tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tanzania yasema haina mpango wa kuruhusu kilimo cha Bangi

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Gerald Kusaya amesema Tanzania haina mpango wa kuanza kuruhusu kilimo cha bangi na badala yake amewataka wananchi kujikita katika kilimo cha mazao mengine yenye tija. Kamishna Jenerali Kusaya ameyasema hayo jijini...
  2. Mishahara mikubwa na matumizi ya gharama ya Viongozi na Wabunge ni sababu ya Wananchi kutolipa kodi

    Tanzania ni moja ya nchi masikini zilizojaliwa kuwa na utitiri wa viongozi kuanzia Wilaya mpaka Taifa viongozi hao waliligharimu taifa fedha nyingi sana kuliko hata za watumishi wote wa serikali tuna wakuu wa wilaya 140, Wakurugenzi 200 wakuu wa mikoa 26 makatibu tawala wa wilaya 140 makatibu...
  3. Tanzania ya "viwanda" imeishia wapi?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, slogan ile ya Tanzania ya viwanda je shangaz ana hoja?
  4. Rais Samia aenda Msumbiji kwa kikao cha dharura cha SADC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili leo tarehe 22 Juni, 2021 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya...
  5. Tanzania kuna utaratibu wa ku-declassify nyaraka za siri?

    Kwa wenzetu unakuta baada ya miaka kadhaa kupita, nyaraka za siri huwekwa wazi. Hapa kwetu kuna huo utaratibu? Baada ya muda gani kupita?
  6. M

    The Guardian ya IPP Media imenunuliwa na China?

    Nikiangalia leo tovuti ya The Guardian hapa THE GUARDIAN | IPPMEDIA ninakuta vichvya vya habari vifuatavyo kwenye ukurasa mmoja : CPC's-great-practice-offers-inspirations-says-turkish-party-leader" CPC’s 100-year history is a heroic legend: Turkey’s Patriotic Party...
  7. Filamu kubwa zinatumia mandhari ya Kenya, Tanzania tunakwama wapi?

    Filamu (movie)kali hasa kitalii kwa afrika inafanyika sana kenya na nchi zingine. Kenya kupitia filamu nyingi location inakuwa kenya wanajitangaza kiutalii mfano endangered species unaona mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu barani afrika na watalii wanajua mlima Kilimanjaro upo kenya kwasababu...
  8. M

    Watalamu wa masoko system za Afya (IS health services marketing) na masoko ya systems za uhasibu Tanzania

    Wadau wote, wanahitajika wasomi wenye degree walau za masoko au za afya aina yoyote au ofisa mauzo wenye weledi kwa ajili ya masoko ya huduma za afya, lengo ni kuuza system za IT kwenye hospitals za private na za serikali na kwamba maofisa hawa watafanya kwa mikataba ya muda mfupi mfupi wenye...
  9. Dodoma: Nicodamus Maganga (Mbunge) adai Mishahara na Posho haiwatoshi Wabunge. Ashangiliwa...

    "Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga ==== Dodoma. Mbunge wa Mbogwe...
  10. Dkt. Leonard Akwilipo: Wanafunzi waliopata mimba Tanzania kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwaruhusu wanafunzi waliokatiza masomo yao kwa kwasababu ya kupata mimba kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi. Akizungumza na wakuu wa vyuo vya maendeleo ya wananchi nchini humo, Katibu mkuu wa wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia , Dk...
  11. Oil ang Gas Politics: Key factors influencing oil and gas negotiation processes in Tanzania

    One of the biggest problem decelerating development of oil and gas sector in Tanzania is negotiation with investors who have willing to make an investiment. In reality negotiation processes are not only about distributing rents, but also about distributing risk. Decisions to invest are made in...
  12. Mitandao ya simu ya Tanzania ni ya hovyo sana

