tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Orodha ya Magari ya Serikali na Binafsi Yanayotumia Namba za Usajili Zinazodaiwa Kuwa Si Halali Tanzania Bara.

    Karibuni!Tuyatambue kwa majina na maeneo yalipo! 1. Gari linalomuendesha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga,Kule Mkoani Kilimanjaro. ( Toyota Landcuiser Prado J250). 2. 3. 4. 5.
  2. Tanzania kwenye makazi na ardhi ni scam trade pro max

    Ukifika kanda ya ziwa au sehemu zenye madini ambayo unaweza kupata mpaka USD za mamilioni ni bei rahisi. Ila sehemu za makazi kama nyumba,real state,mijini na sehemu za kimkakati unaweza shangaa kuuziwa Bilioni wakati wameacha kinyesi au kaburi.
  3. Ni upi hasa mchango wa vyama vya vya siasa hususani vya upinzani katika ustawi wa demokrasia, utawala wa sheria na utawala bora Tanzania?

    Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kumekuwepo na mageuzi na mabadiliko mengi sana makubwa ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa. Kama mdau wa muhimu na wa heshima sana wa JF, unadhani ni upi mchango wa vyama vya siasa vya upinzani katika...
  4. Kilimo: Tanzania Yalenga Kuwa Ghala la Afrika Mashariki

    Tanzania inaendelea kuimarisha sekta ya kilimo kwa kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara, ikiwemo mbaazi, pamoja na kuendeleza ufugaji wa nyuki na matumizi ya Akili Mnemba (AI) katika kilimo. Hatua hizi zinalenga kuongeza tija kwa wakulima, kuboresha upatikanaji wa masoko, kuongeza...
  5. I

    Wakenya semeni ukweli sasa! Tanzania inawasaidia sana; Tanzania yaipiku Saudi Arabia kwa Wakenya nchini Tanzania wakituma KSh1.5 Bilioni nyumbani

    Tanzania imeipiku Saudi Arabia kwa mara ya kwanza kama chanzo cha fedha zinazotumwa Kenya na diaspora, huku Wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tanzania wakituma nyumbani shilingi bilioni 1.52 (pesa za Kenya) kwa mwezi Agosti 2026 tu. Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Kenya(CBK), Wakenya...
  6. ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ซ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—ฃ๐—ผ๐˜€๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐Ÿซก

    Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? ๐Ÿค” Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa โ€œUnder the Hoodโ€ ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
  7. Unadhani vyama vya upinzani Tanzania vinakosa nini hasa hata kutegemea na kuvizia matukio ili kua relevant katika medani ya kisiasa?

    Je, ni kwasababu Tanzania hakuna changamoto kubwa sasa ambazo zinaweza kua agenda kuu kwa vyama vya siasa hasa vya upinzani kuzisimamia? Au ni uwezo mdogo wa viongozi wa upinzani katika kupanga, kubuni na kuibua mipango na agenda zenye mashiko ili kuwafanya kua relevant all the time kwenye...
  8. Kutajwa kwa JWTZ kwenye Mzozo wa Mashariki mwa DRC โ€“ Je, Diplomasia yetu ya Kiulinzi inaiweka Tanzania kwenye Mtego wa Kijiografia?

    Nikiwa ninapitia mtandao wa X (zamani Twitter), nimekumbana na chapisho (tweet) la mwandishi wa habari Steve Wembi lililoniacha na maswali mengi sana kuliko majibu. Kama kuna jambo linalotakiwa kufuatiliwa kwa jicho la ziada na wadau wa usalama wa taifa na sera za kigeni hivi sasa, ni mtiririko...
  9. B

    UNGA 81: Masuala muhimu ambayo ujumbe wa kiongozi wa Tanzania na wenzie wa dunia watashughulikia katika Mkutano Mkuu wa UN 2026

    21 September 2026 Makao Makuu UN New York UNGA 81: Masuala muhimu ambayo ujumbe wa kiongozi wa Tanzania na viongozi wa dunia watashughulikia katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa 2026 Umakini wa dunia utaelekezwa New York wiki hii huku marais, mawaziri wakuu, wanadiplomasia na maafisa...
  10. Tanzania Women Research Foundation (TAWREF)Kuna ujumbevwenu hapa Jf.

    https://www.facebook.com/share/v/1DTR3iiNSL/
  11. Mfumo wa elimu Tanzania wafumuliwa.

