tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. EACOP: Bomba la mafuta la Afrika Mashariki

    Thamani: USD Bilioni 3.5+ | Urefu: Km 1,443 Kwa Tanzania ni fursa ya ajira, biashara, mapato, uwekezaji na kuimarisha nafasi yetu kama lango la nishati Afrika Mashariki.
  2. A

    Wanafunzi Law School of Tanzania wanaofanya mitihani watakaguliwa kama wana vifaa vya Kielektroni

    Wadau mnakumbuka lile andiko la kuhusu Chuo cha Sheria Tanzania (Law School of Tanzania) kulalamika kuwa uamuzi wa chuo hicho kutangaza kuwa wanafunzi wote wa Kundi la 42 pamoja na Kundi la 40 waliokuwa kwenye marudio (Supplementary) warudie tena mtihani wa Written Practical Assessment (WPA)...
  3. M

    DRC yathibitisha Tanzania kumkamata Mwanaharakati Denise Dusauchoy na kutoa shukrani

    Wizara ya Sheria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetoa taarifa rasmi ikithibitisha kukamatwa kwa Denise Dusauchoy nchini Tanzania tarehe 30 Agosti 2026 kupitia ushirikiano wa kisheria wa kimataifa. Muhtasari wa Taarifa Rasmi ya Wizara: Eneo na Tarehe: Mtuhumiwa alikamatwa tarehe...
  4. K

    Mnyika amedhihirisha kwamba uprofesa wa Tanzania ni takataka

    Kuna clip moja ilisambaa ikimuonyesha mtu aliyeitwa profesa wa Tanzania akihojiwa kwenye Tribunals za nje ambapo alikuwa anajibu maswali ya mawakili wa huko juu ya Tanzania Kuvunja mkataba na kampuni ya uwekezaji, profesa huyo alionekana akijibu ugoro in other words snuff ndipo nilipogundua kuwa...
  5. Jinsi ya kuanzisha na kufanikiwa katika biashara ya Vifungashio Tanzania

    Biashara ya vifungashio ni miongoni mwa fursa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania. Ukuaji wa viwanda vidogo na vya kati (SMEs), pamoja na ongezeko la wajasiriamali wanaozalisha vyakula, vinywaji, vipodozi na bidhaa za matumizi ya nyumbani, umeongeza kwa kiasi kikubwa mahitaji ya vifungashio bora...
  6. Unajua unaweza kuanzisha biashara ya unga wa Lishe kwa mtaji unaoweza kumudu?

    Mahitaji ya vyakula vyenye virutubisho yanaendelea kuongezeka, huku watu wengi wakitafuta bidhaa zinazoweza kuwasaidia kupata lishe bora. Hali hii inafanya biashara ya unga wa lishe kuwa fursa nzuri kwa mjasiriamali anayetaka kuanza kwa kiwango kidogo na kuikuza hatua kwa hatua. Hata hivyo...
  7. Jinsi ya kufanikiwa katika biashara ya kununua na kusafirisha mazao Tanzania

    Unaweza kununua mahindi, mpunga, maharage, karanga, alizeti, mihogo au mazao mengine kutoka maeneo yenye uzalishaji mkubwa na kuyapeleka kwenye masoko yenye uhitaji. Lakini bila mpango mzuri, biashara hii inaweza kukuletea hasara badala ya faida. Biashara ya kununua na kusafirisha mazao ni...
  8. JS Kabylie ya Algeria yatangaza kumsajili nyota wa Tanzania, Alphonce Mabula

    Nyota wa Tanzania Alphonce Mabula amejiunga rasmi na klabu ya JS Kabylie ya Algeria. Mabula awali alihusishwa na kujiunga na mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Young Africans SC (Yanga SC) katika dirisha kubwa la usajili, lakini hatimaye ameibukia JS Kabylie. Usajili huo unamuweka Mabula katika...
  9. Ni muda wa Tanzania kujenga small satellite launch pad

    Ukiangalia gharama za kutengeneza small satellite launch pad ina range kwa usd million 5 au 10 sawa na tsh billion 10 au 20 Kwa tsh billion 10 au 20 tunajenga multi pad satellite launch Faida za small satellite launch pad ni kama zifuatazo Itatumika kwenye scientific study kama weather...
  10. R

    Mnyika ni kiboko, ndiyo maana alikuwa Tanzania One! Soma alivyombabadua Katuga

    Katibu Mkuu wa Chadema anaendelea kutoa ushahidi wake. Mahakama imerejea muda huu saa tisa kasoro alasiri. Majaji wameingia tayari na Ajuaye Zengeli anasema wako tayari. Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika anapanda kizimbani. Anasimama KATUGA anasema atakuwa na maswali machache labda kama...
  11. M

    Uzalendo hauna vipande, Vijana wa Tanganyika wamepoteza uzalendo wa Muungano wamehamishia uzalendo kwenye Pesa na vyeo tofauti na Wazanzibari

