tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Taifa kwanza wakati wa Tanzania kuweka utaifa juu ya tofauti zetu

    Utangulizi Katika kipindi ambacho dunia inapitia mabadiliko makubwa ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiusalama, kuna jambo moja ambalo linajidhihirisha wazi zaidi kuliko wakati mwingine wowote: mataifa ambayo yanaweza kusimama imara mbele ya changamoto kubwa ni yale ambayo wananchi wake wana...
  2. A

    Watanzania tusikubali kuchezeshwa kete ya ubaguzi

    Kuna silaha ambayo haihitaji bunduki, risasi wala mabomu ili kuligawa taifa. Silaha hiyo ni propaganda—hasa propaganda inayolenga kuwafanya wananchi waamini kwamba tofauti zao ni sababu ya kuchukiana. Watanzania tunapaswa kuwa makini.Mara nyingi propaganda ya mgawanyiko haiji kwa kusema wazi...
  3. K

    Meli ya Tanzania inawaka moto! Captain hajitambui! Wote tunaenda majini

    Captain wa meli yetu anasema yeye ndiyo captain! Sawa lakini angetakiwa kujikita kuokoa meli yeye bado anafukuza watu ndani ya meli na kulaumu abiria wakati moto unawaka kwenye meli na bila kuuzima wote watateketea
  4. Je, wajua Tanzania ina Makamu wawili wa Rais? Mmoja ni halali na mwingine ni batilifu hadi Septemba 4 ndipo anakuwa halali. Rais na VP Sio Wabunge!

    Wanabodi Je wajua kuwa hapa tunapozungumza, Tanzania tunao Makamu wawili wa rais?,kati ya hao wawili,mmoja ni halali hadi tarehe 4 September, na mwingine ni batili kwa ubatilifu hadi tarehe 4 September ndipo anakua halali! Kwa mujibu wa barua ya kujiuzulu ya Dkt. Nchimbi aliwasilisha barua...
  5. Nimeshuhudia masheikh wengi wakisema sasaivi haki haitakiwi ila amani ndio ya msingi

    Nimeshuhudia masheikh wengi wakisema sasaivi haki haitakiwi ila amani ndio ya msingi. Lakini quraan inasema uislam ndio dini ya haki. Je uislam unaongozwa na matakwa binafsi ya mtu au quraan?
  6. K

    Tanzania Ilipofikia Sasa Hata 'Banana Republic' Ina Nafuu

    Mshindi wa nafasi ya U-Raisi anapata kura asili mia 98, toka kwa waTanzania milioni 31 waliojitokeza kupiga kura. Sijui hiyo asili mia mbili ilipotelea wapi. Inawezekana ni kura zilizoharibika zilizomkosesha mshindi kupata asili mia kamili? Sasa tunaambiwa, huyu aliyepigiwa kura na wabunge yeye...
  7. Mtazamo wangu kuhusu uongozi wa Rais Samia na siasa za Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, uongozi wa Rais Samia una pande mbili tofauti sana: upande wa uchumi/maendeleo kuna mambo ya kupongeza, lakini upande wa demokrasia na siasa hasa baada ya uchaguzi wa 2025 kuna mambo mazito sana ya kuhoji. 1. Kwenye uchumi na maendeleo — kuna mafanikio Tanzania imeendelea...
  8. R

    Tanzania na Zanzibar na Maprofesa wetu

    Tumefika hapa. Na bado Haya twende kazi
  9. CCP ya China, ingekaliwa na watu wajinga wàjinga Vilaza, China ingekua kama Tanzania ya Leo !!.

