tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Twendeni kwenye page za FIFA na CAF tukaishataki Tanzania kuingiza siasa kwenye mpira ifungiwe Ili taifa likombolewe

    Katika kitu ambacho tunatakiwa kukifanya mwaka huu ni kuishitaki tanzania kuingiza siasa kwenye simba na yanga Ili nchi ifungiwe kwama Kenya ilivyofungiwa sasa twendeni Kwa wingi wetu tukacoment Ili nchi ifungiwe kujihusisha na soka nafikiri itaondoa uzombi wa watanzania sababu picha za mkuu wa...
  2. B

    Tetesi: FIFA kuifungia Tanzania kufutia saga la mechi ya Simba na Yanga

    Baada ya Mh Rais kuingiila utendaji wa TFF jambo lilopelekea baadhi ya viongozi wa bodi ya ligi kujiuzuru na wengine kufukuzwa sasa tusubiri kifungo kutoka FIFA Si https://www.youtube.com/watch?v=dfKDTNeySwU
  3. Baada ya huu upuuzi wa Sisiemu kuingilia mpira wa Tanzania Rasmi nimeamua kuachana na mambo ya mpira wa simba na yanga

    Kwanza nikiri wazi mimi nilikua mpenzi, mwanachama na shabiki wa Simba sports Club.. Ila baada ya kumuona Mangungu ikulu na Kiongozi wa Sisiemu. Na kupewa maagizo na kutoka akiwa anachekelea na mwenzake Dalali.. Mimi kama kijana naamua Rasmi kuanzia tarehe ya leo kufanya bidii katika biashara...
  4. C

    Hakuna upuuzi kama wa Simba kukubali kucheza kwa amri ya serikali,labda watwambie soka Tanzania ni mchezo wa kuigiza

    Ningekuwa kiongozi wa Simba,nisingekubali kupeleka timu uwanjani labda kama tunasingizia swala la kuonewa. Na kama viongozi wa Simba wanatumia propaganda kwamba eti tunaonewa na ukweli ni kwamba hatuonewi,basi hawafai kuwepo katika nafasi zao. Pale Kirumba tuliona kilichotokea hadi polisi kuja...
  5. W

    Trump anaweza kutoa mkeka wa Nchi 36 zitakazopigwa marufuku kuingia Marekani, Tanzania yadaiwa kuwepo

    Trump Kufikiria Kuongeza Nchi 36 Katika Orodha ya Marufuku ya Kusafiri, Ikiwemo Nchi za Afrika na Karibiani – Ripoti Utawala wa Donald Trump unafikiria kuweka vikwazo vya usafiri kwa nchi nyingine 36, kulingana na waraka uliosainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ambao...
  6. Olengurumwa ashinda rufaa dhidi ya Serikali. Vifungu vilivyowabana wananchi kufungua kesi zenye maslahi ya umma na kumshtaki Rais vyafutwa!

    Wakuu, Kwa wale wapenda demokrasia na utawala wa sheria leo itakuwa siku nzuri sana kwao =========== Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imeamua kufuta vifungu vya sheria vilivyokuwa vinazuia watu kufungua kesi zilizobeba maslahi ya umma. Uamuzi huo umetolewa katika kesi Rufaa Na. 134 ya mwaka...
  7. PreGE2025 Sheikh Ponda: Viongozi wa Dini ndio waasisi wa siasa na ubunifu wa fikra za kupigania uhuru Tanzania. Sitoacha kufanya siasa

    Sheikh Ponda akizungumza na wananchi mkoa wa Temeke katika mkutano wa ACT Wazalendo amesema kuwa Viongozi wa dini kushiriki siasa linatafsiriwa kama jambo geni kwa sasa, lakini kiuhalisia siyo geni. Katika Historia ya nchi yetu, chama cha kupigania uhuru kimeanza 1929 cha Africa Association...
  8. L

    Hii Ndio Picha Ya Siku iliyopatikana Mkoani Dodoma iliyovutia na kugusa hisia za Wengi katika Anga la Siasa za Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kila siku hukucha na mambo yake ,kila siku hutawaliwa na matukio yake ,kila jua lichomozapo huchomoza na mambo yake na kuzama na mambo yake. kila siku uchao kuna mambo huteka na kuwa makubwa kuliko siku yenyewe. Sasa katika siku ya leo kuna picha ya siku imepatikana...
  9. Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini kuliko iran,

    Uchambuzi Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini zaidi kuliko iran, lakini iran ni nchi yenye jeshi imara lenye uwezo wa kutengeneza mabomu ikiwemo nuclear japo kwa sasa haina silaha hiyo kwa sasa hivyo inajeshi lenye uwezo wa juu kuliko Tanzania na afrika kwa ujumla. lakini iran ni...
  10. Unafikiri hii itakua Tanzania ya mwaka gani 😅👇

    Picha kwa hisani
  11. Ndege zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzania na zitakuwa na sifa za upekee