    UZALENDO HAUNA VIPANDE Uzalendo ni kuipenda nchi yako hata pale ambapo hakuna cheo cha kupata, hakuna pesa ya kupewa na hakuna maslahi binafsi yanayokusubiri. Lakini uzalendo huu unaweza kuyeyuka haraka sana pale ambapo nchi yenyewe inaanza kugawanywa katika hisia, utambulisho na maslahi...
  12. Tanzania Kinara World Travel Awards 2026

    Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imetawazwa tena kuwa Bodi Bora ya Utalii Afrika kwa mwaka 2026 (Africa’s Leading Tourist Board 2026), na hivyo kuifanya kuwa mara ya tano mfululizo Tanzania kushinda tuzo hiyo katika World Travel Awards. Kwa ujumla, Tanzania imeibuka mshindi katika vipengele vitano...
  13. PostGE2025 Tanzania haihitaji lawama za upande mmoja — inahitaji ukweli, uwazi na uwajibikaji wa kila upande

    Kuna maswali ambayo lazima tuwaulize Serikali, upinzani, wanaharakati, wasomi na viongozi wa kiraia kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025. Kuna jambo moja nataka nilianze kwa kulisema wazi: Mimi sipingi maandamano. Ninaunga mkono haki ya wananchi kuandamana kwa amani. Maandamano ni sehemu ya...
  14. Hii miezi 18 ijayo inabeba hatma ya Tanzania!

    Amani ya Bwana iwe nanyi, Nakuja kwenu na tathmini yangu ya haraka haraka kuhusu mwenendo wa hali ya siasa wa Tanzania na inayoonekana kama hatma ya taifa hilo. Nikiangalia mwenendo wa mambo mbalimbali yanayoendelea ndani na nje ya nchi ya Tanzania, naona kwamba miezi 18 ijayo inaweza...
  15. M

    Kwanini Mfumo wa Kidemokrasia unaifaa zaidi Tanzania.

    Habari yenu ndugu zangu watanzania Kwa macho ya wengi kuanzia mwaka 2015 Tanzania taratibu ilianza kuibomoa misingi ya kidemokrasia na kujenga misingi ya utawala wa kiimla. Dalili za kuwa mtazamo huu ni wa kweli zinajionyesha kupitia 1. Chaguzi zisizo huru wala za haki, rejea uchaguzi mkuu wa...
  16. T

    Katiba ya Tanzania haimtambui rais kama binadamu wa kawaida inamuona ni 'mungu'

    Ndio maana sishangai rais kuipigia debe hii katiba maana inamfanya awe kiumbe wa daraja la juu kuliko viumbe vyote Tanzania. Yaani hawezi kushtakiwa akiwa rais au hata baada ya kustaafu haitajalisha amefanya maovu kiasi gani. Kwa maneno mengine rais wa Tanzania anaruhusiwa kuvunja katiba...
  17. Tanzania: New VP Ndejembi Takes Office Amidst Unity Hopes

    Retired From Politics, Former VP Offers to Serve as New Deputy Sweeps In With Widespread Support DODOMA, Tanzania Tanzania’s political landscape is shifting rapidly. After leaving office, former Vice President Dr. Emmanuel Nchimbi said he is willing to serve the government in other roles...
  18. Kenya Kununua Magunia Milioni 11 ya Mahindi kutoka Zambia Kwa bei Kubwa na Kuikacha Tanzania Yenye Mahindi Mengi ya Bei Chee.

    Kenya imeamua kui by pass Tanzania Kwa kuamua kununua mahindi takribani gunia Milioni 11 kutoka Zambia badala ya Tanzania huku ikoacha wakulima wa Tanzania wakihaha wasijue wapi watauzia mahindi Yao. Ikumbukwe Tanzania ni mzalishaji wa mahindi namba 2 Afrika ilizalisha zaidi ya Tani Milioni 12...
  19. Waziri mkuu wa Tanzania ni wa Tanganyika pekee au ana mamlaka hadi Zanzibar?

    Mbona huwa sijawahi kuwaonea wakina Majaliwa na Mwigulu wakienda kutoa maelekezo, maagizo na kufanya mikutano ya kutatua changamoto za wananchi Unguja au Pumba? Hii nafasi ya waziri mkuu wa Tanzania mamlaka yake yakoje katika nchi ?
  20. Kama Zanzibar ni nchi huru,Je Tanzania ina muungano na nchi gani? Rejea katiba ya Zanzibar.

    Hivi leo ACT wanaojiita Wajamaa na Wazalendo leo wanapigania Uzanzibar! kule Zanzibar,kwa nini wasipiganie na Utanganyika huku Tanganyika,ila wamekaa kimya kwa upande wa Tanganyika nao wanaiita Tanzania,sasa Tanzania kwa sasa ni muungano wa Tanganyika na nchi gani ? Montevideo Convention ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…