tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Vipi Kama Tanzania Ingejiendesha Kwa Mfumo wa Majimbo?

    Wasalaam, Nimewaza jambo moja, Je Tanzania inaweza kujifunza kutoka kwenye mfumo wa majimbo wa nchi kama Marekani (federalism), na kuutengeneza kwa mazingira yetu? Sisema tuige Marekani 100%. Lakini kuna principle moja ambayo nadhani inaweza kutumika. Mamlaka zaidi, rasilimali zaidi na...
  2. M

    Tanzania yaadhimisha miaka 3 tangu shambulio la Hamas nchini Israel, lililosababisha vifo 1,200, wakiwemo watanzania Joshua Mollel na Clemence Mtenga

    Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
  3. A

    Uamuzi wa Kesi ya Said Issa na wenzake dhidi ya CHADEMA hadi Oktoba 22, 2026

    Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
  4. Katiba na Sheria za Nchi hii zikibadilishwa/kufanyiwa mabadiliko msitegemee familia za wana ccm kua Tanzania.

    Kama na wewe hua ni wale wanaosema kua lema kaficha familia yake Canada, mara watoto wa Lissu wapo Marekani... Unataka kuandamana utakufa wenzio familia zao zipo nje. Sikia nikwambie siku sheria zikifanyiwa mabadiliko, katiba ikawa na nguvu kiongozi mkuu wa nchi akaweza kushitakiwa, na mihili...
  5. Dunia inaomba marais wote wangekuwa wanawake, Tanzania tumeitangulia dunia

    Wanaume wamezidi ubabe, hawakubali kujishusha kwa maslahi ya wote, tabia ambayo inailetea hasara dunia yote. Wanaume hawaamini kama unaweza kumkosoa, kumuelekeza, kumfukuza au kumuagiza mtu bila kufokafoka kwanza. Wanaume hawaamini kama unaweza kufanya jambo zuri la maendeleo bila mbwembwe...
  6. Nenda Wicknell Chivayo, mpaka sasa raia hatujui ulikuwa umewekeza nini Tanzania

    Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekezaji na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana. Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa...
  7. O

    # 💰 Bei ya Gari Sio Gharama Yote ya Kulifikisha Barabarani Tanzania

    Habari Umeona gari Japan kwa TZS 25 milioni na ukaamua kulinunua? Subiri kidogo. 🚨 Kabla hujafanya uamuzi, unahitaji kufahamu kwamba bei ya gari na gharama ya mwisho ya kulifikisha barabarani Tanzania ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa na gharama kama: 🚗 Bei ya gari 🚢 Shipping 📑 Customs...
  8. Kwa jinsi CCM inavyopeleka nchi ovyo ni rahisi ISS,al Qaeda ,M23 na makundi mengine kutumia mwanya huu kwa tanzania.

    Chizi hakiwa sio ndugu yako unaweza kufurahi. Mwenendo wa CCM na genge lake kupitia serikali imejitengenezea mwanywa au nyufa kubwa na rahisi kwa makundi ambayo utumia mwanya huu pale serikali zilizo kosa dira na giza mbele. Kumbuka haya makundi kama ISS ,al Qaeda ujitokeza sehemu ambapo...
  9. F

    Kanda ya Kaskazini ndio yenye Mabilionea wengi Watanzania wenye utajiri zaidi ya bilioni 100+

    Wafanyabiashara wenye utajiri mkubwa Kanda ya Kaskazini Familia ya Mengi IPP Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 200 Ridhuan Mringo Derm Group Mwanga Hakika Bank Utajiri: Zaidi ya USD milioni 100 Silvestery Koka SF Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 80 Ernest Massawe Erncon Holding Tol...
  10. Pitio la kitabu cha Mohamed Kassim: Maisha yangu na harakati za kiislamu Tanzania

    https://youtu.be/9mqRODTBwJA?si=qKZJ3qQZPDGI3hpe
  11. K

    Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake, Kabudi, Chenge, Jadi Chade

    Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
  12. Spika wa Bunge la Uingereza aipongeza Tanzania

    Kumekucha: Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle ameipongeza Tanzania kwa mchango wake katika diplomasia ya kibunge pamoja na juhudi za kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na ushirikiano wa Kimataifa. Akizungumza katika mahojiano maalum pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa...
  13. M

    Mhe Nyansaho Aongoza Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji

    Tanzania na Msumbiji Kuimarisha Usalama wa Mpaka na Maslahi ya Kimkakati ya Ukanda Na GULATONE MASIGA Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji, uliofanyika Dar es Salaam tarehe 4–7 Oktoba 2026, una umuhimu unaozidi masuala ya...
  14. K

    NDOTO ILIYOYEYUKA: Shuhuda wa Mapinduzi ya Fikra, Usaliti na Hatari ya Vyama Utitiri Tanzania

    Mwishoni mwa miaka ya 1980 na mapema miaka ya 1990, nikiwa bado kijana mdogo na mwanafunzi, nilitawaliwa na shauku kubwa ya mabadiliko. Tulikuwa kizazi kilichochoshwa na ukiritimba wa mawazo ya chama kimoja. Hewa ya Dar es Salaam nyakati zile ilikuwa imejaa harufu ya mapinduzi ya fikra—mageuzi...
  15. Mahakama ya Rufani imetupilia mbali shuauri la Madai kati ya Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kuna shauri la kikatiba alifungua Zitto Zuberi kabwe akipinga kuondolewa kwa Professor Asad katika nafasi yake ya CAG. Mahakama ya Rufani iliyokaa na Majaji watano (5) likiongozwa na Jaji wa Mahakama ya Rufani waheshimiwa Barke Mbaraka Aboud Sehel, Dr. Gerald Anthony Mwandambo, Dr. Mary...
  16. A

    KERO Naomba ZOLA Tanzania ifuatilie akaunti yangu, kutatua changamoto na kunipatia taarifa sahihi

    Mnamo mwaka 2016, nilinunua mtambo kutoka kwa mtu aliyekuwa akiishi Arusha, huku mimi nikiishi Mbeya. Mtambo huo ulikuwa na thamani isiyozidi Sh500,000. Baada ya kuupokea, nililipa fedha zilizokuwa zinadaiwa na mteja wa awali, ambaye ndiye aliyekuwa mmiliki wa kwanza wa mtambo huo. Baada ya...
  17. R

    Maandamano ya wanafunzi Ufaransa: Kama ingelikuwa hapa polisi wangelikwisha UA over a million students!

    Mwanafunzi Mmoja tu ndiye kapoteza mkono. Hakuna maiti hata moja ie hakuna aliyepotea maisha... Hapa kwetu zaidi ya milioni wangelikuwa maiti!
  18. Ujerumani, Tanzania wazindua Kituo cha Taarifa cha Serengeti

    SERENGETI. Tanzania na Ujerumani leo wamezindua rasmi Kituo kipya cha Taarifa cha Serengeti baada ya kukarabatiwa, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo katika uhifadhi wa bayoanuwai, utalii endelevu na maendeleo ya jamii zinazozunguka Hifadhi ya Taifa ya...
  19. Sir Sindsay Hoyle: Tanzania ni Mshirika muhimu sana

    Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle, amesema Tanzania ni mshirika muhimu katika kukuza uchumi na biashara, akisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Uingereza. Sir Lindsay amesema hayo katika mahojiano yaliyofanyika pembezoni mwa Mkutano...
  20. O

    Gari lako likifika Bandarini Tanzania, nini hufuata?

    Watu wengi wanafikiri kwamba baada ya gari kufika bandarini, kinachobaki ni kwenda kulichukua. Ukweli ni kwamba kuna hatua mbalimbali zinazopaswa kukamilishwa kabla gari halijaweza kutoka bandarini. Kwa ujumla, mchakato unaweza kueleweka kwa hatua hizi: 1️⃣ Gari linawasili bandarini 2️⃣...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…