manyang'au yamevimba, Aibu imewashika Yalijiona miamba, Ile isiyovunjika Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini Hawa watu waonevu, Ni watu waso na soni Matendo yao uovu, Na ghiliba za shetani Mipango yao mibovu, Kaivunja Freemani Hongera sana Mbowe, Wewe ni...
  19. Berlin set to name street after Tanzania independence heroine Lucky Lameck

    A street in Berlin, Germany, is to be renamed at the beginning of 2021 after Tanzanian politician and leading female activist Lucy Lameck. Councilors in the German capital voted on Wednesday to replace the street name — Wissmannstraße — which honors colonialist Hermann von Wissmann. Wissmann was...
  20. Hujuma kubwa ajira za Serikali ya wanyonge

    Nachokizungumza hapa nina uhakika nacho asilimia 100% naombeni msinichukulie kama nalalia mlango wazi bahati za wengine. Kwanini mimi mwenye GPA ya 4.5 ya UDSM sijapangiwa shule japokuwa nina uwezo mzuri wa kufundisha? Huu ni mwaka wa pili nimekaa mtaani. Sawa, sijajitolea. Hebu fikirieni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…