    Nikiwa Rais wa Tanzania ndege zitatengenezwa hapa nchini Zifuatazo ni sifa za ndege zitakazotengenezewa Tanzania;- Zitakuwa zinatumia motor kama engine Motor hizi ni za kipekee sana zinltakuwa na utofauti na motor zinazotumiwa na magari au rockets Battery zitakuwa na uwezo wa kurecharge huku...
  12. Nina mashaka makubwa na Ubora wa Barabara zinazojengwa Dodoma na Tanzania kwa Ujumla. Kuna harufu kubwa ya Rushwa na Kutojali

    Kwa mujibu wa Ma engineer wazuri wa ujenzi wa barabara duniani, barabara bora yenye viwango vya uhakika inayoweza kudumu kwa muda mrefu inapaswa kujengwa kwa viwango hivi; Kinachonipa hofu ni namna ujenzi wa barabara zetu nchi nzima unavyofanyika. Nyingi hazijengwi kwa ubora huu na ndo mana...
  13. Kulikoni baadhi ya nchi zimechukia kusikia uchumi wa Tanzania unaimarika vizuri sana na inajitegemea kugharamia uchaguzi wake mkuu kwa asilimia 100%?

    Kwani kipi cha ajabu hapo? Au walidhani dhamira njema na jitihada madhubuti za makusudi za kiuchumi za Dr.Samia Suluhu Hassan ilikua mzaha? Huu ni mwanzo tu. mwaka ujao wa fedha, bajeti ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan na Makamu wake Dr.Emmanuel Nchimbi...
  14. F

    Tanzania yatajwa nchi ya kwanza Kusini mwa Afrika na ya nne duniani kwa kuporomoka kwa viwango vya uhuru

    Tanzania imeendelea kufanya vibaya kwenye masuala ya haki na uhuru wa kujieleza ikirudi nyuma kuoka point 35 mwaka 2014 hadi point-38 mwaka 2024. Katika muongo uliopita, uhuru umepungua kwa kasi katika nchi nyingi duniani. Viongozi wa kiimla wamepanua mamlaka yao kwa kubadili katiba...
  15. Logoriddim: Naomba Kura Zenu: Shindano la Made in Tanzania Brand

    ‎Mimi Logoriddim (JF - expert member since 2013, nimefanikiwa kufika katika 3 bora ya shindano la kutafuta nembo ya brand ya MADE IN TANZANIA. Shindano hili limeandaliwa na TanTrade. ‎ ‎Shindano limefikia hatua ya kupigiwa kura ili kupata nembo bora zaidi. Kura inapigwa katika app ya Instagram...
  16. VPN 3 Bora za Kutumia Twitter na Telegram Tanzania (2025)

    Katika kipindi ambacho baadhi ya mitandao kama Twitter na Telegram hupata vikwazo vya upatikanaji nchini Tanzania, kutumia VPN (Virtual Private Network) ni suluhisho la haraka, rahisi na salama. VPN huficha anwani yako ya mtandao (IP address) na kukupa uhuru wa kutumia mtandao kama uko nchi...
  17. Kwanini Mtandao wa MTN haupo Tanzania?

    Wakuu, Je kuna sababu gani za Msingi za MTN kutokuwepo Tanzania MTN ni mtandao mkubwa zaidi wa Mawasiliano kwa Africa na Origin yake ni South Africa yeye ndio leading kwa Africa akifatiwa na Vodafone group halafu Airtel Kwa East africa MTN yupo Rwanda na Uganda ila Kenya hayupo ila mtandao wa...
  18. Karibu Mahakama ya Tanzania George M. Masaju. Una kazi kubwa sana ya kufanya, Turudishie Mahakama chini ya Ibara 107A ya Katiba

    Kwanza hongera sana kwa Uteuzi wako. Kama sikosei ulipelekwa Mahakama ya Rufani ukiwa na miaka 60. Hivyo sasa utakuwa Jaji Mkuu kwa kipindi kisichozidi miaka 5 kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatamka Jaji wa Mahakama ya Rufani anapaswa kuhudumu katika nafasi hiyo hadi...
  19. Mkuu wa Majeshi wa Iran auawa na shambulizi la Israel

    Iran Leo wamepata pigo la kuondokewa na Mkuu wa Majeshi kufuatia shambulio la Israel. Apumzike kwa amani Jenerali === Kamanda Mkuu wa Walinzi wa Mapinduzi Jenerali Hossein Salami, ameuawa katika shambulio la Israeli, mashirika ya habari ya Iran Tasnim na Mehr yameripoti, huku televisheni ya...
  20. M

    Hongera Jaji George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania, nakuomba pokea ushauri huu ambao mtangulizi wako aliukataa

    Hongera sana Jaji George Masaju, sina shaka kabisa na wewe kuhusu utendaji wako wa kazi, umeandaliwa vizuri, ulikuwa mwanasheria mkuu wa serikali na kazi ilionekana, ukaenda kuwa mshauri wa Mhe Rais na kazi imeonekana, sasa piga kazi sisi vijana wako tunaounga mkono serikali hata kama hatuko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…