UELEKEO NI TANZANIA, VIVA TANZANIA
Serikali ya Tanzania imezindua kampeni kubwa ya kimataifa ya "Destination Tanzania" katika miji inayohodhi Kombe la Dunia, ikiwemo Atlanta, Toronto, na Mexico City.
Malori makubwa yenye skrini za kidijitali yanazunguka kwenye barabara kuu za miji hiyo...