tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. E

    Yanayofanyika Chato yanafanyika kote Nchini Tanzania

    Yanayofanyika Chato; Yanafanyika Kote Nchini Tanzania Na: Mzalendo wa kweli (ellyskywilly) Serikali ya awamu ya tano imekuwa ikifanya kila liwezekanalo katika kuhakikisha Tanzania nzima inakuwa na maendeleo ya vitu na watu, hivi sasa kila ukipita kwenye maeneo mengi nchini utakutana na ama...
  2. Kampuni la kibeberu linajiandaa na kuleta kesi dhidi ya Serikali ya Tanzania

    Mbona haya makampuni yamekuwa mengi sana? Kampuni nyingine tena imepeleka GOT kwenye arbitration likidai pesa yake. Kampuni hii ilizuiwa kuchimba madini japo ilikuwa imepewa mining licence. ======== Montero secures US$2.32 million for battle with Government of Tanzania Jan 11, 2021 Montero has...
  3. Mechi ya kirafiki: Tanzania na Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo zimetoka sare ya kufungana 1 -1

    Pata updates za mechi hii ya friendly inayochezwa uwanja wa Taifa mapinduzi day 12/1/20121. === Both teams were using the game to prepare for the Chan competition to be held in Cameroon Tanzania and DR Congo settled to a 1-1 draw in an international friendly game played at the Benjamin Mkapa...
  4. Pan-Africanist, Mapinduzi ya Zanzibar, Muungano wa Tanzania kuelekea Muungano wa Afrika

    PAN AFRICANIST,MAPINDUZI YA ZANZIBAR,MUUNGANO WA TANZANIA KUELEKEA MUUNGANO WA AFRIKA. Leo 13:00hrs 12/01/2021 Pan Afrikanist,Mwalimu Julius Nyerere, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika,na hatimaye Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ndiye Pan Afrikanist mbeba maono aliyebuni na...
  5. Kampuni ya Madini ya Montero kuishitaki Serikali ya Tanzania ikidai fidia kwa mradi wa Wigu Hill

    Naona Mabeberu yameingia kazini tena. Kampuni ya Montero imeazimia kuishitaki serikali ya Tanzania ikikusudia kudai fidia kutokana na kupoteza mradi wake wa utafiti wa madini wa Wigu Hill uliotokana na mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2010 iliyofuta baadhi ya leseni zilizokuwa zikitolewa...
  6. E

    Ni Sekta zipi katika Soko la Tanzania hazina perfect competition of market?

    Habari za leo wakuu, Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni Sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market. Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala...
  7. E

    Ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market?

    Habari za leo wakuu, Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market. Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala...
  8. Mfumo wa technologia wa KILAKONA SCHOOLS na faida zake katika elimu Tanzania

    toka kupata uhuru wa nchi yetu mwaka 1961 mpaka sasa kama nchi tumepitia mabadiliko makubwa sana kwenye swala la elimu, mabadiliko hayo yapo ambayo yamekuwa na faida kubwa na mengine yameleta hasara na kuporomosha elimu yetu kwa kiwango kikubwa, katika siku za hivi karibuni wahitimu wengi wa...
  9. Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi awasili Tanzania, aweka jiwe la msingi hospitali ya rufaa ya kanda Burigi, Chato

    Leo Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewasili Chato mkoani Geita kwa ziara ya siku mbili kuimarisha uhusiano ambapo atakuwa na mwenyeji wake, Rais Magufuli. ======= Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji ameshawasili uwanja wa ndege wa Chato na kulakiwa na mwenyeji wake, Rais John Magufuli 05:34...
  10. Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

    Aliyekuwa mgombea uchaguzi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHDEMA Tundu antipas Lissu amejitokeza na kutolea ufafanuzi kadha kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa kesi huko mahakama ya uhalifu ICC dhidi ya Serikali ya Tanzania baada ya uchaguzi mkuu 2020. ==== Dar es Salaam. Chadema Vice...
  11. J

    Utawala wa Sheria kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania ya Mwaka 1977

    Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria (Ibara ya 13) Haki za raia, wajibu na maslahi ya kila mtu na jumuiya ya watu yatalindwa na kuamuliwa na Mahakama na vyombo vinginevyo vya Mamlaka ya Nchi vilivyowekwa na Sheria...
  12. The Bongo Flava industry in Tanzania; Is still grow or decline?

