Eli Cohen, Jasusi wa Israel Aliyedanganya Syria
Mnamo Mei 1965, umati wa watu katika uwanja mkuu wa Damascus uliutazama mwili wa mwanamume ambaye, kwa miaka mitatu, alikuwa mgeni anayekaribishwa vyema katika nyumba za viongozi wa Syria. Walimfahamu kama Kamel Amin Thaabet, mfanyabiashara tajiri...