tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Uchumi wa Kenya unategemea mahusiano ya kibeberu dhidi ya Tanzania

    Ubeberu wa kimataifa umejiundia tangu kale mahusiano ya kiuchumi ambayo wao ni kama bahari. Mito yote kutoka nchi kavu na maziwa lazima yaishie kwao baharini. Kuna mito huingia kwenye maziwa halafu kuna mito inatoka kwenye maziwa kwenda baharini. Kenya ni kama ziwa kwa uchumi wa tanzania...
  2. Siasa za Tanzania zinakosa tija kwasababu wanaharakati wa kisiasa wanatumia muda mwingi ku-attack personality badala ya kuwa objective

    Hili ni tatizo ambalo naona linazidi kukomaa, siasa za wanaharakati wa sasa iwe chama tawala ama wenye mirengo ya upinzani, wamekuwa ni watu wenye hoja za ku attack personality zaidi na kukosoa kila jambo. Yaani kama ni mwanaCCM anaona harakati zake hazijakamilika bila kumtukana Mbowe au Lissu...
  3. Nini sababu ya miradi mikubwa ya maendeleo Tanzania kuchelewa au kukwama? Je, ni hujuma za majirani?

    Amani iwe nanyi wadau! Leo naomba niandike mada ngumu kwa wengi Ila nyepesi kwa wachache wenye akili na jicho la tatu!! Mada hii imetokana na Jarida la African Report kuandika Makala inayoelezea kwa Jinsi gani Rais Samia anaweza pata ugumu katika kushawishi Kujengwa kwa Mradi wa Bandari ya...
  4. Somewhere in Tanzania you will meet these beautiful people

  5. Ufafanuzi namna ya kugawana pesa za Simba SC Tanzania

    Nimeona kuna wanajiita wachambuzi au wanamichezo wanapotosha makusudi ama hawajui haya mambo. Wanadai azam media wakiipa pesa Simba kupitia mkataba wa haki za matangazo basi mudi atakata 49% kinachobaki ndo kinaenda Simba SC Tanzania. Huo ni uongo na upotoshaji. Hesabu za kupata gawio...
  6. Bidhaa 10 ambazo huruhusiwi kuziingiza Tanzania

    Habari WanaJF, Kuna orodha ndefu ya bidhaa ambazo ni marufuku kusafirishwa kuja Tanzania kwa mujibu wa sheria za nchi na sheria za kimataifa. Hivyo, tunashauri kabla hujaagiza bidhaa yoyote ni vyema ukafahamu sheria hizo vizuri kuepuka usumbufu, hasara na matatizo na mamlaka. 1. SANAMU ZA...
  7. Corona iko maeneo gani Tanzania?

    Hey, Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani?? Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi. Kiuhalisia...
  8. Wachezaji Polisi Tanzania wapata ajali, mmoja avunjika miguu

    Kikosi cha timu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara kimepata ajali leo Ijumaa Julai 9, 2021 wakati kikitoka mazoezini katika Uwanja wa TPC. Makamu mwenyekiti wa timu hiyo, Robert Munisi amesema,”kwa sasa ni mapema kuwa na taarifa ya nini kilitokea lakini kwa kifupi gari...
  9. Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika kudhibiti mfumuko wa bei wa Taifa ikilinganishwa na nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika kudhibiti mfumuko wa bei wa Taifa ikilinganishwa na nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kipindi cha mwezi June, 2021. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii, Ruth Minja, Jijini Dodoma ambapo amesema kuwa mfumuko huo kwa...
  10. Ongezeko la Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii Tanzania ni fursa kibiashara

    Mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo muhimu ya biashara katika karne ya 21 hasa kutokana na urahisi wa kufanya biashara na kuongezeka kwa fursa ukilinganisha na biashara nje ya mitandao. Zaidi ya nusu ya watu bilioni 7.8 duniani wanatumia mtandao wa intaneti, ambapo kwa jicho la kibiashara, hiyo...
  11. Katiba Mpya ya Tanzania itasaidia namna Viongozi wanatakiwa kufuata Sheria

