tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Jose Chameleone: Hayati Magufuli hakuwa rais wa Tanzania tu bali rais wa Afrika mashariki

    Msanii na mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda 🇺🇬 @jchameleon ameeleza sababu za kutoka Uganda na kuja Tanzania kwa ajili ya kutoa pole na kumuaga hayati Rais Magufuli. Akiongea na kituo cha habari cha EFM Chameleon ameeleza kwamba:- Bofya hapa chini kutazama.
  2. MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

    Baada ya kusikia watu wengi 'wakiumizwa' na 'kupigwa' wakiwa kwenye harakati za kutafuta usafiri uliotumika nchini, nimeona sio mbaya nikitoa ushauri ni jinsi gani unaweza kuepuka majanga kwenye zoezi hilo. Naandika kama mnunuzi au muuzaji wa aina hio ya magari, kwahio siegemei upande wowote na...
  3. K

    Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

    Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lakini wengi sana walikuwa wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli. Maandiko yao...
  4. M

    Idara nyingi Tanzania haziko tayari kikazi au wanadharau majukumu yao

    Inasikitisha kuona kuwa Idara zetu nyeti haziko tayari katika kazi zao, na ndio maana tunaona wanavyo litia aibu Taifa wakati huu wa kifo na mazishi ya Raisi wetu mpendwa. 1. IKULU na Idara zote zinazohusika na Raisi wa nchi, hawakuwa sawa na madhubuti tokea Raisi aanze kuuguwa, si ajabu hata...
  5. M

    Mkalimani Wa Tanzania Ajaribu Kudanya Umati Na Tafsiri Mbovu

    Yaani kuna ujinga na UJINGA.
  6. K

    Tanzania tuache siasa tufanye chanjo kuokoa watu wetu

    Jamani ni ushauri tena tumeshaona kwa muda mfupi tu ni viongozi wangapi wamepoteza maisha mwaka huu tu kwa miezi mitatu. Lakini hatujui ni Watanzania wangapi hasa wenye umri mkubwa na wale wenye matatizo mengine ni wangapi wamepotea. Mimi binafsi nimechanjwa na nilikuwa tayari kupigwa chanjo...
  7. Chief of Party – Tanzania Feed the Future Land Tenure Activity at DAI

    Overview DAI is an international development company. For more than 45 years, we have worked on the frontlines of international development, tackling fundamental social and economic development problems caused by inefficient markets, ineffective governance, and instability. Currently, DAI is...
  8. C

    Uganda na Kenya ndio Ndugu na Marafiki wa kweli kwa Tanzania

    Kuna msemo wa Kiswahili usemao Rafiki/ Jirani wa kweli utamjua wakati wa shida. Tanzania imekua nchi ya kwanza kwa kuondokewa na Rais wake kipenzi aliyekuwa madarakani. DKT. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. Ukweli ktk msiba huu nimeamini Nchi za Kenya na Uganda ndio jirani na rafiki wa kweli wa...
  9. Tanzania imezizima, dunia imetaharuki kwa kuwa Magufuli alifanya yale wanadamu waliyotarajia kama kiongozi. Je, yupo atakayeweza kuvaa viatu vyake?

    Magufuli alionyesha utofauti kama kiongozi tangu mwanzo wa safari yake ya uongozi na siasa.Katika ngazi zote za utendaji na kama Waziri,alitimiza wajibu wake katika kila eneo.Akawa kivutio kikubwa kwa wananchi na hata adui zake ndani na nje ya nchi. Kwa siri adui zake walikiri umahiri wake...
  10. Polisi Tanzania kwanini hamuwakamati Maria Sarungi na Fatma Karume? Mnabaki kukamata wananchi wa kawaida?

    Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko Mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani. Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea...
  11. Kikwete: Tanzania ipo katika mikono salama

    RAIS wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ameeleza namna alivyopata ugumu kupokea taarifa kuhusu kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, lakini akasema wananchi wasiwe na hofu kwa kuwa Tanzania ipo katika mikono salama. Kikwete aliyasema hayo jana kupitia ukurasa wake wa twitter...
  12. M

    Tusijasahaulishe Kimakusudi japo tupo Majonzini, ila Baba wa Taifa Tanzania ni Mmoja tu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Waliomfuata ni..... Mzee Ali Hassan Mwinyi: Baba wa Mageuzi Tanzania. Hayati Benjamin William Mkapa: Baba wa Uchumi Tanzania. Mzee Jakaya Mrisho Kikwete: Baba wa Mapinduzi ya Kilimo Tanzania. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli: Baba wa Utekelezaji wa Miundombinu Tanzania. All - Rounder ( alias...
  13. Video: Dkt. Mpango arejea ofisini, apokelewa kwa bashasha

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!
  14. W

    King, Crown Prince congratulate Samia Hassan on becoming Tanzania President

    The Crown Prince HE Muhammad bin Sulaiman, deputy prime minister and minister of defense has congratulated Madam Samia Suluhu Hassa for becomming President of Tanzania. Below is the quote from the Saudi gazette. "RIYADH — The Custodian of the Two Holy Mosques King Salman has sent a cable of...
  15. Dah! Uganda waipita Kenya kwenye mataifa yenye furaha, huku Tanzania ikiendelea kushikilia nafasi ya wanunaji na wenye dhiki

    Uganda has overtaken Kenya to become the happiest country in East Africa in the 2020 World Happiness Report released in March 2021. The survey conducted in 2020 placed Uganda at position 83, followed by Kenya at 86 which is a drop from the previous year, and Tanzania ranking at position 94...
  16. Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Marekani atuma salamu za Pongezi kwa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Tanzania

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametuma salamu za pongezi kwa Rais mpya wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ambaye ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kamala Harris amesema pia Marekani ipo tayari kushirikiana na Tanzania kuboresha mahusiano baina ya nchi...
  17. ASA Microfinance (Tanzania) Limited Jobs, March 2021- Loan Officers (LO’s)- (100 Posts)

    JOB TITLE: Loan Officers (LO’s)- (100 Posts) Job Responsibilities: ● To build and maintain a substantial and high-quality loan portfolio. ● To conduct members recruitment and screening. ● To orient clients to the particular loan products and services. ● To make groups in all working days in a...
  18. HJFMRI Tanzania Jobs, March 2021- Program 4 Drivers

    JOB TITLE: Program Drivers (4 Posts) Reports to: Logistics Manager Locations: Dar es Salaam, Mbeya, Rukwa, and Katavi The drivers will be located in all program areas depending on need. Job Summary This position will provide logistical support to HJFMRI program activities in five regions of...
  19. D

    Tarehe 17. Tarehe iliyondika historia za majonzi Tanzania. Je, imebeba ujumbe wa kiroho, au ni coincidence tu?

    TAREHE 17/03/2020 Tanzani ilitangaza rasmi kuvamiwa na janga la korona na taasisi zote za elimu kufungwa na hatua mbalimbali za tahadhari zikatolewa. TAREHE 17/02/2021 Kifo cha makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Hayati Maalim Seif Shariff Hamadi. (RIP) TAREHE 17/02/2021 Kifo cha Katibu mkuu...
  20. Tanzania yapata Suluhu baada ya Pombe

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…