tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. IMF yaipatia Tanzania Dola Milioni 443.9 baada ya kukamilisha Tathimini ya Mwisho

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), limeidhinisha kutolewa mara moja kwa takriban dola za Marekani milioni 443.9 kwa Tanzania baada ya kukamilisha tathmini za mwisho chini ya programu za Extended Credit Facility (ECF) inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa...
  2. Hivi inawezekana Tanzania kuingia mikataba ya 'Visa-Free' na nchi zilizoendelea kama Japan? nini athari zake?

    Wana-JF salamu, Nimekuwa nikitafakari kuhusu diplomasia yetu ya kimataifa na nguvu ya pasipoti yetu. Swali langu kuu ni: Je, nchi mbili zinaweza kukubaliana kufuta kabisa masharti ya Visa (Bilateral Visa Waiver Agreement) ili wananchi wake watembee kwa uhuru? Kwa mfano, ikitokea Tanzania na...
  3. Tanzania iko mbioni kupata mkopo wa takribani TZS trilioni 1.165 kutoka Shirika la fedha duniani (IMF)

    Tanzania iko mbioni kupokea mkopo wa takriban shilingi trilioni 1.165 kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya shirika hilo kukamilisha tathmini ya mwisho ya utekelezaji wa programu za mageuzi ya kiuchumi nchini. Fedha hizo zitatolewa kupitia Mpango wa Mkopo...
  4. Wakati Wakulima wa Tanzania Wakilia Kuporomoka Kwa bei za Mahindi,Huko Uganda Watu 16 waripotiwa kufariki Kwa njaa kisa ukame.

    My Take Kama mahindi yamejaa kwenye maghala ya NFRA basi wapeleke Msaada Uganda harafu wanunue ku restock upya Ili kusaidia wakulima kabla hawajashindwa kulima mwakani. Usalama wa chakula unategemea incentives Kwa mkulima mdogo kuweza kuendelea kulima na hii inategemea bei ya mazao. Kwa Sasa...
  5. Tanzania kuna wakulima wanapiga pesa ila nahisi ni viongozi na wameblock wakulima wengine wasifanye.

    Kuna kipindi cha jamaa mmoja anaitwa sam chui mambo ya ndege. Alikwenda sudani kusini kuangalia huduma za safari za ndege na mashirika ya misaada. Kitu nilichoshtuka kuona nembo ya tanzania ya chakula nahisi ni nafaka sijui ni nafaka hipi. Nitaanza na ili nyuma kidogo,Wakati miaka ya nyuma...
  6. Mfumo wa Usalama wa Tanzania una kasoro na unatakiwa kugawanywa na kuboreshwa kwa sasa ni kama umekwama kabisa.

    Tuseme ukweli hii idara kama hakuna kitu imebaki kama ilivyounda tokea kupata uhuru. Ni kama idara iliyochakavu hakuna jipya wala mapya. Idara ya usalama imebeba mambo ya kizamani sana na mtindo wa kizamani kwa dunia ya sasa hakuna idara kama hizi. Leo mataifa yenye kulinda nchi idara ya...
  7. Serikali ya Tanzania ina wananchi wazuri kupenda nchi yao ila imefanywa kuwa nyumba za watu wachache kuwa nchi yao

    Sio kwa ubaya ila mada hapa JF zinaangiwa mpaka kuna wataalamu wa lugha wanajitokeza kutafuta kiswahili ni sahihi jambo linaro sema ukweli. Kuna mikoa ambayo inapatikana gesi na mpaka sasa wanajeshi wapo wamejazana. Leo pale dodoma kuna uranium ya kutosha mshapeleka urusi. Kuna makahaa ya...
  8. F

    Hii namna mpya ya kuandamana hapo hapo na kiongozi akiwepo jukwaani inaweza kuleta mapinduzi makubwa kwenye siasa za Tanzania

    Tumeona kwenye tamasha la bongo fleva Mlimani City jinsi ambavyo wahudhuriaji walivyokataa mambo wasiyoyataka. Tumeona naibu waziri wa utamaduni akizomewa kwa kutaka kuingiza siasa kwenye burudani. Pia tumeona hayo hayo yakimtokea Dully Sykes kwa kumtaja tu Makonda. Haya yanatufundisha nini...
  9. Kama ulikuwa hujui ni nani hapa Tanzania akiongea kitu hadanganyi wacha nikufahamishe - ni DUDUBAYA

    Kama ulikua hujui ni MTU GANI HAPA TANZANIA AKIONGEA KITU HADANGANYI wacha nikufahamishe;- Mtu ambae akisema kitu haongopi ni DUDUBAYA, Huenda ukabisha kuhusu hiki ninacho kisema, Kwasababu watu wengi humchukulia DUDUBAYA kama mvuta bhangi na mtu wa hovyo, Lakini ukweli ni kwamba...
  10. F

    Nani kati ya Samia na mfumo mfu anayetawala Tanzania?