    Unakuta Kuna Jamaa CCM akiongea, anasema 'Sisi tuko kama Wachina". Pumbafu kabisa, Hivi ukiitazama Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu yà CCM Kuna mwenye Akili pale? Mtu ambaye anaweza kuleta Maono yake na yakafanyika kweli??. Kamati imejaa watu mbumbumbu, Et Chatanda ?? Wasira, Samia, Kawaida... ...
  10. H

    KERO Wafanyakazi wa TFS wanawanyanyasa sana wafanyakazi wa mikataba

    Wafanyakazi wa TFS wanawanyanyasa sana wafanyakazi wa mikataba. Kwenye malipo ya madokezo, unakuta wanawasainisha kuwa watalipwa laki moja na nusu, lakini ukienda kusaini unapewa Sh20,000/= tu. Halafu unasaini jina na saini, huku kwenye kiwango cha pesa na idadi ya siku za kufanya kazi wakijaza...
  11. Vodacom Tanzania yagusa Maisha ya Wanafunzi Ihowanja wilayani Malinyi kwa kuboresha Mazingira ya Usomaji

    Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Chiha Nchimbi (kulia), akikabidhi dawati kwa Diwani wa Kata ya Kilosampepo, Boniventure Killian Mwanga (kushoto), dawati hilo ni mojawapo ya madawati 30 yaliyokabidhiwa katika Shule ya Msingi Ihowanja, Malinyi mkoani Morogoro, kupitia mpango wa...
  12. Kiongozi wa upinzani Zambia, Brian Mundubile kupitia mapito ya Tundu Lissu. Mbinu za Tanzania za Uhaini

    Brian Mundubile alilalamika kwamba Zambia wanatumia mbinu za Tanzania za kudidimiza upinzani, na Serikali ya Tanzania imepelekea watu kuhakisha hashindi na kuhakikisha wafanya mbinu chafu za kumuangamiza. Yaleyaye yaliyotokea kwa Tundu Lissu ndo yametokea kwake. Tanzania walitoa tamko la...
  13. Video ,Dada Anae trend Mitandaoni Kwa Kuichapa Lugha ya Malkia Vyema na Kuipaisha Tanzania Kwa Majibu Yale maskini.

    My Take Ameeleza Kwa kujiamini na Yuko smart 🔥🔥
  14. Ukitaka Upate Sonona au Pressure, Kuwa Mfuatiliaji Mzuri wa Siasa za Tanzania Is Not Productive Anymore

    Umofia ndugu zangu kutoka Bongo Land ! Binafsi ilifikia Time nikahisi Ubongo una- cease kwa ubishani ambao hauna faida kwa Mwananchi wa kawaida mfano, atasimama Waziri atasema hakuna kama Mama kaleta Maji na kajenga Shule nyingi Nchini. Swali baada ya kuleta maji watu wana uhakika na upatikanaji...
  15. Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

    Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
  16. Uhuru wa Habari Tanzania: Lisemwalo Lipo!, Baada ya Kilichosemwa Kutokea Kweli, Gazeti la Mwanahalisi Lipongezwe Kuibua Ukweli Fiche?, Lisamehewe au?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali kuhusu Uhuru wa Habari Tanzania, baada ya kutokea Lisemwalo Lipo!, kwa Kilichosemwa Kutokea Kweli, Je Gazeti la Mwanahalisi lipongezwe kuibua ukweli fiche?, lisamehewe au liendelee tuu kubananishwa?, kwasababu ni kweli habari yao hata kama ni kweli, lakini...
  17. Z

    Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ana umri wa miaka 42, Makamu mteule wa Tanzania Ndejembi ana miaka 43.

    Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa. Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais JD Vance ana umri wa miaka 42 kijana kabisa. Ndugu Ndejembi ni kiongozi makini, mwadilifu na...
  18. Usalama wa Taifa, JWTZ, na Jeshi la Polisi Tanzania Hivi mnatuonaje?

    Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda? Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya raia na uvunjifu mwingine wa amani hapa Tanganyika? Je, ni kwamba hamumjui, mmerogwa au...
  19. Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

    Kwa sasa China ndio nchi pekee inaongoza kuwa na teknolojia kali ya simu . wana brands nyingi ambazo wanatoa simu kali hata kuliko hizi zilizo zoeleka Tanzania. Na leo nitakutajia Aina 7 ya Simu ambazo wabongo wengi hawazijui kabisa na nyingine huuzwa kwa bei ghali zaidi kuliko Iphones . Je...
  20. F

    Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

    Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania. Ametoweka kuogopa kutekwa Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…