    Salamu kutoka kusini! Kusini Kuchele Naanza na malalamiko yangu kwa hii mitandao ya simu ya Tanzania! Moja. Hivi kuna ulazima gani, pindi mtu anaacha kutumia line ya mtandao flani au anafariki dunia,halafu hiyo line ya simu anapewa mtu mwingine baada ya miezi kadhaa? Hivi inakuaje aliyekua...
  13. Unabii: Ummy Mwalimu atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa kike

    Habari za mda huu wakuu. Leo nmeona jamaa mmoja humu kaandika kuhusu hili na nmekuja kuyawasilisha mawazo yake yeye alitoka kama comments nmeamua kuleta kama mada. Na Mimi pia naafiki ipo siku Odo Ummy atakuja kuwa PM. Wa JMT Naomba tuwe wavumilivu na wasikivu tu nyota yake inang'aa sana
  14. N

    Tanzania wananchi tunawaogopa viongozi badala ya Sheria? Je, viongozi hawawaheshimu waajiri wao ambao ni wananchi?

    Nimekuwa nikijiuliza mawaswali mengi pamoja na hayo ya utanguzi. Je, hii inatokana na Katiba mbovu? Au wananchi hatuzijui haki zetu ndani ya Katiba? Viongozi Wana kiburi Cha madaraka? Maana tunatofauti na majirani zetu hata waganda wanatuidi japokuwa mu7 ana watawala kwa mkono was chuma...
  15. Medical Doctor at Tanzania Red Cross Society

    TANZANIA RED CROSS SOCIETY The Tanzania Red Cross Society (TRCS) is a voluntary humanitarian organization established as an independent National Society (NS) by the Act of Parliament No. 71 of December 1962 and amended by the Parliament of Tanzania in 2019. Tanzania Red Cross Society was...
  16. Tungekuwa na Katiba kama ya Kenya tungefika mbali

    Katiba ya sasa ya Kenya ilipunguza kwa kiwango kikubwa sana vyeo vya kugawa kama Karanga. Katiba ya Kenya bado naamini ni moja ya katiba bora Africa na ni nchi chache Africa zina katiba ya aina ile. Ndo maana hadi Majaji au IGP wa police Kenya anatuma maoumbi, Mkaguzi mkuu wa hesabu anatuma...
  17. Je, Professor Lipumba na Andrew Chenge wametuangusha?

    Hawa ni Wasomi kutoka Stanford University na mungine Harvard University Prof Lipumba, Huyu ameishi Stanford University na Kufundisha hapo, Gharama za kusoma chuo hicho ni zaidi ya dollar za kimarekani 55,000 kwa mwaka mmoja sawa na pesa za kitanzania zaidi ya Milioni 120 kwa mwaka mmoja...
  18. B

    Tathmini: Kesho bora ya Tanzania inategemea uwepo wa Katiba Mpya

    Mabibi na mabwana ni ukweli usiopingika kuwa kesho yetu iliyo bora zaidi inategemea sana uwepo wa katiba mpya. Kwa hali tuliyofikia kunahitajika zaidi mustakabala mpya wa utangamano. Ni wazi kuwa hayupo mmoja ambaye kwa dhati yake asiyekwazika kabisa kwa lolote na katiba iliyopo labda tu, kwa...
  19. Ushauri: Nataka kutoka nje ya Tanzania kutafuta maisha

    Wakuu habarini za leo? Nikiwa kama muumini ninae amini maisha ni popote, Leo nimeleta Uzi huu nikiwa na lengo la kupata mwongozo kwa walio nitangulia kutoka nje ya Tanzania au walio na uzoefu wa nchi zingine barani Africa au nje ya Africa. Kwanza kutoka nje ya Tanzania kwenda ku-make life...
  20. N

    Mnamuonea sana Karia, ligi zetu ni bora kuliko za Misri na Algeria

    Kuna watu wakiongelea ligi yetu gape la mechi la kulinganisha na ligi ya uingereza unaweza ukadhani karia ni shetani aliyeandikwa kwenye vitabu vya dini..angalia ligi ya misri wana teams kama sisi wanatakiwa kila teams icheze mechi 34 angalia ndo kwanza al ahly ana mechi 19 ,pyramids ana mechi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…