    Inawezekana kabisa tukafanikiwa kuwa na #KatibaMpya na bado maji safi na salama, barabara nzuri, huduma za afya nzuri na mengineyo visiwepo ila haihalalishi tusiwe nayo kwasababu Katiba imekaa kimamlaka na itasaidia ku-shape namna viongozi wanatakiwa kuenenda kwa kufuata sheria.
  12. Tanzania ya viwanda: Ningependa kuvijua viwanda vya Matela Tanzania

    Hivi Super Star Trailers si kiwanda cha Tanzania? Hivi Simba Trailers siyo kiwanda cha Tanzania? Super Doll Trailers hivi kipo wapi? AM Trailers kipo Tanzania? Wakati wa Quality Motors je hawakutengeneza Trailers? Ben Bros ni ya wap? Naomba niwekewe hapa viwanda vingine vingi vya...
  13. UN yaipa Tanzania takribani Dola 900,000 kusaidia wahanga wa UVIKO-19

    UN yaipa Tanzania karibu dola laki tisa kusaidia wahanga wa UVIKO-19. Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Kilimo, IFAD umeipa Tanzania karibu dola laki 8 na 83 elfu kwa ajili ya kusaidia wakulima wadogo zaidi ya elfu 6 nchini Tanzania ambao wameathiriwa na janga la ugonjwa wa korona au...
  14. Mauaji ya Rais wa Haiti Jovenel Moise na funzo kwa Katiba yetu bora ya mwaka 1977

    Ubora wa Katiba yetu ya mwaka 1977 na yaitwayo madaraka makubwa ya Rais. Funzo kwa wenzetu nchi ya haiti na kumpunguzia rais wao madaraka. Je, watungaji (constitutional framers) wa katiba ya 1977 ya JMT walikosea kumpa rais wetu madaraka makubwa? Kufuatia mauaji ya rais wa nchi ya Haiti...
  15. Tanzania Portal Trade iko tayari

    Karibuni wadau kwenye link hiyo hapo juu..Mfumo wa Taarifa za Biashara. Kupitia mfumo huu utaweza kupunguza muda wa kupata vibalimbalimbali, kupata masoko yalipo ndani na nje,kukutanishwa kwa wanunuzi na wauzaji wa bidhaa mbalimbali.Wengi wenu huwa mnataka kufanya biashara za nje ila hamjui...
  16. F

    Changamoto za watanzania ndani ya Tanzania

    Ndugu zanguni ni wasalimu na niende moja Kwa moja kwenye mada. Mada yangu nikuhusu vyeti vya kuzaliwa. Mwanangu alizaliwa Mkoani Arusha mwezi wa 7 mwaka 2002, Leo ni miongoni mwa wale wanaosubiri matokeo ya kidato sita. Baada ya kuwa amezaliwa nilifuata taritibu zote za kupata Cheti ndani ya...
  17. Ushauri: Ianzishwe Wizara ya Mafuta na Gesi ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania na Waziri awe Profesa Muhongo

    Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas...
  18. K

    Naweza nisiwe Nabii ila wanaopingana na ukombozi wa Tanzania (Katiba mpya) wataondoka na kusaulika siku si nyingi

    Yawezekana waliopewa nafasi nakutuongoza kwa haki nakupewa nafasi yakuweka misingi ya haki na utawala wa sheria nchini wanaamini Wana muda mrefu wakula salary,posho na kutembelea mashangingi kupitia Kodi zetu. Naamini Mwenyenzi Mungu alipowapa nafasi yakuosoma wakawa na mawazo mapana dhidi ya...
  19. Wazalishaji wa bidhaa wa Kenya na Tanzania kufanya mazungumzo ili kuwezesha masoko ya bidhaa zao

    Wazalishaji wa bidhaa wa Kenya na Tanzania wamefanya mazungumzo ili kujadili juu ya kukuza biashara ya pamoja na upatikanaji wa soko kati ya nchi hizo mbili. Mkutano umeanza Jumatano hii na unataraji kuendelea mpaka Ijumaa ambpo utawahusisha wawakilishi wa Serikali. Upande wa kenya Kenya...
  20. Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

    Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii. Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…