simu

  1. Je, mpango wa namba mpya za simu zitakazosajiliwa Julai Mosi kuwa na namba ya siri upoje?

    Habari wadau! Kuna SMS tunapokea kwenye simu zetu toka TCRA zinasema kwamba kuanzia sikutajwa hapo juu namba zitakazosajiliwa zitakuwa na namba ya siri ambayo ukizima simu ili kuwasha utahitaji kuingiza namba ya siri. Hili lipoje? Je, ndio litasaidia simu zetu zisiibiwe? Au ndio litakuwa...
  2. Ubize wa kutumia simu ulipelekea kufanya tukio gani la hatari?

    Wasaalam Ushakutana na ile moment uko kwa social nets, uko bize unaperuzi mpaka ikafikia time ukafanya katukia ka ajabu aidha ka hatari, ka kuchekesha au katukio ka namna yoyote ile Ilikuwaje na lilikuwa tukio gani? Mimi nakumbuka nlikuwa nagombana na mpenzi wa kwenye Text Nikajikuta...
  3. Inawezekana kupokea pesa kwa njia ya simu kutoka nje ya nchi

    Je naweza pokea muamala(Pesa) toka nje ya nchi kama Ubelgiji au Uholanzi kwa Airtelmoney money? Kwa anaefahamu anisaidie please.
  4. LG kusitisha uzalishaji wa simu Janja

    Kampuni ya teknolojia ya LG imetangaza jana Jumatatu itasitisha uzalishaji wa simu janja. Kampuni hiyo kubwa ya teknolojia imetangaza kuwa imekuwa ukipata hasara kwa kipindi Cha Muda mrefu inayokaribia $ 4.5bn.W Wakuu wa kampuni wametoa sababu mojawapo ya Hasara kuwa ni soko la simu janja...
  5. M

    Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

    Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana. Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
  6. Zijue kampuni za Kimataifa za kutengeneza simu za mkononi na NCHI zinazozimiliki

    Zijue kampuni za simu na NCHI zinazozimiliki. 1. Samsung-Korea Kusini 2. Tecno-China 3. Huawei-China 4. Lenovo-Hongkong 5. Nokia-Finland 6. Blackberry-Canada Tupieni nyingine
  7. Jinsi ya kupata uwakala wa mitandao ya simu

    Mwenye idea naomba anifahamishe jinsi ya kupata line za uwakala wa simu za mikononi kama vile Tigo pesa, M-Pesa nk. Nisaidieni ------------------
  8. Hesabu Zetu Vs Hesabu za Makampuni ya Simu

  9. Phone4Sale Nauza simu aina ya Galaxy A5(2017)

    Haina tatizo lolote. Ina ukubwa wa 32GB Fingerprint ipo vizuri kabisa. Bei yake ni 145,000 Ipo Mabibo Dar es salaam. Mawasiliano: 0768048752
  10. Simu aina ya pro max

    Wadau polen na majukum Kuna simu nimeziona pale kikuu zina ram ya kutosha na internal gb nzur sn halaf bei ya kawaida nikasema ngoja nililete hapa kwa wajuvi mtujulishe juu ya ubora na uimara za hiz simu Naomba wataalamu wa simu mtufafanulie zaid natuma na sceen shot zake
  11. Faida na hasara za mwanafunzi kutumia simu shuleni (mdahalo)

    Ni kama mdaalo kuhusu faida na hasara za kutumia simu kwa wanafunzi mashuleni na hata nyumbani lugha ni kiswahili na kingereza KARIBU MTU KANYE TUJITETEE.
  12. Madee: Diamond alitupigia simu saa tisa usiku wasanii tukutane studio

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga kitabu kwa ajili ya huo wimbo.
  13. Jamani nashindwa kupakua (download) muvi kwa simu yangu nisaidieni

    Simu yangu ni kipad aina ya tecno T528 ina ingia facebook ,google, ni sehemu gani nitumie?
  14. E

    Tatizo la simu fake Kariakoo kwanini vijana tusijiingize kwenye hii biashara tusaidie watanzania wenzetu wanaolizwa kila siku?

    Habari za leo wakuu, Nimekua nikifuatilia baadhi ya nyuzi hapa jamii forum, Kuna watanzania wamekuwa wakilalamika juu ya bidhaa za kielectronic zinazouzwa Kariakoo na kwamba watu wanauziwa simu feki. Watanzania wanashindwa kutumia simu zenye viwango kwasababu tu wauzaji wa Kariakoo wamekosa...
  15. Kila kiongozi anadai alikuwa anapigwa simu na Hayati Magufuli; Mbona Kama mbinu ya kumfanya Mama Samia awabakishe

    Kila kiongozi amekuwa akieleza kuwa JPM alikuwa anampigia simu,inawezekana kweli Ila isijekuwa mbinu ya kulinda kitumbua kwenye utawala mpya
  16. Huwa unafikiria nini cha kwanza , unapopiga simu na kuulizwa we nani..?

    Habarini , naamini kichwa kinajieleza. Kwa upande wangu katika vitu vinavyokera hiki ni kimoja wapo. Ushawahi kumpigia mtu simu( MTU wako wa karibu ) halafu akakuuliza we nani, na mlikuwa na mawasiliano kabla. Kwanza najiuliza namba yangu alifuta au ndo dharau. Nb :Huwa nakataga simu naendelea...
  17. Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

    Habarini wana jamvi. Aisee kuhonga hakuepukiki kabisa kwenye maisha ya siku hizi, honga vyote ila usihonge simu wakuu. Kwa upande wangu kiukweli ntahonga hata mwili kwa ma shuga mummy lakini siyo simu. Bado nawaza wanaoweza wanawezaje, bora uhonge hela yeye ndio aamue kununua simu. Nb...
  18. Dkt. Faustine Ndugulile: Mafundi simu wenye tabia ya kufuta namba ya IMEI kuchukuliwa hatua

    Serikali imesema kuwa itawachukulia hatua kali mafundi simu wote wenye tabia za kufuta namba ya kipekee inayotambulisha simu husika (IMEI) wanapopelekewa simu na wateja wao kwa ajili ya matengenezo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine...
  19. Mwalimu Mkuu Afrika Kusini amlazimisha mwanafunzi kutafuta simu kwenye shimo la Choo

    Mwalimu mkuu wa shule moja nchini Afrika Kusini amesimamishwa kazi kwa madai ya kumlazimisha mwanafunzi kijana wa miaka 11 kutafuta simu kwenye shimo la choo. Inadaiwa kwamba mwalimu huyo alimshukisha mwanafunzi huyo kwenye shimo la choo kwa kutumia kamba akimuahidi randi 200 sawa na dola 14...
  20. Hatimaye vivo Y11 yavunja rekodi ya simu zangu

    Katika maisha yangu simu ya kwanza kununua ni Siemens kidole mwaka 2007 mkononi. Sikuwa na matumizi sana wala maana yeyote kwangu. Miaka kabla ya android kuwa maarufu na kuenea TZ ulikuwa unanunua simu kwa kuulizia vitu mfano ina radio? Au ina bluetooth, memory card n.k. 2010 nikanunua nokia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…