tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Imihigo: Mfumo wa Kuwawajibisha Viongozi wa Tanzania

    Umewahi kujiuliza kwanini miradi mingi mtaani kwetukama barabara, ujenzi wa madarasa, au usambazaji wa umeme na maji inachelewa sana, alafu kiongozi aliyefeli anahamishwa tu kituo cha kazi badala ya kuwajibishwa? Kule jirani zetu Rwanda kuna mfumo wa kijasusi wa utendaji kazi unaitwa Imihigo...
  2. Uchimbaji Visima Tanzania: Bei kwa Kila Mkoa

    Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote: ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000 Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000 Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa...
  3. Kuwa mkweli kwa mambo yanavyoenda Baba au Mama yako anaweza shindwa kuwa Rais wa Tanzania? Kwa kigezo cha Uwezo wa Tuliyenaye sasa

    Tuwe wakweli kabisa Je Mzazi wako kama akipimwa na Samia Suluhu Hassan kwa mizania 1. Uzalendo 2. Elimu hata kama si degree 3. Maamuzi yenye busara kutoumiza watu 4. Uelewa wa Mambo ya Jamii Je mzazi wako anaweza shindwa iongoza Tanzania kama Rais? Maana zamNi cheo cha Urais was a...
  4. Kwa matamko ya waziri wa ndani ni rasmi Tanzania imekwenda na maji. Tupo kwenye utawala wa kijeshi.

    Haiwezekani mtanzania kupata huduma ya kulala kwenye nyumba ya wageni lazima awe na NIDA tofauti na hapo inahesabika mhalifu. Haiwezekani mikutano ya kisiasa inazuiliwa tena na waziri wa mambo ya ndani bila kutoa sababu za msingi. Tangazeni hali ya hatari ili tujue tunabanana vipi maana maisha...
  5. Tanzania hata mwenyekiti wa mtaa anataka ashinde ofisini muda wote badala afanye kazi zingine haya sasa ToneTone imekoma leo rasmi.

    Hii mentality ya kuishi kupitia siasa kula kupitia mikutano ya Hadhara ifikie mahali iondolewe hasa kwa hawa wanasiasa wanaotegemea wale kupitia kapu la donation. Wewe mwanaume unaishije kwa kutembeza kikapu? Ipo siku utajiuza kwa mabeberu ila mostly mmeshajiuza Mfano wewe kama mwenyekiti wa...
  6. Muungano unakwamisha mabadiliko ya kidemokrasia Tanzania?

    Inawezekana vipi mabadiliko ya kisiasa Tanzania kutokea kabla ya muundo wa muungano kushugulikiwa? Kwa tabaka tawala na state machinery suala la muungano ni kufa na kupona, kwao haiyumkiniki muungano kuvunjika kwa hiyo hata kama wangekuwa wanademokrasia vya kutosha wakubali ushindi wa upinzani...
  7. Je, bado haujafika muda wa Tanzania kuwa na mfumo mmoja wa kidigitali utakaohifadhi nyaraka muhimu?

    Habari za muda huu wanajamvi, Kuna jambo huwa linanifikirisha mara kwa mara,hivi katika kipindi hiki ambacho teknolojia imeendelea kukua kwa kiwango kikubwa, je, haiwezekani serikali pamoj na sekta binafsi kuweka mfumo mmoja wa kidigitali utakaohifadhi taarifa na nyaraka muhimu za mwananchi...
  8. Je ni kweli, Dar es Salaam ndio center ya mafanikio hapa Tanzania? Unamshauri nini kijana?

    Vijana wengi wanakimbia kutoka vijijini kwao wanakimbilia mjini daresalaam, cha kushangaza wapo wanaofanikiwa pia wengi wao wanafeli, unahisi kwanini watu wanakimbilia hasa daresalaam? Je ni population au ni nini? Daresalaam ukiwa na mtaji wa kawaida utafanyaje? Frame za biashara mfano gongo la...
  9. Hivi Kuna Taifa Lingine Duniani Linalojua Sana Maisha ya Mastaa Kama Tanzania?

    Hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo ni rahisi kuwa maarufu kama Tanzania maana kwa uchunguzi wangu nadhani tanzania inaweza kuwa Top ya nchi ambazo wananchi wake wana feed taarifa nyingi sana kuhusu maisha binafsi ya watu maarufu. Mtu hajaamka bado yupo kitandani alfajiri tayari anajua...
  10. E

    The Changing Values of Success in Tanzania: Skills, Deal-Making, and the Rise of Middlemanship

    We are living in a new country with relatively new fundamental values, but often disguised in the language of old values and norms. Nowadays, the ability to make deals and act as a middleman can make almost everything possible. If you have persuasive skills and the ability to attract multiple...
  11. H

    Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania

    Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania Kampuni za Algeria zinazojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za viwandani na kilimo zinatafuta wabia wa kufanya nazo biashara ya mazao na uwekezaji katika sekta ya viwanda nchini Tanzania. Kampuni hizo...
  12. Msanii wa hip hop wa Tanzania Jose Mtambo kwa sasa

    Bob Marley alisema; Life is a lord with a lot of signs when you riding through the roots don't complicate your mind,free from hate mis-chief and jealous. Don't burry your thoughts put your vision to reality.
  13. Rasmi Bunge la Ulaya lapokea ushahidi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

    Kamati ya Bunge la Ulaya ya haki za binadamu imepokea ushahidi kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kikao maalum. Soma: Mke wa Lissu abubujikwa machozi akitoa taarifa Kamati ya Haki za Binadamu EU Ushahidi huo umetolewa na mke wa mwanasiasa wa upinzani Tundu...
  14. Maendeleo Tanzania itaishia kua ndoto tu

    Habari ya hasubuhi Ili Tanzania ipate maendeleo ya kweli kuna mambo yanatakiwa yafanyike.Mfano kipindi cha miaka tu tumekopa zaidi ya Trioni 54 lakini ukiangalia miradi ya utekelezaji unaona kama hazishabihani.Ushauri wangu ili tupate maendeleo ni ufuatao 1.Viongozi tunaowachagua tusichague...
  15. L

    Taifa Gani Limewahi kuendelea na Kuwa Tajiri Kwa Misaada na Fedha za Wahisani? Tanzania Hatutampigia Mtu Magoti na Kumbembeleza

    Ndugu zangu Watanzania Hakuna Taifa limewahi kuendelea ama kuwa Tajiri kwa kutegemea misaada na pesa za Wahisani. Hakuna Taifa linaweza kutoa pesa za walipa kodi wake ili likupe wewe uwe tajiri na wananchi wako wawe matajiri na kuishi Maisha ya kitajiri kupita Wananchi wake walipa kodi. Hakuna...
  16. Ukiunganisha uongozi wa Uganda wanacho kifanya ndio Tanzania wanacho kifanya

    Kuna kauli za Museveni na mwanae kama inavyoonekana Tanzania imeshakuwa mali yao bado kenya kwa mfumo wake wa utawala. Kitu kinacho nipa kufikiria zaidi embu mfatilie museveni na mfatilie samia kauli zake na matendo ya serikali .
  17. Machafuko (Xenophobic attacks) Afrika Kusini faida kwa Utalii Tanzania

    Tutumie faida ya machafuko huko South Africa kukuza utalii Tanzania. Ikibidi itumike mbinu mbinu kuwa-support viongozi wa maandamano March to March na Dudula ili pawake kila siku kuharibika huku tunajaza watalii
  18. H

    Dkt. Mwigulu: Chuo cha Sokoine Katavi kuwa cha mfano Tanzania

    DKT. MWIGULU: CHUO CHA SOKOINE KATAVI KUWA CHA MFANO TANZANIA Ujenzi wa Jengo la Taaluma la chuo cha SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Katavi wafikia zaidi ya Asilimia 90 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kikazi Mkoani Katavi ambapo alifanikiwa...
  19. Umasikini Tanzania unaletwa na hawa hawa CCM

    Kuna kipindi : Kwenye Episode ya 3 ya podcast ya Let's Impact Millions, Brother Eric (maarufu kama UBEPARI PC Co LTD) amefunguka simulizi nzito inayoumiza kichwa kuhusu mazungumzo aliyowahi kuwa nayo na mtoto wa waziri mmoja kuhusu mtazamo wa utajiri na mafanikio kwa wananchi wa kawaida. Licha...
  20. Tanzania, Ujerumani Wasaini Mkataba wa Bilioni 60.7 Kuboresha Huduma za Maji Tunduma na Vwawa-Mlowo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa msaada wa Euro milioni 20 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 60.7 kutoka Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) kwa ajili ya kufadhili mradi wa Uboreshaji wa Huduma za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…