tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Duh! Tanzania yenye watu milioni 60, ina wataalam 3.3%.......kazi bado sana tu

    Hii ni kwa mujibu wa taarifa za taasisi ya elimu ya juu, kwamba Tanzania yote huko wataalam ni asilimia 3.3% ya mamilioni ya raia wake......shughuli bado sana kuelekea kwenye uchumi wa viwanda unaohitaji ndani kuwe na wataalam wa kutosha kupokea ujuzi wa wageni. ==============================...
  2. G

    Tanzania inapendwa sana na Mungu. Kila tunaloliomba kwake analijibu kikamilifu

    Mzee Kikwete alitulea kwa kutudekeza sana. Tukawa na uhuru uliopitiliza na kutufanya tuseme mambo yatokanayo na "ulevi wa uhuru". Tukamwomba Mungu "atupatie dikteta mzalendo". Akatujibu kwa kutupatia dikteta uchwara awamu ya tano. Tukamlilia tena Mungu kwamba huyu mtu aliyetupatia anatutesa ...
  3. Press Statement of the African Commission on Human and Peoples’ Rights on the deteriorating human rights situation in Tanzania

    Press Statement of the African Commission on Human and Peoples’ Rights on the deteriorating human rights situation in Tanzania The African Commission on Human and Peoples’ Rights (the Commission) is deeply concerned about recent developments affecting various areas of human rights in Tanzania...
  4. CHADEMA haya ndiyo mataifa mnaomba yaiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi

    Wanakumbi. CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi. Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe. Utawala wa Sheria hautaki hivyo...
  5. Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo

    Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha. Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa...
  6. Marekani: Tanzania ni nchi inayoongoza katika masuala ya Usalama Afrika

    Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani hivi leo inasema Tanzania ni nchi kiongozi katika masuala ya usalama katika Bara la Afrika. Hayo yamesemwa leo na General Stephen Townsend na kuripotiwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. General Townsend ndiye mkuu wa Jeshi la Marekani Command...
  7. Niwaambieni mapema tu nikija kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi Daraja la 'Tanzanite' nitaamuru libomolewe haraka

    Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu. Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa...
  8. N

    Mbowe anaenda kubadilisha historia ya Tanzania

    Huyu bhana pamoja na kuzaliwa kipindi cha uhuru lakini dalili zinaonesha anaenda kukuza uhuru wa kufurahia demokrasia hapa nchini. Ninatamani sana kesi yake ingurume ili tuone matendo ya kigaidi aliyoyafanya ili nilinganishe na ya Ole Sabaya na ya Mnyeti halafu ikiwezekana afungwe kabisa si...
  9. M

    Nafasi 35 za Kazi at Tujijenge Tanzania – Loan Officer

    Job Positions 35 Loan Officer at Tujijenge Tanzania. Tujijenge Tanzania’s mission is to improve the quality of life for families in Tanzania through the provision of microfinance. We are a microfinance organisation, offering products through group and individual lending, targeting micro and...
  10. T

    Job Vacancy at The School of St Jude

    The School of St Jude is looking for a Higher Education Scholarship Officer. What you’ll do Identify international scholarship opportunities that provide access to higher education to high-achieving, low-income students. Identify and build key relationships with international higher...
  11. Tanzania Itafute Mbinu Bora ya Kupambana na COVID19

    Tusije kuweka matumaini makubwa kwenye chanjo halafu tukabakia tunaombea ifanye kazi tofauti na inavyofanya kazi kwenye nchi nyingine. Hapa Marekani jana CDC imetutangazia kuwa hata sisi tuliopata chanjo tayari tuanze kurudi kuvaa mabarakoa tukiingia sehemu mbalimbali. Kuna hofu hapa kuwa namba...
  12. SoC01 My experience: How knowledge sharing can improve organization's productivity in Tanzania

    Over a period of more than 10 years that I tpaul plied my trade with a private mobile telecommunication company before hanging my career boots and shift to public sector, I happened to gather profound information regarding knowledge sharing between old and young employees and how this knowledge...
  13. Tundu Lissu, wewe unakula posho Ulaya unataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya

    Mpumbavu ni nani? Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi anakula posho wazungu Ulaya halafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya. Anaomba Jumuiya ya Kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada. Lissu angekuwa wa...
  14. G

    Wasioitaka chanjo ya korona Tanzania hawa hapa

    Pita sehemu mbalimbali hapa Tanzania ambako kuna ulazima wa kuvaa barakoa. Kisha angalia idadi ya watu waliovaa barakoa kwa hiari yao. Ni wachache sana. Ukiangalia makanisani, misikitini, viwanja vya michezo, masokoni, harusini, vyombo vya usafiri , minqdani, n.k watu hawana habari na barakoa...
  15. SoC01 Viongozi acheni ubinafsi, mnamchukiza Mungu

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini siwafichi kazi ya kulijenga taifa hili itaendelea kuwa ngumu, ngumu haswa kama viongozi hamtaacha ubinafsi. Nasisitiza tena, taifa hili halitasonga mbele kama viongozi hawataacha ubinafsi. Nchi hii ina utajiri mkubwa sana wa...
  16. Kipi chama kikuu cha upinzani Tanzania kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA?

    Huo utata lazima umalizwe sasa. ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani? Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
  17. Certificate of Good Conduct kwa aliye nje ya Tanzania inapatikanaje?

    Habari zenu wakuu, Kuna rafiki yangu yuko nje aliwahi kufanya kazi Tanzania miaka kadhaa nyuma mkataba ulivyoisha akaondoka. Baadae alienda kufanya kazi Dubai na Qatar then akarudi kwao. Saivi kapata kazi Canada anatakiwa working permit lakini wamesema lazima awe na certificate of good...
  18. Serikali ya Tanzania inaandaa Mpango wa Kuangamiza Wananchi Wake Maskini

    Mchawi si mpaka avae tunguli au hirizi. Utamwona tu ana ku wish nini. Serikali ya Tanzania ina mpango dhabiti wa kuangamiza Wananchi wake kupitia kodi na tozo za kinyama, kinyonyaji na kibaradhuli. 1. Tozo ya Miamala 2. Tozo ya simu ya mshikamano (yaani maskini waendelee kushikamana katika...
  19. Amapiano vs Singeli

    Yote ni aina ya muziki wa kiafrika kutoka mitaani wanakoishi Waafrika wa hali ya kawaida. Amapiano nasikia inatokea mitaa kama Soweto, Katlehong, Vosloorus ama Mamelodi huko Afrika Kusini. Tena ulionekana muziki wa watu wa mitaani. Lakini hatimaye huu mziki umekubalika na kuigwa na watu wa...
  20. Uanaharakati katika vita vya kupata Katiba Mpya Tanzania

    Wana bodi, Mengi yamejadiliwa kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mashtaka ya ugaidi yanayo mkabili. Je, uanaharakati tunaoushuhudia haswa kutoka kwa wapinzani unaweza kudumu kwa muda mrefu na kuleta mabadiliko ya aina yoyote? Mchakato wa kupata katiba mpya miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…