    Tujadiliane kuhusu Bongo Flava industry ; Is still growing or declining industry? Ni nini Maoni yako kweny Tanzania music industry.
  13. K

    Tanzania imelipa kampuni za China wastani wa $1B kwa mwaka kwa ujenzi pekee

    Kwa maelezo ya Raisi Magufuli mwenyewe Tanzania imelipa kampuzi za China $10B kwa miaka 10 iliyopita! hii ni wastani wa $1B kwa mwaka. Hii inashutusha kwa jinsi tunavyotoa wahandisi kwenye vyuo mpaka sasa bado kazi nyingi zinafanywa na makampuni ya China. Kazi nyingi kama za majengo, visima...
  14. Tanzania on Twitter ni akina nani? Kwanini vyombo vya dola vinawachekea?

    Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi. Kimejaa wahuni na ambao kazi yao kubwa ni kuipaka matope Tanzania na Serikali . Kama inadiriki kuwa huwa wanafanya makongamano ili kupanga njama za kuchafua nchi kwa...
  15. What a wonderful documentary about Tanzania Roads! watch for yourself. enjoy

    Nimetazama documentary hii ni nzuri sana.Tanzania ni kubwa aisee!
  16. T

    Kodi za Tanzania ni za ajabu sana, inawezekanaje gari ya miaka 20 iuzwe kwa zaidi ya Milioni 20?

    Sijui ni sababu ya kodi ama umasikini lakini gharama za maisha Tanzania zinasikitisha sana. Hii nchi kweli bado masikini na kuja kutoka hapa sio leo. Leo ukiagiza gari ya mwaka 2001, gari ambayo nchi karibu zote Duniani zimeiondoa barabarani kwa sababu ya kimazingira na kiafya isipokua...
  17. Wizara ya Afya: Wasafiri watapimwa covid19 kwa dola 100

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa muongozo mpya wa upimaji kwa wanaosafiri kwenda nje ya nchi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wanaoambukizwa #COVID19 na kuwepo kwa vimelea vipya kwa baadhi ya nchi Wizara imetangaza kupanda kwa gharama za upimaji wakisema kuwa...
  18. S

    Uhakika Tanzania tunaingia katika kumi bora za Nchi zenye wananchi wenye furaha duniani

    Kabisa kabisa hatupo mbali, kwa muelekeo na Gia tuliyoondoka nayo baada ya Uchaguzi uliolalamikiwa na Vyama vya Upinzani. Yaani kama mheshimiwa baba wa Taifa JPM utamfananisha na gari sijui awe gari gani kama ni ndege labda za kivita kama ni treni ni haipa lupu. Ila huyu ni binadamu mwenye...
  19. Waziri Jafo apiga marufuku Wakala wa Majengo Tanzania kupewa kazi Halmashauri ya Buchosha

    Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri hiyo ikipigwa marufuku kuwapa kazi TBA. Akizungumza wakati wa ziara yake wilayani humo juzi, Waziri wa...
  20. M

    Tanzania Tujiandae na Utawala wa Joe Biden (Democrat)

    Kwa kipindi cha miaka minne chini ya rais Donald Trump pamoja na Republican party, viongozi wengi wa nchi zinazoendelea hasa madikteta, wameweza kuendeleza ukatili wao pamoja na ukiukaji wa haki za binadamu bila wasi wasi kwani Rais Trump pamoja na Chama Chake waliligeuzia mgongo haya mataifa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…