tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Wapinzani wa Nje: Acheni Tabia Mbaya ya Kuingilia Mambo ya Ndani ya Tanzania

    Rashda naandika Katika siku za hivi karibuni, suala la wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania limezua gumzo. Mwanasiasa mashuhuri kutoka Kenya, Martha Karua, pamoja na wenzake, walijaribu kuhudhuria kesi ya kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu. Lakini...
  2. M

    Not in my country: Wasituharibie kwetu! President Suluhu warns against foreign activists interference in Tanzania

    Now, 2025! Tanzania's President Samia Suluhu has defended the recent deportation of some high-profile Kenyan nationals, accusing unnamed foreign activists of attempting to destabilise the country's internal affairs asserting "Tanzania won't tolerate foreign interference. She pointed to a...
  3. D

    Mawakili wa Tanzania mlikosea sana kumuweka Mwanasiasa kuongoza chama chenu Cha Wanasheria

    TLS haikuchagua Rais mwanasheria kwa maslahi ya wanasheria na kada ya Sheria, Bali walimchagua Mwanasiasa kwenda kupigania maslahi ya siasa kupitia TLS Leo hii tunapoongea mawakili wengi nchini wana shida kibao. Wapo mawakili wengi tu haswa wanaoanza wanaohitaji kusaidiwa zaidi kusimama kikazi...
  4. Tanzania tujifunze kwa Finland kuhusu haki Sawa na Maisha ya Kazi, Serikali inalipa posho ya uzazi hadi mtoto akitimiza umri wa mwaka mmoja

    Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani. Mfumo...
  5. W

    Tanzania kushiriki Jukwaa la Uongezaji thamani madini Uingereza

    Leo tarehe 19 Mei, 2025 Ujumbe wa Tanzania kutoka Wizara ya Madini, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kushiriki Jukwaa la Uwekezaji kwa Sekta ya Madini lililobeba agenda ya Uongezaji Thamani Madini (Minerals...
  6. Nchi za Kiarabu zitusaidie Kutujengea Misikiti Mikubwa na Madrasa huku Tanzania

    Huu ndo wito wangu kwa nchi za Kiarabu. Watusaidie sisi waumini wao na ndugu zao kutujengea Misikiti Mikubwa kila Wilaya na Tarafa. Pia watujengee na Madrasa nyingi za kutosha tuwafundishe watoto kushika Dini yao. Kila baada ya angalau kilometre 2 kuwe na Msikiti na Madrasa. Hii itasaidia sana...
  7. Kamati ya Bunge Ulinzi na Usalama haina budi kujadili mwenendo wa Kenya katika siasa za Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya# hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina. mfano: 1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya. 2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
  8. Wanaharakati wa Kenya Msifanye Siasa Tanzania

    Mimi kama stroke. Nawaeleza tu kwa sauti ya upole wanaharakati wa Kenya. Hakuna mahali penye ufisadi, mauaji, wizi wa kila namna kama Kenya. Sioni Justification yeyote ya nyie kuja Kulia lia hapa Tanzania. Sasa nawaambia hivi?? Malizaneni kwanza nyie kabla ya kuja kwetu kutuletea harufu zenu.
  9. KTN News: Martha Karua aeleza kwa undani sababu za kuzuiliwa kuingia Tanzania akiwa Airport na kisha kuwa "deported" kurudi Kenya

    https://youtu.be/5HU2fES7Es0?si=ZkHkhXfQQh61TLt3 Mahojiano yamefanyika Kwa lugha ya Kiingereza.. Kwa ufupi sana Martha Karua anasema: • Tulitoka Kenya na wenzangu kwenda DSM Tanzania ili kufuatilia kesi ya Tundu Lissu... • Tulipofika Airport DSM, tulikuwa detained hapo hapo Airport. Hatukuwa...
  10. Ntahakikisha thamani ya fedha ya Tanzania inakua chini na dhaifu

    Kama mtu mwenye nia ya kuwa Rais wa Tanzania na muumini wa uchumi wa viwanda ni vizuri thaman ya fedha ya Tanzania kuwa chini sana ili ipunguze gharama za uzalishaji viwandani
  11. W

    Kenya yajifunza uchimbaji na biashara ya Makaa ya Mawe Tanzania

    Tanzania imeendelea kuwa kinara katika usimamizi na uendelezaji wa Sekta ya Madini katika eneo la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, hali iliyoivutia nchi jirani ya Kenya kuja kujifunza mbinu bora za uchimbaji wa makaa ya mawe. Ujumbe kutoka Wizara ya Nishati na Petroli ya Kenya, Mamlaka ya...
  12. Majaji Wakuu Wastaafu wa Kenya kuja Tanzania kwenye Kesi ya Lissu, Prof Juma aelewe kwanini Majaji wenzake walikataa aiongoze Mahakama

    Kwenye wiki ya Sheria Rais Samia alisema hatamuongezea tena muda Jaji Profesa Ibrahim Juma maana hataki tena kugombana na kuwakwaza Majaji wa Mahakama ya Rufaa. Jaji Profesa Ibrahim Juma atakumbukwa nchini Tanzania kama Jaji Mkuu wa hovyo kuwahi kutokea nchini baada ya Mohamed Chande...
  13. Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    1/ Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina: Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi? 2/ Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa...
  14. Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    1/ Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina: Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi? 2/ Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa...
  15. Orodha ya makabila yenye lafudhi mbaya hapa Tanzania.

    1.Wachaga 2.Wakurya 3.wasukuma 4.Wamasai 5.Wanyakyusa 6.wahaya 7.Wajita 8.wasambaa 9.wapare 10.waha
  16. Tanzania Army Cyber Command

    Moja ya mambo ambayo ntaanzisha ni Tanzania army cyber command na itakua na kazi zifuatazo Kufacilitate cloud migration ya data zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali Kuzilinda taaarifa zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali Kulinda critical infrastructure mfano za umeme...
  17. Dkt. Mollel: Tanzania tuna teknolojia inayoweza kuangalia Saratani inayoweza kujitokeza miaka 10 ijayo mwilini

    Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Sekta ya Afya imepiga hatua kubwa nchini kutokana na maendeleo mbalimbali yaliyofanyika kutokana na uwekezaji uliofanywa na Serikali. Dkt. Godwin Mollel amesema Shilingi Trilioni 6.7 zilizotolewa na Serikali...
  18. Ikulu WIki Hii: Muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan katika wiki hii

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
  19. Kenya inapaswa kuiwekea vikwazo mamlaka za Tanzania kutoingia nchini humo ili kushinikiza haki za kusafiri za wakenya nchini zinafatwa

    Kenya inapaswa kuiwekea vikwazo mamlaka za Tanzania kutoingia nchini humo ili kushinikiza haki za kusafiri za wakenya nchini zinafatwa. Kuna idadi kubwa sana ya wakenya wamezuiliwa kuingia nchini kwa sababu zisizo za kisheria ikiwemo viongozi wa juu kwa kenya hili haikubaliki hata kidogo.
  20. CEO JKT Tanzania ameiabisha taasisi ya umma kwa uchawi michezoni, hafai

    Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani ya taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale. JKT Tanzania wameonesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…