    Alipoapishwa kuwa rais kutokana na ajali ya kufiwa mtangulizi wake, rais Samia aliahidi mambo mengi mazuri. Alimuita Tundu Lissu na kuongea naye mambo mazuri. Alianza kujitenganisha na utawala wake na Magufuli. Alianza kutofautiana na mfumo. Muda haukupita, mara Samia wa matumaini akaanza kuwa...
  11. Huu ndio uhalisia, hakuna rais atakae maliza matatizo ya Tanzania

    Salam. kumekua na matumaini kwa baadhi ya watu wengi kua siku nchi yetu ikipata kiongozi mwingine(hasa kutoka chama tofauti), matatizo ya tanzania yataisha. Ukweli ni kwamba, hakuna rais atakae maliza matatizo yote kwenye taifa, iwe hapa tanzania au kwengineko ulimwenguni. kwanza, baadhi ya...
  12. S

    Je, Tanzania inaweza kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola isipotekeleza mapendekezo yake?

    Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala. Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio. Swali ni je, kwa taratibu za Jumuiya ya Madola, kupuuza hayo maazimio kunatosha kuisimamisha Tanzania uanachama...
  13. Ipi imekuwa sababu ya ongezeko la ununuaji wa midoli ya maumbo ya ngono na buttplugs hapa Tanzania?

    Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo hatukuwahi kutarajia Watanzania tutaingiamo ila kwa bahati mbaya tayari tumo. Wanawake wanatumia hadi buttplugs zenye vibrator (ice breaker), vibrator device vya kutekenya (uke) na midoli ya mfano wa uume mkubwa. Sasa najiuliza ni kwamba watu hawaridhiki kingono...
  14. Kwanini Mainstream Media za Tanzania zimepuuza kuripoti suala la Anthony Mtaka kutangazwa Rais wa TOC na IOC/ANOCA?

    Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??… Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??. Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
  15. Tetesi: Rwanda inaweza kupewa AFCON na Tanzania ikasitishwa ndio maana nguvu imepungua

    Ni kama pigo ila naona nguvu za kuchezea pesa zinatumika kujisafisha. Kwa haya yaliyopo tanzania kama mambo yataendelea basi Rwanda kashasoma mchezo.
  16. M

    Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

    Wakuu, Nimeona niwaletee mrejesho na uchambuzi wa waraka muhimu sana ambao umetoka leo tarehe 10 Julai 2026 kutoka kwa Kundi la Mawaziri wa Jumuiya ya Madola linaloshughulikia Demokrasia na Haki za Binadamu (CMAG - Commonwealth Ministerial Action Group). Kikao chao cha 73 kimefanyika leo kwa...
  17. A

    HOJA Halotel itoe ufafanuzi kuhusu kuchelewa kwa malipo ya kamisheni ya Mawakala wa HaloPesa

    Mawakala wakuu wa mtandao wa Halotel Tanzania upande wa HaloPesa, tunaiomba kampuni itolee ufafanuzi kuhusu kucheleweshwa kwa malipo yetu ya kamisheni bila sababu za msingi. Awali tuliambiwa kuwa malipo yangefanyika baada ya kuwasilisha risiti za EFD kutoka TRA. Tumezifikisha risiti hizo tangu...
  18. R

    Profesa Elgidius Ichumbaki: Tanzania tumefika hapa tulipo kwa sababu tumekuwa wazito kutoa maoni

    Akizungumza wakati wa kufungua Jukwaa la Demokrasia Tanzania, leo Julai 09, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDASA, Profesa Ichumbaki ameeleza kuwa mkwamo uliopo Tanzania ni kwa sababu ya watu kuacha kutoa maoni.
  19. R

    Kitila Mkumbo wewe una mianya mingi ya kupata hela, hivyo lazima uone Tanzania hakuna shida yoyote

    Unaona vijisenti toka EU ni takataka kwa vile wewe you can afford anything on earth. Lakini kwa mwenye dialysis ambayo say ilikuwa inakuwa supplemented na EU funds katika afya analia na kusaga meno kukosa fedha hiyo ( nimetolea mfano dialysis , but this applies katika scenario nyingi za aina hiyo)
  20. H

    Balozi Kombo azungumza na Watumishi Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa

    Balozi Kombo azungumza na Watumishi Ubalozi wa Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kuzungumza na watumishi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Kombo aliwasihi watumishi hao kuendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…