tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Kiongozi wa machifu Tanzania ataka Serikali iwatambue rasmi machifu

    Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Rais Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
  2. Darasa la saba waanza Mitihani

    JUMLA ya wanafunzi 1,132,143 wa darasa la saba waliosajiliwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), leo na kesho watafanya mitihani ya taifa ya kuhitimu elimu ya msingi. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mitihani hiyo Dar es Salaam jana, Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles...
  3. Korona ya Tanzania ina maajabu, inakuwepo kwenye mikusanyiko ya upinzani ila kwa watawala na CCM inayeyuka

    Leo Rais Samia Suluhu Hassan yuko mwanza mikutano yake Ina maelfu ya watu ambao hawajavaa barakoa ila kesho CHADEMA wakiitisha mkutano wawatu 50-70 Corona inatinga na hazitambuliwi na madaktari Ila polisi wenye bunduki na virungu. Korona ya Tanzania is so unique.
  4. Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, mkoani Mwanza. UPDATES - Katika Viwanja vya Redcross - Magu tukio linaendelea huku Machifu...
  5. Tovuti 10 zinazoongoza kwa mauzo ya simu za iphone Tanzania. Kwa bei nzuri na uhakika

    Mauzo ya simu kwa sasa yameongezeka sana. Kutokana na uwepo wa ushindani mkubwa katika soko. Pia tukiangalia na kazi ya simu za mkononi. Zipo kukurahisishia upatikanaji wa taarifa. Na upatikanaji wa huduma nyingine nyingi ambazo zinatuwezesha. Kuongeza ufanisi katika kazi zetu na masomo yetu...
  6. Vuta N'kuvute Official Trailer

    Hii ndio Official Trailer ya Filamu ya Vuta N'kuvute (Adaptation ya ile novel ya Vuta N'kuvute by Shafi A. Shafi) Filamu ilikuwa Directed & kuandaliwa Amil Shivji (Kijiweni Production) akisaidiana na Big World Cinema. What do you all think? #vnv #tiff #kijiweniproductions #bongomovies...
  7. K

    Mvurugano wa mambo uliopo Tanzania ni matokeo ya kuyumba kwa CCM Kisera

    Kwani hasa CCM inasimamia misingi gani sasa huwezi kupata jibu la wazi. Tuchukue walau huu muda wa miaka 20 iliyopita utaona ukweli wa mambo. Nakusudia kutoka mwaka 2000. Kuanzia mivutano ya Kupata mgombea wa Urais wa JMT na kuvuana magamba na kuasisiwa mitandao kulikiacha chama peupe kabisa...
  8. Clubhouse ndio mkombozi wa mikutano Tanzania

    Teknolojia ni rahaa sana. Nimeanza kufahamu hii clubhouse kupitia JamiiForums. Asanteni JamiiForums [emoji106]. Mnaweza kufanya mikutano bila buguza yoyote wala poiliCCM kuingilia mkutano [emoji23]. Clubhouse ndio mkombozi wa mikutano yoyote na makundi yote.
  9. Live from Mkapa national stadium: WCQ African zone Tanzania vs Madagascar

    Wellcome for updates about this match from beigning to the end of this match. Starz will win or draw at the home? Madagascar starting XI Update Tanzania moja dakika ya 3 erasto kwa mkwaju wa penalt Full-time Tanzania 3-0 Madagascar The Tanzania now leading the group J for the 4 point...
  10. Viongozi wanaofaa na wasiofaa kuwa Marais mbeleni

    1. Humphrey Polepole: Kijana huyu ameonyesha uzalendo, misimamo na kutonunulika na hayumbishwi (ANAFAA) 2. Kassim Majaliwa: Licha ya utendaji mzuri alionao katika nafasi yake, lakini ameonesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa Samia kama Rais (HAFAI) 3. Philipo Mpango: Ingawa...
  11. Generation ya kuanzia 1990's ndiyo italeta ukombozi wa kisiasa hapa Tanzania

    Huu ndo ukweli CCM imekataliwa na most of people. Wengi ni vijana waliozaliwa 1990s Hivyo kizazi cha hakina kayafa kinabidi kiishe chote. Hiki kizazi cha 1950+ kimejaa watu makatili waliopoteza utu na Heshima na wanaofanya siasa za chuki na kukomoana. Pendekezo vyama vya upinzani makini...
  12. J

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao Na Mwandishi wetu Mtwara Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji wa korosho mkoani Mtwara ili kuwajengea uelewa kuhusu viwango...
  13. The royal tour kupaisha utalii na uchumi wetu wa Tanzania

    THE ROYAL TOUR KUPAISHA UTALII NA UCHUMI WETU WA TANZANIA Heko kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza na kurekodi kipindi Maalum cha The Royal Tour kuonyesha vivutio vyetu vya utalii,utamaduni wetu pamoja na vivutio vya Uchumi katika Taifa letu...
  14. Mtanzania gani anayejitambua na ana mapenzi ya kweli na Tanzania hataki Katiba Mpya?

    Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna By Daniel Mjema More by this Author Vuguvugu la madai ya Katiba...
  15. B

    Ukiukwaji Katiba, Tanzania tunafeli Wapi?

    Nchi si shamba la mtu. Nchi huendeshwa kwa kufuata katiba. Inatia moyo majahili kama kina Alpha Conde wanapotiwa adabu kwa kukiuka katiba: "Rais Alpha Conde alitaka kuvunja Katiba ya Nchi ili imruhusu kugombea kwa muhula 3 na bunge kumuongezea mshahara." Sote hatupendi katiba ya nchi...
  16. SoC01 Kwa Rasilimali Zilizopo Tanzania, Tunastahili kuwa na Maendeleo haya tuliyo nayo?

    1: UTANGULIZI. Tanzania katika miaka ya hivi karibuni imepata maendeleo mazuri katika nyanja za kisiasa kiuchumi na katika ustawi wa jamii. Ingawa bado nchi inakumbana na changamoto kubwa za kimaendeleo, kama vile rushwa ongezeko kubwa la watu magonjwa na kukosa usawa wa mgawanyo wa mapato...
  17. ALAF Tanzania, mnatumia kigezo gani kupandisha bei za bati zenu

    Wadau kama kichwa cha habari kisemavyo. Nimekutana na hii scenario nikabigwa na bumbu wazi Nilowahi kupiga simu huduma kwa wateja ALAF nikaulizia bei za bati zao nika note kisha nika andaa mahesabu yangu ya paa langu Ikapita wiki 2 nikaenda pale kiwandani kwao nikiwa na nia ya kununua mzigo...
  18. S

    Tanzania now catches up with Kenya in infrastructure projects

    https://cceonlinenews.com/2020/02/05/tanzania-now-catches-up-with-kenya-in-infrastructure-projects-2/ Tanzania is now at per with Kenya in terms of infrastructure projects, both recording 51 projects in 2019, a new report has revealed. The Africa Construction Trends Report (2019) by Consultancy...
  19. Tanzania yangu

    Nakupenda Tanzania yangu ya Mama Samia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…