tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Rasimu ya Muswada wa Sheria ya Kulinda "Mafundisho ya Taifa Kuhusu Jamii" ya Watanzania

    Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi, akiongoza KIkao cha Baraza la Mawaziri =================================================================== JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS – TUME YA MIPANGO Kumb. Na: CEA.50/212/01/A 25 Septemba, 2026 Katibu Mkuu Kiongozi...
  2. Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  3. UNGA meeting Kenya speech Vs Tanzania speech!

    Wakenya! Mungu awabariki kwa kuandaa viongozi
  4. K

    Hizi ndio Taasisi zinazoongoza kwa wafanyakazi kuwa na maringo na masifa hapa Tanzania

    1.TRA 2.NSSF 3.PSSSF 4.BOT 5.UDSM 6.DAWASA 7.TANESCO 8.MUHIMBILI HOSPITAL 9.IKULU 10.CRDB BANK 11.TISS 12.Police 13.PSRS 14.NHIF 15.CCM 16.NIDA 17.Wasafi media 18.clouds media Staff wa hizo taasisi huwa wanajiona kama wanafanya kazi mbinguni vile yani.
  5. Tanzania na uhuru wa Palestine inatusaidia nini !

    Heshima sana wanajamvi, Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine. Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika. Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu...
  6. L

    Video: Msanii Mkubwa Wa Marekani Na Dunia Rick Ross Ampongeza Rais Samia Kwa Kuiweka Tanzania Katika Ramani ya Dunia. Kutua Nchini Muda wowote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu . Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
  7. Mnyama aliyeishi miaka milioni 240 iliyopita agundulika Tanzania

    NB: Translation ya baadhi ya maneno ya Kiswahili yaliyotumika Dinosaria- Dinasours 🦕 Visukuku- Fossils 🦴 Wanasayansi wamegundua spishi mpya ya mnyama wa kale aliyeishi takribani miaka milioni 240 iliyopita. Kiumbe huyo aliyekula mimea, aliyepewa jina la Dinodontosaurus isiyavamanda...
  8. H

    Tanzania na Rwanda zazungumzia kuimarisha ushirikiano

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Rwanda, Mhe. Olivier Nduhungirehe, pembezoni mwa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, jijini New York...
  9. Mkakati Mpana Afya ya Mifugo Tanzania

    “Kwa sasa, mkakati wetu hauishii katika utoaji wa chanjo pekee. Tunaimarisha mifumo ya utambuzi na ufuatiliaji wa mifugo, ufuatiliaji wa magonjwa, uchunguzi wa magonjwa katika maabara, pamoja na huduma za mifugo. Kwa maana nyingine, tunawekeza katika kujenga na kuimarisha mifumo madhubuti...
  10. Tanzania Yaomba Kiti Baraza la Usalama UN 2029-2030

    Tanzania imetangaza azma ya kuwania nafasi ya uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha 2029–2030. Akizungumza wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mjadala wa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la...
  11. Tanzania yatanzania yatoa wito wa amani Gaza, yasisitiza suluhisho la nchi mbili na haki ya wapalestina kujitawala

    Tanzania imetoa wito wa kulindwa kwa raia, kuruhusiwa kwa msaada wa kibinadamu bila vikwazo na kuhuishwa kwa diplomasia yenye lengo la kupata amani ya kudumu katika ukanda wa Gaza na Mashariki ya Kati. Akihutubia Kikao cha 81 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Septemba 22, 2026, Makamu wa Rais...
  12. Sekta ya kahawa Tanzania yaimarisha utayari wa kuzingatia kanuni ya EUDR

    Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), kwa kushirikiana na Taasisi ya Misitu ya Ulaya (EFI) na kampuni ya sheria ya NexLaw Advocates mapema aeptemba 15 mwaka huu iliandaa warsha ya pili ya wadau. Warsha hiyo ilikuwa sehemu ya jitihada zinazoendelea za kuimarisha utayari wa sekta ya kahawa nchini...
  13. Tanzania yapiga hatua kupunguza vifo vya mama na mtoto, kuwania kiti Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN), yasukuma mbele ajenda ya Afrika

    👉Tanzania imetangaza azma yake ya kuwania nafasi ya uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha 2029–2030, huku ikiahidi kupeleka katika chombo hicho sauti imara ya Afrika na kusukuma mbele diplomasia ya kuzuia migogoro, utatuzi wa migogoro kwa njia za...
  14. Nchi 22 za Afrika zakutana Tanzania kubadilishana uzoefu wa Mtaala unaozingatia umahiri – Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema nchi 22 za Afrika zimekutana nchini katika Mkutano wa Sita wa Jumuiya ya Taasisi za Mitaala Afrika kwa ajili ya kubadilishana uzoefu kuhusu namna mabadiliko ya mitaala...
  15. Tanzania calls for strengthened international cooperation

    Tanzania has called for stronger United Nations and international cooperation to address global challenges, including conflicts, climate change, insecurity, and development challenges. The country also underscored the importance of restoring confidence in the United Nations and strengthening...
  16. 7 days Ndutu Serengeti migration safari package in Tanzania

    7 days Ndutu Serengeti migration safari package in Tanzania A 7-day Ndutu and Serengeti migration safari in Tanzania typically costs between $2,100 and $5,500+ USD per person, depending on whether you choose budget camping, mid-range tented camps, or luxury lodges. The safari combines...
  17. Tanzania yatangaza rasmi kugombea kiti cha Baraza la Usalama la UN kwa kipindi cha 2029–2030

    Tanzania imetangaza rasmi azma yake ya kugombea kiti kisicho cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kwa kipindi cha mwaka 2029–2030, huku ikiahidi kuendeleza mchango wake katika juhudi za kulinda amani na usalama wa kimataifa. Akizungumza katika Mjadala Mkuu wa Kikao cha...
  18. Kilimo na Biashara: Kipi kinalipa kwa siasa za Tanzania!

    Maisha ni sias and vice versa. Je, kwa kijana aliyetoka chuo na kupata uridhi wa milioni 5 kwa wazazi wake, aingize kwenye kilimo au biashara? ROBERT: Amehitimu UDSM kitengo cha Sheria, akaingiza milioni 5 kwenye kununua mahindi Songwe ili asafirishe Malawi, kufika mpakani kakuta hakuna kibali...
  19. Elimu ya tanzania hipo siku lawama zitakuwa nyingi hapa JF na kwengine.

    Elimu ya tanzania imeshakuwa ya ovyo kuanzia kanumba mpaka binafsi. Embu kaguweni madaftari ya watoto husasani hawa wa primary. Mtoto anasoma private nimekagua daftari nakuta kapewa tiki swali ambao kakosa. Haya Je kwenye matokeo kila mzazi anaambiwa mtoto wake kawa wapili au wa kwanza...
  20. Motorola imerudi kwa nguvu Samsung ajipange Aisee!

    Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026🔥🔥. Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani 🇺🇸 ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. 👀🔥 Kwa ufupi tu kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…