    MABADILIKO MAPYA YA MITAALA YA ELIMU SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI NA VYUO 2025 MABORESHO YA MITAALA AMBAYO YANAENDA KUBADILISHA MFUMO WETU WA ELIMU: 1. Mtihani wa darasa la Saba utafutwa ifikapo 2027. 2. Mwanafunzi akianza darasa la kwanza lazima amalize Kidato cha nne. Hii itaitwa Elimu ya...
  12. CMAG Yamfariji Rais Samia, Yapigia Debe Ushirikiano Tanzania

    Jumuiya ya Madola kupitia Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) imetuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Amir Hassan. Katika kikao chake cha 74 kilichofanyika New York, CMAG ilifanya dakika moja ya...
  13. A significant diplomatic development for Tanzania. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

    The latest Commonwealth CMAG statement recognises Tanzaniaโ€™s productive engagement, cooperation with the Secretary Generalโ€™s Special Envoy, progress in key areas, political-party engagement and reconciliation efforts in Zanzibar. CMAG has opted for continued dialogue and engagement an important...
  14. Jumuiya ya Madola yaendelea kuibana Tanzania yataka hatua zaidi

    Kundi la Mawaziri wa Jumuiya ya Madola la Kuchukua Hatua (CMAG) limeamua kuendelea kuiweka Tanzania kwenye Ajenda Rasmi (Formal Agenda) ya kundi hilo, huku likitaka Serikali kuchukua hatua zaidi katika kuimarisha maridhiano, uhuru wa kiraia na kisiasa pamoja na uwajibikaji. Uamuzi huo umetolewa...
  15. Q

    Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
  16. Afrika hakuna nchi vyama vya upinzani vimeleta nafuu kwa wananchi vikifika Ikulu

    Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu. kiuchumi, siasa, na huduma za jamii. Huduma na maendeleo yetu yako chini relatively kulinganisha na...
  17. Hongera Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, ndugu Alhaj Adam Omari Kimbisa kwa kuzifanya wilaya zote za mkoa wa Dodoma kua ngome kuu za CCM Tanzania

    Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma. Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi. Katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa mwaka jana, wakati wa kuteu na kuthibitisha jina la...
  18. L

    Ushirikiano wa huduma za afya kati ya China na Tanzania wawaletea wagonjwa uchunguzi unaotumia akili bandia

    Katika chumba cha exray katika Hospitali ya Lumumba Unguja, Zanzibar, mabadiliko ya kiteknolojia yanabadilisha namna madaktari wanavyochunguza magonjwa, kufanya maamuzi, na kuokoa maisha. Katika kisiwa hicho, mifumo ya akili bandia (AI) inawasaidia madaktari kutafsiri picha za exray, huku...
  19. Nandy the African princess mwanamuziki wa kike Tanzania anayeweza kuimba live akaeleweka

    nampa maua yake bila tone la wivu wala kijiba cha roho, huyu binti (mdada) kiukweli anaimba vizuri kiasi chake na ana nyimbo za kuimba kwenye events watu wakaburudika. Na shape kaichonga imeikala bien ๐Ÿ˜ Kikubwa kaimba vizuri kwenye miss universe grand finale
  20. Hali ya ulinzi na usalama Tanzania ni nzuri na ya uhakika zaidi kuliko nchini nyingine yoyote katika eneo la maziwa makuu.

    Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama. Lakini pia uhakika wa usalama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